31/12/2023
Habari njema kwa wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali na nchi za jirani.
Kutokana na kupanda kwa nauli na gharama mbalimbali ambazo wafanyabiashara wanazipata sasa suluhisho limepatikana.
Natoa huduma ya kukuelekeza machimbo ya bidhaa mbalimbali, kukusanya na kufunga mizigo ya wafanyabiashara na kukutumia mkoa wowote ulipo pamoja na nje ya nchi kwa gharama nafuu sana.
Huna haja ya kuja Dar es Salaam kufuata mzigo, nitume nikukusanyue na nikufungie mzigo wako.
Punguza gharama za nauli, malazi, chakula na muda.
Nitume kariakoo nikufanyie kazi zako zote na wewe usubiri kupokea mzigo tu.
Mwaka 2024 ni mwaka wa kukuza mtaji wako kwenye biashara.
NITUME KARIAKOO urahisishe upatikanaji wa mizigo yako sasa k**a vile;
πVyombo aina zote
πViatu vya k**e na kiume wakubwa
π Viatu vya k**e na kiume vya watoto
π Vijora
π Mikoba
π mashuka ya Uganda (cotton) na Thailand (polyester)
πmito ya kulalia
π mapazia na fimbo za mapazia
π carpets
π Mataulo
π Toys (midoli na michezo yote ya watoto)
π Jezi za timu za nje zote za msimu mpya.
πMitandio
π Vifaa vya shule
π Mabegi ya shule na ya kusafiria
π Vifaa vya electronic (TV, friedge, feni nk)
CHOCHOTE UTAKACHOHITAJI KARIAKOO KWA AJILI YA BIASHARA NITUME NIKAKUNUNULIE.
Wasiliana Nami 0757595520
Jiunge na group letu la wafanyabiashara wa mikoa yote muweze kunufaika na huduma hii.
WhatsApp Group Invite