Coach Sereka

Coach Sereka Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Coach Sereka, Business consultant, Dar es Salaam.

Lead Generation Specialist

πŸ”Š Helping Brands Build Scalable & Sustainable Customer Systems

🎯 Strategy | Paid Ads | Conversion Optimization

Contact πŸ‘‡
+255747798667

15/07/2026

Unatumia Pesa Nyingi Kwenye Matangazo...
..Watu Wanakuja Wengiii INBOX Lakini Kuwabadilisha Wawe Wateja Sasa
Hapo Panakuwa Mtihani.. Labda Siyo Wateja, Wateja Hawabembelezeki nk...
Maneno ya Kujitia Moyo, Unachukua Tena Kiasi Kingine Unarusha Tangazo Upya...

Matokeo ni Yale Yale!

Unakata Tamaa, Unasema Labda ni Bahati za Wengine na Wewe hapakuhusu...
Hapana Hufahamu Namna ya Kuwahudumia Watu Waliokufuata...
Namna ya Kuwasikiliza Ili Ufahamu "Pain Point Zao"
Mbinu za Kufunga Mauzo Pasipo Kulazimisha...
Na Kubadili DM Kuwa Mlango wa Kununua Kutoka Kwako
Baada ya Kuwasaidia Zaidi ya Wafanyabiashara 3,000 Kujenga Ujuzi Huu

Nimekuandalia Masterclass Ambayo Nitakufunisha

πŸ“Œ Namna ya Kuanzisha na Kufunga Mauzo Kirahisi

πŸ“Œ Jinsi ya Kuandaa Ofa Nzuri kwa Mteja, Inayogombaniwa

πŸ“Œ Jinsi ya Kuandaa au Ku-PACKAGE Huduma Yako na Kuwafanya Warudi Kununua Tena na Tena

Bonus:

πŸ‘‰ Utapata MENTORSHIP ya Mwezi Mmoja Kutoa Ripoti na Kukagua Matokeo ya Simu na Deal Alizo CLOSE au Kushindwa Ili Kukusaidia Kukujenga Bora Zaidi

πŸ‘‰ Utapata Darasa la Bure la Matangazo kwa "Meta Ads" kwa Kutumia Simu au Computer

πŸ‘‰ Free Copyrighting Class: Jinsi ya Kuandaa VICHWA vya Habari na Kuunda Content Zinazoleta Wateja na Caption Zinazofanya Kuchukua Hatua
Lipia Sasa Tsh. 30,000 baadala ya 500,000

Ps: Kumbuka Tangazo Hili Hutaliona Tena Baada ya Hapa, Chukua Hatua Sasa! - MASTERCLASS Hii Itafanyika Online / Itarekodiwa na Utakuwa Nayo Wakati Wote
Ratiba Itatolewa kwa Waliofanya Malipo TU!

Pss: Bonyeza Button ya WhatsApp Hapo Chini Kupata Namba za Malipo au Piga 0747798667

Kuna kitu ninachotaka ukijue kabla hujaanza wiki hii.Watu wengi wanaofanya kazi kwa bidii zaidi ndio wanaopata kidogo za...
15/06/2026

Kuna kitu ninachotaka ukijue kabla hujaanza wiki hii.

Watu wengi wanaofanya kazi kwa bidii zaidi ndio wanaopata kidogo zaidi.

Siyo uongo.

Wanaamka mapema. Wanaenda kulala usiku. Wanajaribu bidhaa nyingi. Wanafuata wateja wengi.

Wanapost kila siku.

Lakini bado hawafiki.

Na sijui kwa nini hujaambiwa hii mapema.

Sababu si juhudi.

Sababu ni mkondo.

Samaki anayeogelea baharini anaweza kuogelea masaa yote na asifikilie pwani.

Lakini samaki anayejua mkondo wake anafika haraka kwa nguvu ndogo.

Hiyo ndiyo niche.

Si kupunguza wateja wako.

Ni kuchagua mkondo sahihi.

Ukiuza kila kitu kwa kila mtu unafanya kazi kwa nguvu za mtu kumi.

Ukiuza kitu kimoja kwa watu wanaokihitaji unafanya kazi kwa nguvu ya mkondo.

Biashara yako haisimami kwa sababu haujafanya kazi ya kutosha.

Inawezekana inasimama kwa sababu umejaribu kuogelea bila mkondo.

Utajiri upo kwenye niche.

Sio msemo tu.
Ni mkakati.
Ni uamuzi.

Ni wakati wa kuuchagua.

- Elia Sereka

08/06/2026

Kodak waligundua kamera ya kwanza ya kidijitali duniani mwaka 1975 β€” lakini waliamua kuificha.
Waliogopa kwamba itadhuru mauzo yao ya filamu.
Badala ya kuendelea na uvumbuzi, walikaa kimya. Miaka 20 baadaye, wenzao walikuwa wamebeba soko lote la picha za kidijitali.
"Mwaka 2012, Kodak ILIFILISIKA KABISA"
Blockbuster walipewa nafasi ya kununua Netflix kwa dola milioni 50.
CEO wao alikataa. Akacheka. Akawafukuza nje ya ofisi. Miaka kumi baadaye, Netflix ilikuwa na thamani ya dola bilioni 200.
Blockbuster ilikuwa imekufa kabisa β€” duka moja tu lilibaki duniani, huko Alaska, k**a ukumbusho wa aibu.
Nokia ilikuwa kampuni namba moja ya simu duniani mwaka 2007. iPhone ilipotokea, wakasema hawana wasiwasi..
Watu hawatanunua simu bila kibodi ya kawaida. Walikosea vibaya.
Mwaka 2013, CEO wao alisimama mbele ya wafanyakazi wake maelfu, akasema maneno ambayo yanabeba uzito mkubwa hadi leo...
"Hatukufanya kosa lolote β€” lakini bado tumeshindwa."
Yahoo walikataa kununua Google mara mbili. Mara ya kwanza: dola milioni moja.
Walisema hapana. Mara ya pili: dola bilioni tatu. Wakasema hapana tena.
Leo Google ina thamani ya zaidi ya dola trilioni moja. Yahoo imesahauliwa kabisa.
Makampuni haya yote yalikuwa na nguvu, fedha, na wateja wa kutosha. Lakini yalianguka kwa sababu moja tu β€” yaliogopa mabadiliko.
Sasa AI inabadilisha biashara kila siku β€” hasa biashara za network marketing kote East Africa.
Unaweza kuendelea kwa njia ya zamani, au ujifunze leo na uendelee mbele.
Jiunge na WEBINAR YANGU BURE:

"AI Application β€” Biashara ya Network Marketing" πŸ“… LEO - Jumatatu | πŸ• SAA Tatu Kamili Usika | πŸ“² Google Meet:

Link Itatumwa Kwenye Group Maalumu la WhatsApp "AI & Bs NETWORK MARKETING" -
Au - Tuma Neno "Bs" Kwenda Namba 0747798667 (WhatsApp)

06/06/2026

Dunia inabadilika... na wewe uko wapi?

Nilikuwa nikifanya kazi kwa bidii β€” masaa mengi, juhudi nyingi, matokeo kidogo.

Kisha nikagundua kitu kimoja ambacho kilabadilisha kila kitu...
.. Artificial Intelligence.

AI sasa inaweza kukusaidia kupata wateja, kufuatilia leads, kuandika messages...
..na kukuza biashara yako ya Network Marketing β€” bila kuchoka, bila kupoteza muda, bila stress.

Ninaona watu wanaendelea kufanya mambo ya zamani. Wanapost manually.

Wanafuatilia wateja mmoja mmoja.

Wanachoka. Wanakata tamaa.

Lakini wale wanaotumia AI? Wanakua haraka.

Wanauza zaidi. Wanalala β€” na biashara inaendelea.

Ndio maana nimekuandalia Webinar ya BURE...
..nitakufundisha exactly jinsi ya kutumia AI kukuza biashara yako ya Network Marketing kuanzia LEO.

πŸ“… Jumatatu, 8 Juni 2026
⏰ Saa Tatu Usiku β€” 9:00 PM EAT
πŸ’» Google Meet
🎟️ FREE β€” Bila Malipo

Nafasi ni chache. Watu wanajiunga sasa hivi.

Swali moja tu β€” Utabaki nyuma au utakuwa mbele? πŸš€

πŸ‘‡ Link Itatumwa Kwenye Group Maalumu la "AI & Bs NETWORK MARKETING"

K**a Haumo Tuma Neno "BS" Kwenda WhatsApp Namba 0747798667

Nilikuwa mmoja wenu.Nilikuwa na biashara mtandaoni niliyoipenda. Nilikuwa na wateja. Nilikuwa na ndoto. Lakini kila siku...
03/06/2026

Nilikuwa mmoja wenu.

Nilikuwa na biashara mtandaoni niliyoipenda. Nilikuwa na wateja. Nilikuwa na ndoto. Lakini kila siku ilikuwa vita β€” vita dhidi ya muda, vita dhidi ya uchovu, vita dhidi ya hisia ya kwamba ninafanya kila kitu lakini bado haitoshi.

Nilikuwa nikitumia masaa 5 hadi 6 kila siku kuandika content peke yangu. Majibu ya wateja yalinichukua saa nyingine mbili. Kupanga maudhui ya wiki nzima? Hapo ndipo ninapoteza Jumapili yangu yote.

Biashara ilikuwa inakua β€” lakini mimi nilikuwa ninashuka.

Kisha nilijifunza kitu kimoja ambacho kimebadilisha kila kitu.

Nilianza kutumia AI β€” si kwa njia ya nadharia, bali kwa njia ya vitendo ndani ya biashara yangu halisi.

Nilijifunza kuandika prompts zinazotoa matokeo.

Nilijifunza kuunda mifumo inayofanya kazi hata nikiwa sijalala. Nilijifunza jinsi ya kuacha AI ifanye kazi ngumu β€” ili mimi nifanye kazi muhimu.

Ndani ya miezi miwili, nilikuwa nikifanya kazi hiyo yote kwa saa moja hadi moja na nusu kwa siku. Wakati uliobaki? Nilitumia kukua, kubuni, na kuishi maisha niliyokusudia kuishi.
Hii si hadithi ya bahati. Hii ni hadithi ya mfumo β€” mfumo unaofundishika.

Na sasa ninataka kukufundisha wewe.

Kwa sababu ukweli ni huu: huhitaji kufanya kila kitu mwenyewe. Unahitaji tu kujua jinsi ya kufanya kazi pamoja na AI kwa njia inayofaa biashara yako.

Hiyo ndiyo ninayokufundisha. Hiyo ndiyo inayobadilisha.

Unaamka asubuhi na orodha ndefu ya mambo ya kufanya.Unaandika content. Unajibu maswali ya wateja. Unapanga maudhui ya wi...
03/06/2026

Unaamka asubuhi na orodha ndefu ya mambo ya kufanya.

Unaandika content. Unajibu maswali ya wateja. Unapanga maudhui ya wiki. Unafuatilia orders. Unafikiri mkakati wa masoko. Usiku unafika β€” umechoka, lakini biashara bado inahitaji zaidi.

Hii si hali ya kawaida. Hii ni tatizo.

Wafanyabiashara wengi wa mtandaoni wanafanya kazi k**a wafanyakazi wa mshahara β€” tofauti ni kwamba hawapati likizo, hawapati mshahara wa mwisho wa mwezi, na hakuna anayewasaidia wanapoumia.

Lakini kuna kitu ambacho hakijabadilika katika biashara yako β€” jinsi unavyofanya kazi.

Bado unategemea nguvu zako tu. Bado unafanya kila kitu peke yako. Bado unaishi kwenye mzunguko ule ule.

Tatizo si juhudi yako. Juhudi yako ni ya kutosha. Tatizo ni hujapewa zana sahihi.

Leo, wafanyabiashara wanaofanikiwa zaidi mtandaoni hawafanyi kazi zaidi kuliko wewe.

Wanafanya kazi kwa njia tofauti. Wanatumia AI kufanya kazi ambazo zilikuwa zinakula masaa yao β€” kuandika, kujibu, kupanga, kuchambua.

Matokeo yake? Wana wakati zaidi. Wana nguvu zaidi. Biashara zao zinakua wakati wao wenyewe wanapumzika.

Hii si teknolojia ya mbali. Hii si kwa watu wa nchi za nje tu. Hii inawezekana kwako, hapa Tanzania, leo.

Ninakufundisha jinsi ya kufikia hapo β€” hatua kwa hatua, bila confusion, bila lugha ngumu za kiufundi.

Swali ni moja tu: uko tayari kubadilika?

21/05/2026
Saa Tisa Usiku Sasa! "Karibu Masaa 3 Napokea Experience ya Zaidi ya Miaka 10 Iliyopita"Pamoja na Uchovu wa Siku NzimaLak...
16/05/2026

Saa Tisa Usiku Sasa! "Karibu Masaa 3 Napokea Experience ya Zaidi ya Miaka 10 Iliyopita"
Pamoja na Uchovu wa Siku Nzima
Lakini Nikasema Sitalala Hata Niangalie "Darasa la Pili" Baada ya Lile la Kwanza Kunifungua "NATI"
Haya ni Mambo 100 Niliyoandika Kabla ya Kuzima "SCREEN YANGU"
Lakini No. 45... Naenda Kuifanyia Kazi Tena na Tena!
1. Amini Kabla ya Kuona
2. Ndoto Kubwa Matokeo Makubwa
3. Leo Unaamulia Kesho Yako
4. Hofu Inakuua Polepole
5. Waza Kubwa au Kaa Kimya
6. Mchakato Hauongei Unafanya
7. Mentor Anaokoa Miaka Mingi
8. Pesa Inafuata Tabia Zako
9. Usiacha Kabla ya Mwisho
10. Kushindwa ni Malipo ya Ujasiri
11. Jiamini Kabla ya Wengine
12. Passive Income ni Uhuru wa Kweli
13. Embarrassment Inakuimarisha
14. Chagua Watu Wanaokujenga
15. Muda Wako ni Mtaji Wako
16. Consistence Inashinda Vipaji
17. Malengo Bila Ndoto ni Bure
18. Haraka Haraka Haileti Kudumu
19. Kopa Kuwekeza sio Kutumia
20. Excitement ya Mwanzo Inadanganya
21. Thamani Yako Inazidi Bei Yako
22. Acha Legacy sio Mali Tu
23. Ndoto Hazifi Wewe Ndiye Unayeziua
24. Jiamini Hata Ukiwa Peke Yako
25. Uza Thamani sio Bidhaa
26. Familia Inahitaji Vision Yako
27. Ubongo Wako Unaamini Unachokisema
28. Nyakati Zimebadilika Wewe Ubadilike
29. Watu Wanaokusema Vibaya Wanakusaidia
30. Kuamini ni Nguvu ya Kwanza
31. Mlima Usio na Mwisho si Wako
32. Unachowaza Unakuwa
33. Heshimu Mchakato wa Wengine
34. Fundisha Watoto kwa Vitendo
35. Ndoto Yako ni ya Kwako Tu
36. Kila Level ina Adui Wake
37. Taarifa Unazosikia Zinakuumba
38. Ndoto Kubwa Zinahitaji Imani Kubwa
39. Usitegemee Mshahara Kufa Nazo
40. Brand Yako ni Biashara Yako
41. Watu wa Haraka Wanaenda Nyuma
42. Mazingira Yanabadilisha Fikira Zako
43. Ukweli Unakudumu Uongo Unakumaliza
44. Wewe Ndiye Unayeumba Maisha Yako
45. Ndoto za Utoto Ndiyo za Kweli
46. Maumivu ya Leo ni Nguvu ya Kesho
47. Watoto Wanakuwa Unachokipanda
48. Kuamini Hakuhitaji Ushahidi
49. Pesa Zinakuja kwa Thamani Unayotoa
50. Ndoto Zangu Zinawezekana
51. Usikate Tamaa Kesho Inakuja
52. "MALIZIA 49 ZILIZOBAKI"
Tafadhali Comment "MOJA TU" Umwachie Mwenzako Presentation...
Ahsante kwa!





Sasa Naenda Kulala! Nikiwa na FURAHA...

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255747798667

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Coach Sereka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Coach Sereka:

Shortcuts

Share