Afroshia Wear

Afroshia Wear T-Shirt zinapatikana kwa bei nafuu

09/08/2023
Approx. 8%of Children under the age of 5 die due to preventable diarrhea.Clean water is a luxury that many do not have e...
09/08/2023

Approx. 8%of Children under the age of 5 die due to preventable diarrhea.

Clean water is a luxury that many do not have easy access to.

Ashuraa Human Charity Tanzania is working to change that by building wells with your generous donations.

01/10/2016
01/10/2016

T-shirt kwa ajili ya kushindikiza kuachiwa huru Kiongozi wa harakati ya Kiislam Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky. K**a uta...
25/05/2016

T-shirt kwa ajili ya kushindikiza kuachiwa huru Kiongozi wa harakati ya Kiislam Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky. K**a utahitaji unaweza kuwasiliana nasi kupitia Inbox

14/04/2016

Asalaam Alykum, Wapenzi wafuatiliaji wa harakati zetu mbalimbali kupitia ukrasa wetu huu wa facebook na mitandano mingine ya kijamii tunapenda kuwaomba radhi kwa kukaa kimya kwa mda mrefu bila ya kupata habari, tumepokea malalamiko kutoka sehemu mbalimbali kuwa afroshia mmekuwa kimya sana tunapenda kusema kuwa tunajaribu kujipanga upya na kuangalia njia mpya ya kuhabarisha kwani kazi hizi zina changamoto na misukosuko mingi ikiwemo vikwanzo ila tunaamini kwa huwezo wa Mwenyezi Mungu na dua zenu wapenzi wetu na wapenzi wa Ahlul Bayt (a.s) ipo siku tutafanikiwa na kurejesha ile hali ya hawali ilivyokuwa wapo watu wanaojua mchango wa harakati hizi na wapo watu wasiojua mchango na thamani ya harakati hizi za mitandao ya kijamii tuendelee kuomba dua kwa wingi ili tuondeke kwenye hofu na matashi ya watu. "Eeh! Mwenyezi Mungu tujalie tuwe ni wenye kutenda matendo mema na kukutumikia wewe pasina mashaka yeyote."

Maandalizi ya T-Shirt za Muharram 2016.
14/02/2016

Maandalizi ya T-Shirt za Muharram 2016.

19/08/2015

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afroshia Wear posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share