AVIC Consultants

AVIC Consultants AVIC Consultants provides business development services to clients. We also help clients find customers through online marketing

HIZI NI SIRI 5 ZA BIASHARA YA SAMAKI KUPATA FAIDA KUBWABiashara ya samaki endelevu ni lazima ipate faida. Sasa basi, una...
31/10/2024

HIZI NI SIRI 5 ZA BIASHARA YA SAMAKI KUPATA FAIDA KUBWA
Biashara ya samaki endelevu ni lazima ipate faida.
Sasa basi, unafahamu siri ya biashara ya samaki kupata faida kubwa?

Kipindi hiki nitaeleza siri 5 za biashara ya samaki kupata faida kubwa

SIRI 5 ZA BIASHARA YA SAMAKI KUPATA FAIDA KUBWA

Ili kupata faida kubwa ya biashara ya samaki inabidi utekeleze mambo 5 yafuatayo:
o Hakikisha unapata wateja wengi
o Punguza gharama za kuendesha biashara ya samaki
o Weka mfumo mzuri wa manunuzi ya vinywaji
o Tengeneza budget ya biashara ya samaki
o Tenegeneza hesabu za biashara ya samaki ya vinywaji

Kupata habari zaidi angalia video, kupitia LINK

MUHTASARI WA KIPINDIo Siri 5 za biashara ya biashara ya samaki kupata faida o Jifunze Ujasiriamalio Vitabu vya UjasiriamaliHii ni Tan Business Channel Online...

JINSI YA KUTAMBUA FURSA 5 ZA KUANZISHA BIASHARA YA JUMLAKuna baadhi ya wafanyabiashara wana anzisha biashara bila kufuat...
30/10/2024

JINSI YA KUTAMBUA FURSA 5 ZA KUANZISHA BIASHARA YA JUMLA

Kuna baadhi ya wafanyabiashara wana anzisha biashara bila kufuata taratibu zinazo kubalika

Moja kati ya hizo taratibu ni kuhakikisha kuwa unatambua fursa ya kuanzisha biashara unayo chagua

Kipindi hiki nitaeleza jinsi ya kutambua fursa 5 za kuanzisha biashara ya jumla

FURSA 5 ZA KUUANZISHA BIASHARA YA JUMLA

K**a unataka kuanzisha biashara ya jumla ni muhimu kutambua ufumbuzi wa changamoto za wateja wa viatu zifuatazo:

o Kuanzisha duka sehemu ambako hakuna maduka ya bidhaa za jumla
o Kuanzisha duka kuziba uhaba wa maduka ya jumla ulio jitokeza
o Kuanzisha duka la jumla lenye aina nyingi za bidhaa
o Kuanzisha duka la kumla lenye kuvutia wateja
o Kuanzisha duka la jumla lenye nafuu ya bei za bidhaa

Kupata habari zaidi angalia video, kupitia LINK

1. MUHTASARI WA KIPINDIo Jinsi ya kutambua fursa 5 za kuanzisha biashara ya jumlao Jifunze Ujasiriamalio Vitabu vya UjasiriamaliHii ni Tan Business Channel O...

MAFUNZO YA KUANZISHA BIASHARA ENDELEVUKaribu kwenye mafunzo ya jinsi ya kuanzisha biashara yatakayo simamiwa na Tan Busi...
27/10/2024

MAFUNZO YA KUANZISHA BIASHARA ENDELEVU

Karibu kwenye mafunzo ya jinsi ya kuanzisha biashara yatakayo simamiwa na Tan Business Online School

Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara kwa kutekeleza taratibu muhimu zinazo kubalika za kuanzisha biashara

UTARATIBU WA MAFUNZO
Mafunzo yatafanyika kwa kutumia platform ya WhatsApp na yatakuwa yanafanyika siku za Jumatatu-Ijumaa saa 12 jioni. Wanafunzi watapata notes na maelekezo mengine kupitia WhatsApp. Kutakuwa na maswali ya kujibu kila baada la lecture

JUMLA YA MASOMO
1. Lecture-1: Utangulizi
2. Lecture-2: Uchaguzi wa biashara
3. Lecture-3: Kutambua fursa za kuanzisha biashara
4. Lecture-4: Uchaguzi wa eneo la kuanzisha biashara
5. Lecture-5: Uchaguzi wa wateja wa biashara
6. Lecture-6: Uchaguzi wa bidhaa/huduma kwa wateja
7. Lecture-7: Uchaguzi wa sehemu ya kununua bidhaa za jumla
8. Lecture-8: Upangaji wa bei za bidhaa/huduma
9. Lecture-9: Uchambuzi wa soko la biashara
10. Lecture-10: Mikakati ya kufanya biashara
11. Lecture-11: Mfumo wa kusimamia biashara
12. Lecture-12: Mtaji wa kuanzisha biashara
13. Lecture-13: Kuanzisha biashara

SIKU ZA MAFUNZO
Mafunzo yatakuwa ya week 2 ya jinsi ya kuanzisha biashara-1, kuanzia tarehe 4 November – 16 November 2024

WALENGWA WA MAFUZO
Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara lakini hawana elimu ya uanzishaji wa biashara endelevu

KUJIANDIKISHA
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255 716682439
Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 1 November 2024

www.tanbusiness.co.tz
www.youtube.com/
https://ali-mwambola-s-school.teachable.com

VIGEZO 8 VINAVYO TUMIKA KUWEKA MALENGO YA MFUMO WA BIASHARA Biashara endelevu siku zote huwa zinaweka malengo ya kutekel...
18/10/2024

VIGEZO 8 VINAVYO TUMIKA KUWEKA MALENGO YA MFUMO WA BIASHARA

Biashara endelevu siku zote huwa zinaweka malengo ya kutekeleza

Malengo ya biashara husaidia kuweka hamasa kwa viongozi na wafanyakazi kufikia malengo yaliyo wekwa

Unafahamu vigezo vinavyo tumika kuweka malengo ya biashara?
Kipindi hiki nitaeleza vigezo 8 vinavyo tumika kuweka malengo ya biashara

VIGEZO 8 VINAVYO TUMIKA KUWEKA MALENGO YA BIASHARA
o Kuweka lengo la mauzo
o Kuweka lengo la matumizi
o Kuweka lengo la faida
o Kuweka la masoko
o Kuweka lengo la manunuzi ya bidhaa
o Kuweka lengo la uzalishaji
o Kuweka malengo ya kumaliza kazi
o Kuweka malengo ya ufanisi

Kupata habari zaidi angalia video, kupitia LINK

MUHTASARI WA KIPINDI CHA DONDOO ZA MFUMO WA BIASHARA o Vigezo vinavyo tumika kuweka malengo ya mfumo wa biashara o Jifunze Ujasiriamalio Vitabu vya ujasiriam...

JINSI YA KUPANGA MIKAKATI 6 KUONGEZA MAPATO YA WAKALA WA SIMUMkakati gani muhimu wa kupanga ili kuongeza mapato ya biash...
17/10/2024

JINSI YA KUPANGA MIKAKATI 6 KUONGEZA MAPATO YA WAKALA WA SIMU

Mkakati gani muhimu wa kupanga ili kuongeza mapato ya biashara?

Inabidi utekeleze mikakati 6 ili ufanikiwe kuongeza mapato ya wakala wa simu:

o Kuwasiliana na wateja kujua wakala wa simu wanaopenda
o Kutangaza biashara wakala wa simu kupitia redio, tv na social media
o Kupunguza gharama za kuendesha biashara ya wakala wa simu
o Kutofautisha biashara yako na washindani
o Kuweka mkazo kuhudumia kundi la wateja
o Kutoa zawadi kwa wateja wanao tumia huduma za wakala wa simu mara nyingi

Kupata habari zaidi angalia video ya kipindi cha Dondoo za Mambo ya Fedha cha Tan Business Channel Online TV kupitia LINK

MUHTASARI WA KIPINDIo Jinsi ya kupanga mikakati 6 kuongeza mapato ya wakala wa simuo Jifunze Ujasiriamalio Vitabu vya UjasiriamaliHii ni Tan Business Channel...

EPUKA MAKOSA 12 UNAPO ANZISHA BIASHARA YA BUTCHERYUnafahamu makosa wanayofanya wajasiriamali wanapo anzisha biashara ya ...
15/10/2024

EPUKA MAKOSA 12 UNAPO ANZISHA BIASHARA YA BUTCHERY

Unafahamu makosa wanayofanya wajasiriamali wanapo anzisha biashara ya butchery?

Video hii inaeleza makosa 12 ambayo baadhi ya wajasiriamali hufanya wakati wana anzisha biashara ya butchery

MAKOSA 12 YA KUEPUKA

o Kutotambua fursa ya kuanzisha biashara ya butchery
o Kutokuwa na malengo ya kuanzisha biashara ya butchery

o Kutofanya uchaguzi wa aina ya biashara ya butchery
o Kutochagua kundi la wateja la kuwapa huduma

o Kutofahamu mahitaji ya wateja wa butchery

o Kutokuwa na uwezo wa kutosheleza mahitaji ya wateja

o Kutofahamu eneo sahihi la kuanzisha biashara ya butchery

o Kutofahamu ushindani uliopo kwenye biashara ya butchery

o Kutofahamu mikakati ya kupambana na ushindani wa biashara

o Kutofahamu kiasi cha mtaji unao hitajika kuanzisha biashara

o Kuto tengeneza business plan ya biashara butchery

o Kutotengeneza mfumo wa kuendesha biashara ya butchery

o Kutofanya promotion ya biashara ya butchery

Kupata habari zaidi angalia video, kupitia LINK

Jinsi ya kuepuka makosa 12 unapo anzisha biashara ya butcheryUnafahamu makosa wanayofanya wajasiriamali wanapo anzisha biashara ya butchery?Video hii inaelez...

MAFUNZO YA KUANZISHA BIASHARA ENDELEVUKaribu kwenye mafunzo ya jinsi ya kuanzisha biashara yatakayo simamiwa na Tan Busi...
14/10/2024

MAFUNZO YA KUANZISHA BIASHARA ENDELEVU
Karibu kwenye mafunzo ya jinsi ya kuanzisha biashara yatakayo simamiwa na Tan Business Online School

Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara kwa kutekeleza taratibu muhimu zinazo kubalika za kuanzisha biashara

UTARATIBU WA MAFUNZO
Mafunzo yatafanyika kwa kutumia platform ya WhatsApp na yatakuwa yanafanyika siku za Jumatatu-Ijumaa saa 12 jioni. Wanafunzi watapata notes na maelekezo mengine kupitia WhatsApp. Kutakuwa na maswali ya kujibu kila baada la lecture

JUMLA YA MASOMO
1. Lecture-1: Utangulizi
2. Lecture-2: Uchaguzi wa biashara
3. Lecture-3: Kutambua fursa za kuanzisha biashara
4. Lecture-4: Uchaguzi wa eneo la kuanzisha biashara
5. Lecture-5: Uchaguzi wa wateja wa biashara
6. Lecture-6: Uchaguzi wa bidhaa/huduma kwa wateja
7. Lecture-7: Uchaguzi wa sehemu ya kununua bidhaa za jumla
8. Lecture-8: Upangaji wa bei za bidhaa/huduma
9. Lecture-9: Uchambuzi wa soko la biashara
10. Lecture-10: Mikakati ya kufanya biashara
11. Lecture-11: Mfumo wa kusimamia biashara
12. Lecture-12: Mtaji wa kuanzisha biashara
13. Lecture-13: Kuanzisha biashara

SIKU ZA MAFUNZO
Mafunzo yatakuwa ya week 2 ya jinsi ya kuanzisha biashara-1, kuanzia tarehe 4 November – 16 November 2024

WALENGWA WA MAFUZO
Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara lakini hawana elimu ya uanzishaji wa biashara endelevu

KUJIANDIKISHA
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255 716682439
Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 1 November 2024

www.tanbusiness.co.tz
www.youtube.com/
https://ali-mwambola-s-school.teachable.com

MAFUNZO YA KUANZISHA BIASHARA ENDELEVUKaribu kwenye mafunzo ya jinsi ya kuanzisha biashara yatakayo simamiwa na Tan Busi...
13/10/2024

MAFUNZO YA KUANZISHA BIASHARA ENDELEVU

Karibu kwenye mafunzo ya jinsi ya kuanzisha biashara yatakayo simamiwa na Tan Business Online School

Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara kwa kutekeleza taratibu muhimu zinazo kubalika za kuanzisha biashara

UTARATIBU WA MAFUNZO
Mafunzo yatafanyika kwa kutumia platform ya WhatsApp na yatakuwa yanafanyika siku za Jumatatu-Ijumaa saa 12 jioni.

Wanafunzi watapata notes na maelekezo mengine kupitia WhatsApp. Kutakuwa na maswali ya kujibu kila baada la lecture

JUMLA YA MASOMO
1. Lecture-1: Utangulizi
2. Lecture-2: Uchaguzi wa biashara
3. Lecture-3: Kutambua fursa za kuanzisha biashara
4. Lecture-4: Uchaguzi wa eneo la kuanzisha biashara
5. Lecture-5: Uchaguzi wa wateja wa biashara
6. Lecture-6: Uchaguzi wa bidhaa/huduma kwa wateja
7. Lecture-7: Uchaguzi wa sehemu ya kununua bidhaa za jumla
8. Lecture-8: Upangaji wa bei za bidhaa/huduma
9. Lecture-9: Uchambuzi wa soko la biashara
10. Lecture-10: Mikakati ya kufanya biashara
11. Lecture-11: Mfumo wa kusimamia biashara
12. Lecture-12: Mtaji wa kuanzisha biashara
13. Lecture-13: Kuanzisha biashara

SIKU ZA MAFUNZO
Mafunzo yatakuwa ya week 2 ya jinsi ya kuanzisha biashara-1, kuanzia tarehe 4 November – 16 November 2024

WALENGWA WA MAFUZO
Haya mafunzo ni kwa ajili ya wajasiriamali ambao wanataka kuanzisha biashara lakini hawana elimu ya uanzishaji wa biashara endelevu

KUJIANDIKISHA
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255 716682439

Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 1 November 2024

www.tanbusiness.co.tz
https://youtube.com/
https://ali-mwambola-s-school.teachable.com

KITABU CHA KUANZISHA BIASHARA YA BODABODAHiki kitabu kinaeleza jinsi ya kuanzisha biashara ya kusafirisha abiria kutumia...
10/10/2024

KITABU CHA KUANZISHA BIASHARA YA BODABODA

Hiki kitabu kinaeleza jinsi ya kuanzisha biashara ya kusafirisha abiria kutumia pikipiki ambayo inapata abiria wengi, mapato makubwa na faida, hivyo kuwa biashara endelevu

Ili kusaidia wajasiriamli ambao wanataka kuanzisha biashara ambazo zinapata faida na kuwa endeleveu, tumechapisha hiki kitabu cha biashara ya kusafirisha abiria kutumia pikipiki

Kitabu kimegawanywa katika sura 20

1. Kutambua fursa za kuanzisha biashara
2. Kuchagua aina ya biashara ya Bodaboda
3. Kuchagua eneo la kutoa huduma ya bodaboda
4. Uwekezaji katika biashara ya Bodaboda
5. Mfumo wa kusimamia biashara ya Bodaboda
6. Ushindani wa biashara ya Bodaboda
7. Uchaguzi wa abiria wa Bodaboda
8. Uchaguzi wa pikipiki za Bodaboda
9. Manunuzi ya pikipiki za Bodaboda
10. Mapato ya biashara ya bodaboda
11. Gharama za kuendesha Biashara
12. Faida ya biashara ya bodaboda
13. Plan ya biashara ya bodaboda
14. Kupanga nauli za abiria
15. Matangazo ya biashara ya bodaboda
16. Mikakati ya kufanya biashara ya bodaboda
17. Mtaji wa biashara ya Bodaboda
18. Hesabu za biashara ya Bodaboda
19. Matangazo ya biashara ya Bodaboda
20. Kuanzisha biashara ya Bodaboda

Kwa maelezo zaidi kuhusu hiki kitabu wasiliana nasi kupitia WhatsApp Number +255 716 682 439

KITABU CHA KUANZISHA BIASHARA YA ABIRIA WA BAJAJHiki kitabu kinaeleza jinsi ya kuanzisha biashara ya kusafirisha abiria ...
21/09/2024

KITABU CHA KUANZISHA BIASHARA YA ABIRIA WA BAJAJ

Hiki kitabu kinaeleza jinsi ya kuanzisha biashara ya kusafirisha abiria kutumia pikipiki za Bajaj ambayo inapata abiria wengi, mapato makubwa na faida, hivyo kuwa biashara endelevu

Ili kusaidia wajasiriamli ambao wanataka kuanzisha biashara ambazo zinapata faida na kuwa endeleveu, tumechapisha hiki kitabu cha biashara ya kusafirisha abiria kutumia pikipiki za Bajaj

Kitabu kimegawanywa katika sura 19
1. Kutambua fursa za kuanzisha biashara
2. Kuchagua aina ya biashara ya Bajaj
3. Kuchagua eneo la kutoa huduma
4. Uwekezaji katika biashara ya Bajaj
5. Mfumo wa kusimamia biashara ya Bajaj
6. Ushindani wa biashara ya Bajaj
7. Uchaguzi wa abiria wa Bajaj
8. Uchaguzi wa pikipiki za Bajaj
9. Manunuzi ya pikipiki za Bajaj
10. Mapato ya biashara ya bajaj
11. Gharama za kuendesha Biashara
12. Faida ya biashara
13. Plan ya biashara ya bajaj
14. Kupanga nauli za abiria
15. Matangazo ya biashara ya bajaj
16. Mikakati ya kufanya biashara
17. Mtaji wa biashara ya Bajaj
18. Hesabu za biashara ya Bajaj
19. Matangazo ya biashara ya Bajaj
20. Kuanzisha biashara ya Bajaj

Kwa maelezo zaidi kuhusu hiki kitabu wasiliana nasi kupitia WhatsApp Number +255 716 682 439

KITABU CHA BIASHARA YA ABIRIA WA BAJAJKitabu ulichokuwa unakingojea sasa kitazinduliwa kesho tarehe 20 September 2024Hik...
19/09/2024

KITABU CHA BIASHARA YA ABIRIA WA BAJAJ

Kitabu ulichokuwa unakingojea sasa kitazinduliwa kesho tarehe 20 September 2024

Hiki kitabu kinaeleza hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha biashara ya kusafirisha abiria kwa pikipiki za aina ya Bajaj

K**a unataka kuanzisha biashara ya Bajaj ambayo itapata abiria wengi, mapato mazuri na kupata faida kubwa, hiki kitabu kitakusaidia

Kwa maelezo zaidi kuhusu hiki kitabu wasiliana nasi kupitia WhatsApp Number +255 716 682439

KITABU CHA BIASHARA YA BAJAJKitabu ulichokuwa unakingojea sasa kitazinduliwa tarehe 20 September 2024Hiki kitabu kinaele...
17/09/2024

KITABU CHA BIASHARA YA BAJAJ

Kitabu ulichokuwa unakingojea sasa kitazinduliwa tarehe 20 September 2024

Hiki kitabu kinaeleza hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha biashara ya kusafirisha abiria kwa pikipiki za aina ya Bajaj

K**a unataka kuanzisha biashara ya Bajaj ambayo itapata abiria wengi, mapato mazuri na kupata faida kubwa, hiki kitabu kitakusaidia

Kwa maelezo zaidi kuhusu hiki kitabu wasiliana nasi kupitia WhatsApp Number +255 716 682439

Address

Plot 60, Block 45 Kajenge Street, Kijitonyama, Kinondoni District
Dar Es Salaam
2100/A

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00

Telephone

+255716682439

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AVIC Consultants posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share