Crystal ERP

Crystal ERP Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Crystal ERP, Consulting Agency, Dar es Salaam.

Nikiwa mfanyabiashara mwenzako nafahamu changamoto za kuendesha biashara. Unahitaji App ya EMA RETAIL ili kujua kila sik...
30/06/2025

Nikiwa mfanyabiashara mwenzako nafahamu changamoto za kuendesha biashara. Unahitaji App ya EMA RETAIL ili kujua kila siku , kila wiki, kila mwaka umeuza kiasi gani, pesa zako zimeingiaje, pesa zako zimeenda wapi, una bidhaa kiasi gani, manunuzi ya bidhaa, madeni yako, matumizi, bidhaa gani inauza sana, bidhaa gani inazalisha faida, una bidhaa kiasi gani?

Unakua kibiashara au unaporomoka kibiashara? Kuongeza mauzo, kusimamia wafanyakazi na kuunganishwa na wafanyabiashara wengine, masoko na Zaidi. Kupata ripoti zote za uhasibu hata k**a siyo mhasibu.

Pakua App ya EMA RETAIL ili kupata manufaa hayo yote na Zaidi au fungua akaunti hapa : www.app.ema.co.tz au tujulishe lini tukutembelee tukuonyeshe kwa vitendo namna ya kutumia
Kwa Maelekezo zaidi
Piga simu 0618330260

Tunawasaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kuendesha, kusimamia na kufatilia biashara zao kwa kutumia mfumo rahisi wa...
19/06/2025

Tunawasaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kuendesha, kusimamia na kufatilia biashara zao kwa kutumia mfumo rahisi wa kidigitali wa emasuite(POS).

Utaweza Kutunza kumbukumbu na kupata taarifa zote za mwenendo wa biashara yako ikiwemo Manunuzi, Mauzo, Mapato, stock ya mzigo, Matumizi na Faida kwa siku, wiki, Mwezi na Mwaka.

Mfumo unafanya kazi online kwenye Computer, Tablet, Ipad au Simu ya mkononi Kwa kutumia mfumo huu unaweza kufanya mauzo, manunuzi na kurekodi matumizi yako… unaweza kusimamia na kufuatilia biashara yako hata k**a haupo karibu nayo yaan hata ka umesafiri kwani mfumo huu unapatika online na ni web based System na mobile based

Faida za kutumia mfumo wa EMASUITE POS,
• Unaweza kutumia account moja na kua na matawi mengine.
• Unaweza kua na makundi tofauti ya wafanyakazi kwa madaraja tofauti.
• Unakua na Duka mtandaoni
• Utaweza kupata alert ya bidhaa zinazokaribia kuisha NA expire

Mfumo huu utakuwezesha
1. Kurekodi mauzo yako.
2. Kurekodi manunuzi yako.
3. Kutengeneza Invoice.
4. Kurekodi matumizi yako.
5. Kusajiri Bidhaa zako.
6. Kutengeneza Barcode.
7. Kutengeneza Quotation.
8. Kukupa ripoti zote za kibiashara, Faida na hasara.
9. Kupata ripoti za Stock na thamani yake.

Mfumo huu unamfaa mtu yoyote awe mmiliki wa kampuni au kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na biashara mbali k**a
• Maduka ya Dawa.
• Maduka ya Jumla.
• Maduka ya Rejareja.
• Maduka ya vifaa nya ujenzi.
• Supermarket.
• Maduka ya Nguo.
• Maduka/Workshop za Kurepair.

Ni rahisi kutumia mfumo huu, naweza kutumia computer, iPad, tablet au simu yako ya mkononi Nenda na wakati, fuatilia biashara yako muda wowote na sehemu yoyote kwa kutumia mfumo wa EMASUITE.

K**a una swali zaidi wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp: 0618339260

Address

Dar Es Salaam
+255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Crystal ERP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share