Lilian Wedding Plan and management

Lilian Wedding Plan and management Lilian Wedding Plan and Management ni wajalisila mali wana jiusisha na maswala ya Upambaji na Chakul

Katika (Dm) yangu kuna maswali mengi juu yangu na timu ya simba...Wengi wameuliza kwanini timu inapofanya vibaya au kufu...
17/07/2024

Katika (Dm) yangu kuna maswali mengi juu yangu na timu ya simba...

Wengi wameuliza kwanini timu inapofanya vibaya au kufukuzwa kocha ndo naitwa kuwa kocha kisha timu ikirudi kwenye njia nzuri naletewa kocha mwingine..

Naomba kuwajibu kuwa mimi na simba tuna mkataba ambao sio mkataba wa mimi kuwa kocha mkuu wa timu ila nimepewa mkataba kuwa nitakapokuwa naitajika katika majukumu ya timu basi napaswa kutekeleza kwa wakati ....

Ninaelewana vizuri na viongozi wangu na ndomana ninapo ambiwa njoo uku nenda kule nafanya k**a viongozi wangu wanavyotaka ....

Niwaombe mashabiki kumpa ushirikiano kocha mkuu kulingana na kikosi chetu msimu huu tunaimani tutafika mbali...

Muda wowote nitaweka wazi nimepangiwa majukumu gani katika timu yangu na nitafanya kazi yangu k**a mwajiliwa....

🗣 Jumanne Mgunda

Simba SC Tanzania SIMBA NI JAMII YETU Son simba damu SIMBA TODAY Simba Sport club Tz Simba NGUVU MOJA Simba Sc African SIMBA SPORT FANS Simba Sport Club SimbaCorp Ke Erasto Simbakalia Young Africans Sports Club Yanga S.C. Yanga Forever Yanga Africans

18/12/2019

Kwa Mapambo mazuri na ya kisasa wasiliananasi
Lilian Wedding Plan and Management

Kwa kazi nzuri tuone Lilian Wedding plan and Management pekee.
18/12/2019

Kwa kazi nzuri tuone Lilian Wedding plan and Management pekee.

Weka oda yako mapema
18/12/2019

Weka oda yako mapema

Address

Tababa Segerea
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 20:00
Tuesday 07:30 - 20:00
Wednesday 07:30 - 20:00
Thursday 07:30 - 20:00
Friday 07:30 - 20:00
Saturday 07:30 - 18:00
Sunday 10:00 - 18:00

Telephone

+255 745 452 375

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lilian Wedding Plan and management posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lilian Wedding Plan and management:

Share