Frank NertWorth Allience

Frank NertWorth Allience Nawasaidia Vijana"Kuondokana na Changamoto za Kipato kupitia fursa kubwa ya biashara kwa muda wao wa ziada muda wote bila kuathiri shughuli zao za sasa.

💥 NINASAIDIA WATU KUANZA BIASHARA 💥Ukiwa na mtaji mdogo, ninakuwezesha kukua kiuchumi na kutimiza ndoto zako.📈 *HUDUMA Z...
12/06/2024

💥 NINASAIDIA WATU KUANZA BIASHARA 💥

Ukiwa na mtaji mdogo, ninakuwezesha kukua kiuchumi na kutimiza ndoto zako.

📈 *HUDUMA ZETU:*
- *Usaidizi kwa Waajiriwa:* Kujenga biashara sambamba na ajira.
- *Wafanyabiashara:* Msaada kwa biashara tofauti na hii yetu.
- *Wahitimu na Wanafunzi wa Vyuo:* Kuanza biashara hata ukiwa bado unajifunza.
- *Wamama wa Nyumbani:* Fursa za kukuza kipato ukiwa nyumbani.

📞 *WASILIANA NASI LEO:*
- *Nambari ya Simu:* 0765 2542 31
- *Ofisi Zetu:* Makumbusho, Mtaa wa Victoria
- *Gusa link hapa chini:* [https://wa.me/message/OQDCMOCJYFHAM1](https://wa.me/message/OQDCMOCJYFHAM1)

KWA NINI UTUCHAGUE?
- *Usimamizi na Uangalizi wa Hali ya Juu:* Hatua kwa hatua mpaka ufanikiwe.
- *Maisha ya Furaha na Mafanikio:* Kukuza kipato na kufikia malengo yako.

👩‍💼 KWA KINA NANI?
- Dada, Binti, Kijana, Mama mwenye ndoto kubwa za kimaisha.

💥 TUPO KWA AJILI YAKO! 💥
Mafanikio yako ndiyo furaha yetu. Njoo tukusaidie kuinuka!

---

Gusa link hapa chini ili kuanza safari yako ya mafanikio:
[https://wa.me/message/OQDCMOCJYFHAM1](https://wa.me/message/OQDCMOCJYFHAM1)

*KUCHANUA MAFANIKIO NA KAMPUNI YA KIPEKEE :SAFARI YA MAFANIKIO YA  FRANK MLAWA*"Jina langu ni Frank Mlawa, na nimekuwa n...
27/04/2024

*KUCHANUA MAFANIKIO NA KAMPUNI YA KIPEKEE :SAFARI YA MAFANIKIO YA FRANK MLAWA*

"Jina langu ni Frank Mlawa, na nimekuwa nikifanya kazi na kampuni ya Forever Living Products tangu mwaka 2022. Kampuni hii inajulikana kwa ubora wa bidhaa zake za afya na urembo, na inaongoza katika soko la kimataifa, ikiwa na uwepo katika nchi zaidi ya 60 ulimwenguni kote.

Nimepata fursa ya kufanya kazi katika kampuni hii yenye mafanikio tangu mwaka 2022, na safari yangu rasmi ya biashara ilianza mwezi wa Desemba 2023. Kupitia kampuni hii, nimepata mafanikio makubwa sana.

Nimefikia kiwango cha Supervisor, ambacho ni mojawapo ya viwango bora katika biashara yetu. Kiwango hiki kimenipa fursa ya kujenga kipato cha kutosha, kati ya Tsh 800,000 hadi 1,500,000, na kuweza kukabiliana na changamoto mbalimbali za kimaisha.

Zaidi ya mafanikio ya kifedha, biashara hii imenibadilishia mtazamo wangu kwa maisha. Imenipa upeo mpana wa kuona mafanikio yaliyopo mbele yangu, na imenipa fursa ya kufanya kazi na marafiki wazuri wenye mafanikio katika maisha na biashara.

Pamoja na mafanikio haya, kampuni imekuwa ikinipa fursa ya kusafiri na kutambua vipaji vyangu katika biashara. Safari na mafunzo yanayotolewa na kampuni yamewezesha kukuza ujuzi wangu na kupanua wigo wa biashara yangu.

Biashara hii imekuwa chanzo cha kuboresha afya yangu na ya wengine wengi kupitia bidhaa za kampuni. Nimejionea mafanikio makubwa katika afya yangu na pia kwa watu wengine ambao nimeweza kuwashawishi kutumia bidhaa bora za afya na urembo zinazotolewa na kampuni.

Pamoja na hilo, nimekuwa nikishirikiana na wenzangu katika biashara ili kuwasaidia pia kupata mafanikio makubwa. Kupitia uzoefu wangu na maarifa niliyopata, nimekuwa nikishirikiana nao kwa karibu, kuwapa mwongozo na msaada ili nao waweze kufikia mafanikio k**a niliyoyapata.

Ninalenga kuwa chanzo cha motisha na kuhamasisha wengine ambao bado wanaogopa kuanza safari yao ya biashara. Napenda kuwa mfano wa mafanikio na uwezekano, na kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo yangu ya kibinafsi na kukuza biashara yangu kwa mafanikio zaidi. Kwa njia hii, ninaamini kwamba naweza kuwa na athari chanya kwa jamii yangu na kuwasaidia wengine kufikia ndoto zao."

Address

Makumbusho Victoria
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Frank NertWorth Allience posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share