Cng Tanzania

Cng Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cng Tanzania, Business service, TMK, Dar es Salaam.

Truck Cng Gas Tanks Clean Energy 🌎
23/10/2024

Truck Cng Gas Tanks Clean Energy 🌎

Mtungi Wa kilo 11 80ltr hii kwa ajili ya magari Madogo ,karibu  tuweze kukusaidia kupunguza gharama za mafuta
15/10/2024

Mtungi Wa kilo 11 80ltr hii kwa ajili ya magari Madogo ,karibu tuweze kukusaidia kupunguza gharama za mafuta

Subaru Forester ikiwa imeongezewa mfumo wa gesi asilia.FAIDA ZA GESI ASILIA (CNG): 🔧Hupunguza matumizi ya mafuta ya kawa...
06/05/2024

Subaru Forester ikiwa imeongezewa mfumo wa gesi asilia.
FAIDA ZA GESI ASILIA (CNG):
🔧Hupunguza matumizi ya mafuta ya kawaida mpaka
asilimia sitini (70%)
🪛Hudumisha Uhai wa Injini ya gari lako-haitoi gesi chafu.
🔩Hurudi kwenye mfumo wa mafuta (Petrol) wakati wowote
kwa kubonyeza Switch
⛏️Hupunguza matumizi ya service kwa kufanya oil ya injini kudumu mda mrefu zaidi.
⚙️Bei ya gesi asilia haibadiliki mara kwa mara, inapatikana hapa hapa Tanzania.
Kwa maelezo ya kina na ushauri tupigie +255 711 747 171

Tupo karibu na opposite na Temeke Hospital(Afya House)

Tunafunga mfumo gesi kwa gharama nafuu
25/04/2024

Tunafunga mfumo gesi kwa gharama nafuu

Address

TMK
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cng Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share