Hotencia Bakery Shop

Hotencia Bakery Shop WELCOME TO HOTENCIA BAKERY SHOP,

Tunatengeneza keki aina zote, Birthday cake, Graduation cake, Kitchen party cake, Send off na Wedding cake.

Tupo eneo la TIPTOP CENTER jirani kabisa na morogoro road. Kuhusu huduma zetu, keki zinapatikana mda wowote hata ikiwa mteja ana haraka. Tunapokea order za keki kutoka kwa mteja anaehitaji size tofauti, umbo tofauti na rangi anayoipenda mteja. Pia tuna album ya picha za keki ambayo mteja ataweza kuchagua picha atakayoipenda na tunatoa ushauri kwa wateja wetu. Tunafungua saa 1:30 asubui na kufunga

saa 1:30 jion.Siku za sikukuu tunafungua saa 2 asubui hadi saa 7 mchana. Kwetu mteja ni zaidi ya mfalme, tunamsikiliza na tunamhudumia kwa ufasaha kabisa. Kwa maelezo zaid rejea namba zifuatazo
0715 937236, 0754 937236, 0682 261828 pamoja na [email protected]

karibuni sana

26/02/2015

WELCOME TO HOTENCIA BAKERY SHOP,

Tunatengeneza keki aina zote, Birthday cake, Graduation cake, Kitchen party cake, Send off na Wedding cake. Tupo eneo la TIPTOP CENTER jirani kabisa na morogoro road.

Kuhusu huduma zetu, keki zinapatikana mda wowote hata ikiwa mteja ana haraka.
Tunapokea order za keki kutoka kwa mteja anaehitaji size tofauti, umbo tofauti na rangi anayoipenda mteja. Pia tuna album ya picha za keki ambayo mteja ataweza kuchagua picha atakayoipenda na tunatoa ushauri kwa wateja wetu.

Tunafungua saa 1:30 asubui na kufunga saa 1:30 jion.Siku za sikukuu tunafungua saa 2 asubui hadi saa 7 mchana. Kwetu mteja ni zaidi ya mfalme, tunamsikiliza na tunamhudumia kwa ufasaha kabisa.

Kwa maelezo zaid rejea namba zifuatazo

0715 937236,

0754 937236,

0682 261828 au kwa barua pepe:
[email protected]

Karibuni sana!

24/02/2015
24/02/2015
24/02/2015
24/02/2015
14/02/2015

Address

Tip Top Center/Opposite Saccos
Dar Es Salaam
MANDERAROAD

Opening Hours

Monday 07:30 - 19:30
Tuesday 07:30 - 19:30
Wednesday 07:30 - 19:30
Thursday 07:30 - 19:30
Friday 07:30 - 19:30
Saturday 07:30 - 19:30
Sunday 08:00 - 15:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hotencia Bakery Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share