02/07/2026
Je, unamiliki hotel, lodge, guest house, restaurant au huduma nyingine za malazi na chakula?
Serikali imekuletea fursa ya Classification & Grading ili kuongeza thamani ya huduma zako, kujenga imani kwa wateja na kukuongezea ushindani sokoni.
Dar es Salaam | Morogoro | Kilimanjaro | Arusha
Julai – Agosti 2026
Usikose fursa hii. Jisajili sasa kupitia: https://asert.maliasili.go.tz/