Herieth Katikiro

Herieth Katikiro Tunatoa ushauri wa kibiashara, tunawaelekeza watu wanaopenda kubadiri muda wao wa ziada kujiingizia kipato zaidi.

Natafuta marafiki wa maana WA kushirikishana fursa za Maendeleo k**a ungependa kuwa rafiki yangu comment Namba yako what...
13/06/2024

Natafuta marafiki wa maana WA kushirikishana fursa za Maendeleo k**a ungependa kuwa rafiki yangu comment Namba yako whatsap 0763377079.

Please Uwe serious na mambo ya maana,sitaki usumbufu usio WA lazima.

K**a hutajali kesho nitakuwa makumbusho billionaire Hall Kwa ajili ya semina ya Biashara,ungependa kuhudhuria na tukutane friend,karibu Sana na nitakuwa na ZAWADI spesho kwa ajili yako.

ASANTE SANA WADHAMINI WETU WA ARISE AND SHINE EVENT NIJUMAPILI HII 26/5/24 PALE UBUNGO PLAZATIKETI ZIPO PIGA 0763377079....
24/05/2024

ASANTE SANA WADHAMINI WETU WA ARISE AND SHINE EVENT NI
JUMAPILI HII 26/5/24 PALE UBUNGO PLAZA
TIKETI ZIPO PIGA 0763377079.
NDOTO HUA KWELI UKIAMUA KUZIFATA.

WAGENI WETU WAALIKWA WATAKAOTIA TUZO MBALIMBALI KWA WASHINDI NA WAFANYABIASHARA WALIOFANYA VIZURIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ MAMBO NI πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ VI...
24/05/2024

WAGENI WETU WAALIKWA WATAKAOTIA TUZO MBALIMBALI KWA WASHINDI NA WAFANYABIASHARA WALIOFANYA VIZURIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ MAMBO NI πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
VIONGOZI NA WATU MAALUFU WATAKUWEPO KATIKA EVENT HII KUBWA SANA ,Usikose na bado hujachelewewa kiingilio Ni 10,000 tu lakini unaweza kukaaa VIP seat Kwa gharama hizi
VIP-100,000
VVIP-200,000
VVIP -500,000 NA UKAHUSUNIWA VYAKULA,VINYWAJI,PICHA SPECIAL NA KUKAA KARIBU NA WAGENI WAALIKWA.

TIKETI-0763377079.

NDOTO HUA KWELI UKIAMUA KUZIFATA.

Kongamano kubwa Sana la Biashara ambalo halijawahi kutokea.Nimekuwa nikiwash*tikisha juu ya biashara inayolipa,natamani ...
24/05/2024

Kongamano kubwa Sana la Biashara ambalo halijawahi kutokea.
Nimekuwa nikiwash*tikisha juu ya biashara inayolipa,natamani nifahamu Kwa UKUBWA baishara hii ,sasa Jumapili hii tar 26/5/24 kuanzia saa 5 asubuhi pale UBUNGO PLAZA mambo yatakuwa motrooooo
USIPANGE KUKOSA tutakuwa na vitu vizuri Sana katika RECOGNITIONS RALLY,na watu watapokea ZAWADI nyingi Sana.
USIPANGE KUKOSA kiingilio Ni 10,000 lakini unaweza kukaaa ViP Kwa
VIP- 100,000,
VVIP-200,000 na
VVVIP-500,000
TIKETI ZIPO NIPIGIE 0763377079.Tangu mwezi January hujahudhuria semina yoyote na Kwa nini hii ikupite??????naamini hii itakuamsha ujue huku ulimwenguni watu hawapati usingizi k**a wanakimbizia ndoto zao.

NDOTO HUA KWELI UKIAMUA KUZIFATA.

Karibu jumapili hii TAREHE 14/12/23  saa nane mchana hapa independence square jengo la Akiba commercial bank  ghorofa ya...
30/12/2023

Karibu jumapili hii TAREHE 14/12/23 saa nane mchana hapa independence square jengo la Akiba commercial bank ghorofa ya 2 ukifika piga simu ,0763377079 nitakupokea.

Njoo ujifunze namna ya kutumia muda wako WA ZIADA kuingiza kipato endelevu,semina hii Ni Kwa watu wote wanawake,wanaume,vijana hata wanavyuo.

Karibu uje upate elimu na ujuzi WA kuanz amwka 2024 Kwa kishindo kikubwa.

Nineipenda hii Kula Chuma hichoπŸ‘‡Wakati unaweka Mipango na Malengo yako ya ukuaji wa kiroho.. weka na ya KIUCHUMI!.Kukosa...
27/12/2023

Nineipenda hii Kula Chuma hichoπŸ‘‡

Wakati unaweka Mipango na Malengo yako ya ukuaji wa kiroho.. weka na ya KIUCHUMI!.

Kukosa HELA kunawafanya watu wengi wanaendelea kufanyiwa "deliverance" kila mwaka kuondoa pepo la UMASIKINI.

Shida ni kwamba utaendelea kugaragazwa sana..k**a HUFANYI KAZI, utatolewa na mwakani pia na utaanguka tena na UTAAMINI kuwa una mapepo hata jina la Yesu haliwezi kutoa.

Utawekewa mikono kichwani mpaka nywele zinyonyoke, utawekewa na miguu, utaanguka kila ibada, utarudi nyumbani kila wiki nguo zimechafuka.. utakuwa kituko.".

Utakanyanga Mafuta ya Upako na kunywa maji ya Upako ya kila Rangi .

Huu ni muda wa Kufanya Mgeuko Rafiki yangu

Happy Boxing Day!

Emmanuel Msemakweli.

20/12/2023

SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MAGARI NA DAFARI KW AWASHINDI WA MWAKA 2023 ZILIZOFANYIKA MLIMANI CITY TAR 19/12/2023,karibu katika matukio πŸ‘‡
Karibu ujiunge nasi katika baishara hii kubwa 0763377079. #

Save the Date Ni 19/12/23 JUMANNE ,tun bakiwa na siku moja tu,karibu uje ujifunze namna baishara yetu inavyoweza kubadir...
17/12/2023

Save the Date Ni 19/12/23 JUMANNE ,tun bakiwa na siku moja tu,karibu uje ujifunze namna baishara yetu inavyoweza kubadirisha maisha yako na kuwa mtu mwingine Kwa kuja kuwasikiliza watu waliofanikiwa Kwa kipindi kigupi kupitia baishara yetu.

Ni Kwa kiingilio cha sh 20,000 pale MLIMANI city conference centre kuanzia saa 5 asubuhi ,UNAKOSAJE sasaaaaaa.Tiketi zipo nipigie Leo,na kesho 0763377079

Address

Ilala Boma, Mwalimu House
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255657045331

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Herieth Katikiro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share