Mjasiriamali mdogo

Mjasiriamali mdogo NI jarida la Mjasiriamali mdogo linalomsaidia kutangaza biashara/bidhaa zake kwa bei nafuu

17/09/2014
kazi za jarida la majasiriamali mdogo!!Graphic design.sample za lebo za wajasiriamali wadogo zilizotengenezwa mna mkude ...
17/09/2014

kazi za jarida la majasiriamali mdogo!!
Graphic design.
sample za lebo za wajasiriamali wadogo zilizotengenezwa mna mkude graphics

Kwa hisani ya jarida la mjasiriamali mdogo!!Kampuni ya mkude graphics inapenda kuwatangazia wateja wake wa Tandika, Teme...
17/09/2014

Kwa hisani ya jarida la mjasiriamali mdogo!!
Kampuni ya mkude graphics inapenda kuwatangazia wateja wake wa Tandika, Temeke, yombo, kitunda, mombasa, banana na kwingineko imefungua tawi jipya lililopo shule ya msingi tandika fremu namba 78, huduma za kijasiriamali zinapitaka k**a lebo, malighafi, vifungashio(chupa, mabox nk...) ! wasiliana nasi kwa 0657102720/0716426564

Bado hujachelewa tanagaza nasi sasa bei hizo hapo!! Nadhani maswali yatapungua kuhusu bei,Ni bei rahisi kuliko wahi sasa...
10/09/2014

Bado hujachelewa tanagaza nasi sasa bei hizo hapo!!
Nadhani maswali yatapungua kuhusu bei,
Ni bei rahisi kuliko wahi sasa bado na mapema!!!
Tarehe 26/09/2014 ndo mwisho wa kuchukua matangazo kwa jarida litakalotoka tarehe 1/10/2014.

Baada ya watu kuulizia bei. Leo ni hii hapaJarida la mjasiriamali mdogo ni kwa wajasiriamali wadogo bei zetu ni nafuu sa...
07/09/2014

Baada ya watu kuulizia bei. Leo ni hii hapa
Jarida la mjasiriamali mdogo ni kwa wajasiriamali wadogo bei zetu ni nafuu sana!! na Tangazao ni la rangi na litakuwa kwenye gazeti mwezi mzima mtaani, ona hii ni faida kubwa haijawahi tokea kuwa wa kwanza kutangaza nasi leo uone faida yake!! Biashara ni matangazo.
'' biashara bila matangazo sijui..."" wahi sasa utangaze nasi

Tangaza sasa!!biashara yako na Jarida la mjasiriamali mdogoKuwa mtaani 01.10.2014, lipo kwenye hatua za mwisho lete tang...
07/09/2014

Tangaza sasa!!
biashara yako na Jarida la mjasiriamali mdogo
Kuwa mtaani 01.10.2014, lipo kwenye hatua za mwisho lete tangazo lako sasa. na k**a huna sisi tunakudesignia Bure!!!

Mkude GRaphics Training project imeanza rasmi jana tarehe 01.09.2014. hapa ni baadh ya Wanafunzi wa Mkude Graphics wakiw...
02/09/2014

Mkude GRaphics Training project imeanza rasmi jana tarehe 01.09.2014. hapa ni baadh ya
Wanafunzi wa Mkude Graphics wakiwa Darasani wakijifunza Sketching na jinsi ya kusketch kazi mbalimbali, Shukrani wote waliolike na kushare page yetu mmetusaidia kufikisha matangazo yetu kwa watu na tumeona matunda shukrani sana, Sasa tunamebakiza kitu kimoja nguvu yetu sasa ni kuwasaidia wajasirimali wadogo please like page yetu ya Mjasiriamali mdogo ili ujumbe uwakifikie wengi na tuweze kuwasaidia kutangaza biashara zao kwani wengi hawezi kujitangaza katika vyombo vya habari vikubwa kwani gharama ni kubwa mon mjasiriamali mdogo magazine ipo kwaajili yao, ‘‘pamoja tunaweza’’

Chemsha BOngo, Naitaji jibu na maelezo kidogo kwa nini jibu lako ni sahihi. Zawadi Nono kwa atakayeshinda, Kazi ni kwako...
22/08/2014

Chemsha BOngo, Naitaji jibu na maelezo kidogo kwa nini jibu lako ni sahihi. Zawadi Nono kwa atakayeshinda, Kazi ni kwako its all abt Graphics Designing!!
Jiunge sasa na MKude graphics Training Project, Course will start on 01.09.2014. Based on Adobe photoshop, Indesign and illustrator. 0716426564/0717526469

course!!course!!course!!course!!course!!
21/08/2014

course!!course!!course!!course!!course!!

template hii hapa
20/08/2014

template hii hapa

31/07/2014


Mjasiriamali mdogo
NI jarida la Mjasiriamali mdogo linalomsaidia kutangaza biashara/bidhaa zake kwa bei nafuu

NI jarida la Mjasiriamali mdogo linalomsaidia kutangaza biashara/bidhaa zake kwa bei nafuu

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjasiriamali mdogo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share