11/09/2023
Kuna muda kaz na uongozi huwa ni jambo gumu sana, pale ambapo unaowaongoza hawatambui jitihada au njia au namna mifumo ilivyo na vile unajitoa .Unapokuwa chini kabla hujamhukumu anaekuongoza jaribu kumuwekea iman kwanza .Trumark tunaisaidia team yako kujua haya na mengine mengi kwa njia za vitendo zaidi.KARIBU TRUMARK