Selashtech

Selashtech πŸ“Ί IT SERVICES | Ubunifu wa Logo | Tovuti za kisasa | Mfumo wa GPS Karibu SelashTech, rafiki yako wa kuaminika katika safari ya kidijitali!

Tunajivunia kujitolea kuboresha biashara yako kupitia suluhisho za kisasa za teknolojia. Tunatoa huduma bora za IT kama vile maendeleo ya programu, ushauri wa IT, na usimamizi wa mifumo ya kompyuta. Ungana nasi na tufanye kazi pamoja kwa mafanikio ya biashara yako!

Website yako ni nzuri, lakini inachukua muda mrefu kufunguka?Wageni wengi hawasubiri website ambayo ni slow.Tunasaidia:⚑...
01/09/2026

Website yako ni nzuri, lakini inachukua muda mrefu kufunguka?

Wageni wengi hawasubiri website ambayo ni slow.

Tunasaidia:

⚑ Website Speed Optimization
⚑ Image Optimization
⚑ Database Cleanup
⚑ Caching Configuration
⚑ Hosting Optimization

Tupigie kwa 0714592047 sasa

πŸ–¨οΈ Printer yako ikianza kutoa mistari, kuchelewesha print au kugoma ghafla… usisubiri mpaka iharibike kabisa.Printer Mai...
28/05/2026

πŸ–¨οΈ Printer yako ikianza kutoa mistari, kuchelewesha print au kugoma ghafla… usisubiri mpaka iharibike kabisa.

Printer Maintenance si gharama β€” ni uwekezaji wa kuhakikisha kazi zako zinaendelea bila interruptions.

SelashTech tunatoa huduma za:
βœ… Printer servicing
βœ… Cleaning & maintenance
βœ… Troubleshooting
βœ… Cartridge & toner support
βœ… Onsite support kwa ofisi na biashara

Maintenance ya mara kwa mara husaidia:
βœ”οΈ kuongeza maisha ya printer
βœ”οΈ kupunguza breakdowns
βœ”οΈ kuokoa gharama za matengenezo makubwa
βœ”οΈ kuhakikisha kazi zinaendelea smoothly

Biashara yako deserves reliable printing operations πŸ’Ό

πŸ“ Onsite support available
πŸ“ž +255 714 592 047

12/05/2026

πŸš€ COMPUTER YAKO NI NZITO? TUNA SOLUTION! πŸ”₯

Badilisha kwenda kwenye πŸ’Ύ SSD 256GB na uone tofauti ya speed instantly 😎⚑
βœ… Computer inawaka kwa sekunde chache
βœ… Apps & programs zinafunguka fasta
βœ… Hakuna tena lag wala β€œcomputer nzito”
βœ… Imara zaidi kuliko HDD ya kawaida
πŸ“Œ Perfect kwa: πŸ’» Laptop & Desktop
πŸ§‘β€πŸ’Ό Office Work
πŸ§‘β€πŸŽ“ Masomo
🌐 Internet & Browsing
🎬 Movies & Entertainment
πŸ’Έ PRICE: TSH 100,000 ONLY!
🚚 Delivery available Dar es Salaam
πŸ“ž Order sasa: 0715592047
🏒 SelashTech
DesktopTZ TechTanzania SSDUpgrade ComputerSpeed Kariakoo TechStoreTZ DeliveryTZ FastComputer TanzaniaBusiness TechDeals

πŸ” WEBSITE YAKO INAONEKANA GOOGLE? 🌐K**a jibu ni hapana… basi unapoteza wateja kila siku 😬SelashTech tunakusaidia kufanya...
29/03/2026

πŸ” WEBSITE YAKO INAONEKANA GOOGLE? 🌐

K**a jibu ni hapana… basi unapoteza wateja kila siku 😬

SelashTech tunakusaidia kufanya biashara yako ionekane pale wateja wanapotafuta huduma zako – ukurasa wa kwanza wa Google! πŸš€

βœ… Tunakuweka juu ya search results
βœ… Tunaongeza wateja (organic traffic)
βœ… Tunakuza mauzo bila kulipia ads kila siku
βœ… Tunajenga uaminifu wa brand yako

πŸ’‘ Wateja wanatafuta huduma zako sasa hivi… je, wanakuona?

πŸ”₯ Acha tukuweke mbele ya competitors wako

πŸ“ž Piga simu: 0714 592 047
🌐 SelashTech – Tunakuweka juu Google

πŸ“± UNAPOST LAKINI HUPATI WATEJA?πŸ€”Tatizo si biashara yakoβ€¦πŸ‘‰ Tatizo ni jinsi unavyotumia social media!SelashTech tunakusaid...
28/03/2026

πŸ“± UNAPOST LAKINI HUPATI WATEJA?πŸ€”

Tatizo si biashara yako…
πŸ‘‰ Tatizo ni jinsi unavyotumia social media!

SelashTech tunakusaidia kusimamia kurasa zako kitaalamu na kuzigeuza kuwa mashine ya kuleta wateja πŸš€

βœ… Tunatengeneza content inayovutia
βœ… Tunaongeza engagement (likes, comments, shares)
βœ… Tunakuletea followers halisi
βœ… Tunasaidia kupata wateja kupitia matangazo (Ads)

πŸ’‘ Social media sio kupost tu… ni strategy!

πŸ”₯ Geuza followers kuwa wateja leo

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0714 592 047
πŸ“ SelashTech – Tunakuza biashara yako kidigitali

🌐 BORESHA BIASHARA YAKO KIDIGITALI! πŸš€Je, bado unategemea WhatsApp tu? πŸ€”Ni muda sasa wa kupeleka biashara yako next level...
27/03/2026

🌐 BORESHA BIASHARA YAKO KIDIGITALI! πŸš€

Je, bado unategemea WhatsApp tu? πŸ€”
Ni muda sasa wa kupeleka biashara yako next level kwa website ya kisasa na ya kitaalamu!

SelashTech tunakutengenezea website:
βœ… Inayoonekana professional
βœ… Inafunguka vizuri kwenye simu na computer (Responsive)
βœ… Inaonekana Google (SEO Friendly)
βœ… Salama na yenye kasi ⚑

πŸ’‘ Website yako ni ofisi yako ya mtandaoni – ifanye ivutie wateja 24/7!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0714 592 047
πŸ’» SelashTech – Tunajenga uwepo wako mtandaoni

17/02/2026

Our websites are designed for business growth. They include responsive design, fast performance, strong security, marketing tools, and management systems so that your website works like a digital employee for your business
call us: +255714592047

21/01/2026

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Selashtech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Selashtech:

Shortcuts

Share