07/02/2025
Moja kati ya njia nzuri na bora katika kusimamia masuala ya kodi ni kutunza hesabu zako katika namna inayokupa taswira ya wazi kwa kila malipo na manunuzi unayoyafanya siku kwa siku.
Karibu King'smen Consultancy Limited , tutakupa ushauri na kukusaidia kutunza na kuweka vizuri hesabu zote za kodi ili uepuke faini zisizo na sababu.
Tuachie sisi masuala yako yote ya kodi, na guvu zako hamishia katika kuikuza biashara yako.
'smen