01/08/2024
Tunapenda kusema "asante Mungu kwa mwaka mwengine, asante kwa kutupa maarifa (good energy) na afya njema".
Sisi k**a Kampuni ya Manzabay tunayofuraha kuhadhimisha miaka sita ya ufanisi na utendaji Bora wa Uhusiano/Ukaribu wa kazi / biashara baina yetu sisi (Manzabay Kampuni) na wewe Mteja wetu wa thamani.
Tunayo furaha kubwa na hatunabudi kusema "ASANTE" kwa kutuamini na kuendelea kua nasi kwenye nyakati zote (Entertainment, Shop's, Tourism and Safari Tour and Transport).
Tuna wa ahidi kuwapatia huduma zetu zenye ubora na kiwango cha hali ya juu na thabiti.
, (MANZABAYCOMPANYLIMITED)
SPECIAL THANKS,🙏
By C.e.o ManzaBay Company Ltd