Duka Mseto

Duka Mseto Tunauza bidhaa mbalimbali kwa bei 'chee' na utaletewa mpaka hapo ulipo bila gharama za ziada. Mteja kwetu ni zaidi ya mfalme.

16/02/2015
GARI INAUZWA BEI NZURI TSHS MILION 3.5 MAZUNGUMZO YAPOGARI IPO DSM MAENEO YA MABIBO HOSTEL- MSIKITINIIPO VIZURI UNAWEZA ...
21/01/2015

GARI INAUZWA BEI NZURI TSHS MILION 3.5 MAZUNGUMZO YAPO

GARI IPO DSM MAENEO YA MABIBO HOSTEL- MSIKITINI
IPO VIZURI UNAWEZA KUJA KUICHEKI NA FUNDI WAKO

MAWASILIANO - 0682488886

Jinsi ya kutoka kimaisha kwa kuanza na mshahara mdogo- Kubali kwamba kipato chako ni kidogo na anza kwa kuishi maisha ha...
21/01/2015

Jinsi ya kutoka kimaisha kwa kuanza na mshahara mdogo

- Kubali kwamba kipato chako ni kidogo na anza kwa kuishi maisha hayo

- Anza kuweka akiba kwenye mshahara wako wa kwanza

- Angalia fursa nyingine zinazopatikana kwenye kazi yako

-Jifunze kila siku, jifunze ujuzi wa ziada, jifunze kuhusu biashara, jifunze kuhusu maendeleao binafsi.

Tsh 15,000 tu ukipenda mchek 0717832946///0684559699. .
19/01/2015

Tsh 15,000 tu ukipenda mchek 0717832946///0684559699. .

BLACKBERRY IS BACK . . ICHEKI HAPA SIMU MPYA AINA YA BLACKBERRY CLASSIC AU Q20Wakati Kampuni za Apple na Adroid zikiweka...
19/01/2015

BLACKBERRY IS BACK . . ICHEKI HAPA SIMU MPYA AINA YA BLACKBERRY CLASSIC AU Q20

Wakati Kampuni za Apple na Adroid zikiweka nguvu kubwa kutengenza simu za touch screen kwa kampuni ya BlacBerry imekuja kivingine kwa kutoa aina mpya ya simu ya kutumia batani iitwayo BlackBerry Classic au Q20.

Kampuni hiyo imerudisha matumizi ya batani kwa kuamini kuwa yanapendwa zaidi na watumiaji wengi wa simu ikiwemo wafanyabiashara kwasababu ni rahisi kuliko touch screen.

CEO wa BlackBerry John Chen ameitambulisha simu hiyo New York Marekani na kusisitiza kuwa ni nzuri kwa usalama wa mtumiaji na pia inakaa na chaji muda mrefu pamoja na rahisi kwenye kuandika kutokana na kutumia batani.

Kampuni ya BlackBerry kwasasa inajaribu kurudi sokoni baada ya kuwa imepoteza umaarufu wake na kushuka sana kimauzo kutokana na kuingia kwa kampuni za simu zenye ushindani mkubwa ikiwemo Apple ambao zimekuwa na application nzuri tofauti za BlackBerry

SABABU KUMI (10) KWA NINI UTAENDELEA KUWA MASIKINI1. Unafanya matumizi makubwa na yasiyo ya lazima.2. Haujiwekei akiba k...
19/01/2015

SABABU KUMI (10) KWA NINI UTAENDELEA KUWA MASIKINI

1. Unafanya matumizi makubwa na yasiyo ya lazima.
2. Haujiwekei akiba kwa kile unachopata.
3. Una madeni mengi.
4. Unaweka mayai yako yote kwenye kapu moja.
5. Hauna utamaduni wa kuwa na bima.
6. Hauwekezi kwenye nafsi yako mfano kujiendeleza kielimu, kufanya tafiti nk.
7. Hauna malengo na mipango haswa ya muda mrefu.
8. Hauna uvumilivu na unakata tamaa mapema.
9. Hauna shukrani na hauna mkono wa kutoa.
10. Haubadiliki, unafanya yaleyale kwa mtindo uleule.

Mitindo ya nywele kwa kina dada
19/01/2015

Mitindo ya nywele kwa kina dada

Hizi ndio shati za Zari swagga mpya mjini
19/01/2015

Hizi ndio shati za Zari swagga mpya mjini

Fashion kwa watoto
19/01/2015

Fashion kwa watoto

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Telephone

+255682488886

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Duka Mseto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share