SHABIKI NO 1 JANUARY MAKAMBA

SHABIKI  NO 1 JANUARY MAKAMBA MTETEZI

UVCCM
CHAWA WA JANUARY

31/03/2025

Mkutano wa wana bumbuli

08/01/2025
08/01/2025
08/01/2025

Asanteni sana wote hapa mliofuatilia hotuba yetu ya bajeti Bungeni jana na kutoa maoni mbalimbali. Tunafarijika pale Watanzania wanapofuatilia masuala ya uhusiano wa kimataifa na diplomasia ya nchi yao.

08/01/2025

Leo nimemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU-PSC) ngazi ya Wakuu wa Nchi, uliofanyika kwa njia ya mtandao, kujadili hali ya usalama nchini Sudan.

08/01/2025

His Excellency Filipe Nyusi, President of the Republic of Mozambique, will undertake a State Visit to our country from July 1st to 4th, 2024 at the invitation of Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania. Tanzania and Mozambique enjoy a very close and warm friendship dating back during the struggle for independence of Mozambique. Tanzania is proud to have shed blood to enable the liberation of Mozambique.

08/01/2025

Leo mchana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuaga mgeni wake Mheshimiwa Filipe Nyusi, Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, aliyekuwa nchini kwa Ziara ya Kiserikali ya siku nne. Ziara imekuwa ya mafanikio makubwa na imeimarisha undugu uliopo baina ya nchi zetu mbili.

Address

Kkoo
Dar Es Salaam
1994

Telephone

+255767303077

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SHABIKI NO 1 JANUARY MAKAMBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SHABIKI NO 1 JANUARY MAKAMBA:

Share