27/05/2017
Wengi wetu humu ndani bado ni vijana na tuna nguvu za kufanya kazi...Unajua hata biblia inasema mkumbuke muumba wako siku za ujana wako😉
Kuna muda utafika wakati umri utakapokua umeenda sana,Utataman kufanya mambo mengi ila utakua huna nguvu na uwezo wakuyafanya hayo...Sasa ib ndo muda wakupanbana na haya maisha.. Tuangalie tusipoteze timing🤓
Umri ukishasogea ni wakati wa kupigia wajukuu na watu wengine stori za vile ulipambana na maisha..Muda huo sio wakuhangaika tena...Timing Timing Timing...
Hiz nguvu tulizonazo saiv hazitadumu kwetu siku zote...
Sasa jiulize saiv unatumia nguvu zako wapi?
Je unazitumia kujitengenezea maisha mazr badae au unazitumia kujitengenezea mazingira ya kua mzigo badae😭