MaraOne Technology

MaraOne Technology Cctv camera
Electric fence
Air conditionin
Electrical wiring
Intruders alarms
Automatic gate motors Tunafika popote Tanzania

27/05/2026
26/04/2026

Electric fence restoration in

πŸ‘‰ Popote tunakufikia ikiwa utahitaji kazi nzuri na una thamini pesa yako...

πŸ‘‰ Ikiwa huthamini pesa yako, basi usituite,, ikiwa unapenda ubora na una thamini pesa yako, basi tuchek

20/04/2026

Usalama wa mali zako sio majaribio β€” ni utaalam. ⚑

πŸ”Ή Tuna funga na kufanyia service electric fence kwa ubora na kiwango cha juu, kazi safi, wiring sahihi na system inayofanya kazi bila makosa.

Usisubiri tatizo litokee ndipo uchukue hatua. Linda mali yako mapema kwa mfumo wa kisasa unaoaminika.

πŸ“ Tunahudumia maeneo yote Tanzania

Wasiliana nasi tukufanyie kazi kitaalam zenye ubora na zinazo dumu
☎️+255777771221
βœ‰οΈ
πŸ“ Dar es Salaam, Tanzania

15/04/2026

12/04/2026

Kazi ndo inajieleza πŸ”₯
Sisi hatufanyi majaribio… tunafanya installation za kiwango cha juu πŸ’―

Angalia tofauti πŸ‘‡
πŸ‘‰ Kazi ya kitaalamu vs kazi ya kubahatisha

Usichezee usalama wa nyumba yako 🚫
Weka mfumo uliofanywa na wataalamu wa kweli

πŸ“ CCTV | Electric Fence | Automatic Gates
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa

QualityWork

08/04/2026

MaraOne for Everyone,,,
πŸ‘‰ Tunakupa kilicho bora
πŸ‘‰ Tuna thamini pesa yako

07/04/2026

Always beware of unfaithful people,, Always choose right ones,,
πŸ‘‰One Trick to identify unfaithful people,, they offer cheap prices as a bait to catch ypu..

03/04/2026

Haya ni matokeo ya ukosefu wa vifaa sahihi vya kazi, na kupelekea haya,
πŸ“Œ Jitahidi kuwekeza katika vifaa sahihi maana ndio matokeo ya kazi nzuri na bora,,

Address

Kinondoni Mkwajuni, Masauni Street House No 26, Near Garden Police Post
Dar Es Salaam

Telephone

+255752313121

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MaraOne Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share