Dira Tz

Dira Tz Tunahakikisha Hupitwi Na Habari, Magazeti & matukio motomoto Yote: YouTube & App Tz.

Hello Habari,


Hakikisha haupitwi na Tamthiliya yeyote ile toka Azam TV ,

- Utatazama Tamthiliya zote hizo Full kiganjani mwako k**a utajiunga kwa Group Au k**a wahitaji kutumiwa private basi:

DM/whatsapp:https://wa.me/657276763

๐Ÿ’š FAIDA ZA PARACHICHI (AVOCADO) KWA KINA MAMA ๐Ÿ’šKina mama wengi wanapenda afya bora, ngozi nzuri na mwili wenye nguvu โ€” n...
20/11/2025

๐Ÿ’š FAIDA ZA PARACHICHI (AVOCADO) KWA KINA MAMA ๐Ÿ’š

Kina mama wengi wanapenda afya bora, ngozi nzuri na mwili wenye nguvu โ€” na parachichi ni moja ya matunda yanayoweza kukusaidia kufikia yote hayo kwa urahisi!

โœ”๏ธ 1. Husaidia Ngozi Kung'aa
Parachichi lina Vitamin E na healthy fats zinazosaidia ngozi kuwa laini, nyororo na kupunguza mikunjo.

โœ”๏ธ 2. Hutoa Nguvu Mwilini
Kwa kina mama wanaofanya kazi nyingi, parachichi hutoa nguvu za kudumu bila kuongeza sukari kupita kiasi.

โœ”๏ธ 3. Husaidia Kupunguza Uzito
Healthy fats zake zinakufanya ushibe muda mrefu, hivyo kupunguza kula kupita kiasi.

โœ”๏ธ 4. Bora kwa Akina Mama Wajawazito
Linatoa folic acid inayosaidia ukuaji mzuri wa mtoto tumboni na kupunguza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito.

โœ”๏ธ 5. Linalinda Moyo
Mafuta yake mazuri (monounsaturated fats) yanasaidia kushusha cholesterol mbaya na kulinda moyo.

โœ”๏ธ 6. Husaidia Homoni Kurudi Kawaida
Kwa kina mama wanaopitia mabadiliko ya homoni, parachichi husaidia ku-balance homoni na kupunguza stress ya mwili.

โœ”๏ธ 7. Hupunguza Maumivu ya Hedhi
Virutubisho vyake vinapunguza inflammation na maumivu wakati wa siku zako.

Parachichi si tunda tu โ€” ni chakula cha afya kinachomsaidia mama kuwa na mwili imara, ngozi nzuri na nguvu kila siku!

Share post hii uwasaidie kina mama wengine wapate elimu. ๐Ÿ’š

Mbwana Samatta amezaliwa Upya huko Ugiriki Katika Klabu ya PAOK Ni Mchezo wake wa Tatu mfululizo anafungaMbwana Samatta ...
23/02/2025

Mbwana Samatta amezaliwa Upya huko Ugiriki Katika Klabu ya PAOK

Ni Mchezo wake wa Tatu mfululizo anafunga
Mbwana Samatta โค๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ












16/03/2023

๐Ÿ”ฅWANANCHiiiiii๐Ÿ”ฅ

Kocha ajaye wa Manchester United Erik ten Hag anataka kumsajili mshambuliaji wa Juventus na Argentina Paulo Dybala, 28. ...
30/04/2022

Kocha ajaye wa Manchester United Erik ten Hag anataka kumsajili mshambuliaji wa Juventus na Argentina Paulo Dybala, 28. (Corriere dello Sport - in Italian)

Arsenal inamsaka mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, 25, kumpeleka Emirates, huku tayari mkurugenzi wa ufundi...
26/04/2022

Arsenal inamsaka mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, 25, kumpeleka Emirates, huku tayari mkurugenzi wa ufundi wa 'the Gunners' Edu ameshafanya mazungumzo na wawakikishi wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil.

https://youtu.be/dcSrAiap3Lk
13/04/2022

https://youtu.be/dcSrAiap3Lk

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri SIMBA YAISIMAMISHA KIGAMBONI KUELEKEA MECHI YA ORLANDO /AHMED ALLY ATEMA CHECHE ...

https://youtu.be/yezi7-3R0N4
03/04/2022

https://youtu.be/yezi7-3R0N4

Tunaungana na Mama Rosa na watoto wake Kalulu na Gammy, ambao rafiki yao Ananda ana wasiwasi kuhusu kupotea kwa baba yake. Nini kimemtokea? Hadithi hii ya ku...

https://www.facebook.com/111298080350623/posts/461095622037532/
13/01/2022

https://www.facebook.com/111298080350623/posts/461095622037532/

USHAURI KABLA YA KUANZA MRADI WA KUFUGA KUKU WA MAYAI AU NYAMA KIBIASHARA:

:
i. Hakikisha umepata maelekezo sahihi juu ya ufugaji wako mapema kabla ya kuanza mradi.
ii. Piga hesabu ya uwekezaji wa mradi wako mapema kabla hujatoa pesa kujenga au kununua vifaa na kuku.
iii. Fanya uchunguzi wa soko la mazao ya shamba lako mapema kabla hujaanza uzalishaji.
iv. Chagua mbegu bora ya kuku kuendana na soko.
v. Chunguza matatizo au changamoto ambazo utakutana nazo.
vi. Fikiri njia za kutatua matatizo au changamoto ulizozibaini.
vii. Zingatia kanuni na ushauri bora juu ya ufugaji wako.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dira Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share