Kipepeo_Recycling

Kipepeo_Recycling Kipepeo Recyclers Tz.ltd Co. is a waste management Company which deals with Scrap tyres Upcyling&Rec

Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu! β™»οΈπŸŒKatika safari ya kuhifadhi mazingira, tunatumia rasilimali zilizopo katika mazingira ...
20/02/2025

Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu! β™»οΈπŸŒ
Katika safari ya kuhifadhi mazingira, tunatumia rasilimali zilizopo katika mazingira yetu ili kuleta ubunifu. Huu ni mfano wa bustani ya kupanda mimea k**a vile maua na mboga mboga za majani 🌺 πŸ₯¬ ambayo tumetengeneza kwa kutumia tairi chakavu, Zaidi hasa ikiwakilisha mbinu endelevu za kilimo mijini, urejelezaji na uhifadhi wa mazingira. Pamoja tunaweza kufanya dunia kuwa mahali bora zaidi!

Kazi yetu ni zaidi ya uzalishaji, pia ni juhudi kubwa za kuyalinda mazingira!πŸŒπŸ’š Tunashirikiana na mafundi wetu,katika  k...
19/02/2025

Kazi yetu ni zaidi ya uzalishaji, pia ni juhudi kubwa za kuyalinda mazingira!πŸŒπŸ’š Tunashirikiana na mafundi wetu,katika kuleta mabadiliko chanya kwa kutumia tairi chakavu na kuzigeuza kuwa bidhaa zenye manufaa.Kila kipengele cha kazi yetu kinachangia kupunguza uchafuzi wa mazingira na kukuza uzalishaji endelevu. Urejelezaji wa tairi ni sehemu muhimu ya kulinda sayari yetu na kuunda dunia bora kwa vizazi vijavyo.
.

🌱🌱
21/07/2024

🌱🌱

β™»οΈβ™»οΈπŸ’š
13/03/2024

β™»οΈβ™»οΈπŸ’š

πŸ’š
02/09/2023

πŸ’š

πŸ’šπŸ₯¦πŸ₯¦           Kipepeo recycling] Kipepeo recycling]
03/12/2022

πŸ’šπŸ₯¦πŸ₯¦









Kipepeo recycling] Kipepeo recycling]

07/09/2022
Them be like "Dada Kipepeo the waiting is overrrrr please allow us to swing "πŸ˜‚
07/09/2022

Them be like "Dada Kipepeo the waiting is overrrrr please allow us to swing "πŸ˜‚

The reason that seesaw has two seats is because,that way....There is always someone to bring you up when you go down 🀸
07/09/2022

The reason that seesaw has two seats is because,that way....
There is always someone to bring you up when you go down 🀸

At  the third month of this year, we collected 120 scrap tires in different dumps and used them to make a children's pla...
07/09/2022

At the third month of this year, we collected 120 scrap tires in different dumps and used them to make a children's playground at Msimbu Primary School, You can see how it is really interesting.



Kipepeo recycling] Kipepeo recycling]

The World is our playground β˜ΊοΈπŸ’š
07/09/2022

The World is our playground β˜ΊοΈπŸ’š

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kipepeo_Recycling posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kipepeo_Recycling:

Share