Automobile Driving School

Automobile Driving School Tunatoa mafunzo ya udereva kwa ubora wa kipekee zaidi na kwa vifaa vya kisasa kuwahi kutumika hapa kwetu Tanzania

08/09/2017

AUTOMOBILE DRIVING SCHOOL

Tunatoa huduma ya leseni madaraja yafuatayo kwa bei nafuu zaidi
A
B
D
E

Karibuni muweze kufrahia huduma zetu kwa mawasiliano zaidi tutafute kupitia no +255652121219

Kwa usalama wako na abiria wako endesha kistaarabu
26/01/2017

Kwa usalama wako na abiria wako endesha kistaarabu

Karibu tumeuanza mwaka kwa nguvu mpya na tunakuhakikishia kuwa karibu na ww mteja wetu kwa kila kitu na kwa huduma bora ...
04/01/2017

Karibu tumeuanza mwaka kwa nguvu mpya na tunakuhakikishia kuwa karibu na ww mteja wetu kwa kila kitu na kwa huduma bora na za uhakika kwani hatubaatishi

karibu na ujionee mwenyewe.KWA MAWASILIANO ZAIDI TUTAFUTE KUPITIA NO 0652 121219

25/12/2016

Kutoka kwa uongozi wa AUTOMOBILE DRIVING SCHOOL tunapenda kuwatakia sikukuu nyema ya xmas na mwaka mpya kwa wateja wetu wote na kwa pamoja tunasema karibun tusheherekee pamoja.ASANTEN

KWA KUTUMIA MFUMO BORA NA WAKISASA AUTOMOBILE DRIVING SCHOOL WAMEJIPANGA KUKUONDOLEA WOGA DEVEVA UWAPO BARABARANI KWANI ...
18/12/2016

KWA KUTUMIA MFUMO BORA NA WAKISASA AUTOMOBILE DRIVING SCHOOL WAMEJIPANGA KUKUONDOLEA WOGA DEVEVA UWAPO BARABARANI KWANI NDANI YA MWEZI MMOJA UTAKUWA DEREVA BORA ANAYEJIAMINI NA ANAYEWEZA KULIMUDU VYEMA GARI LAKE. Nyote mnakaribishwa kufrahia huduma zetu kwa maelezo zaidi tupigie no 0652 121219

KUWA WA KISASA ZAIDI KWA KUJIFUNZA UDEREVA KWA KUTUMIA VIFAA BORA NA VYA KISASA KUWAHI KUTUMIWA TANZANIA.Karibuni wote k...
17/12/2016

KUWA WA KISASA ZAIDI KWA KUJIFUNZA UDEREVA KWA KUTUMIA VIFAA BORA NA VYA KISASA KUWAHI KUTUMIWA TANZANIA.Karibuni wote kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa no 0652121219

15/12/2016

OFA, OFA, OFA KABAMBE. TUNATOA OFA YA MAFUNZO YA UDEREVA CHETI NA LESENI KWA BEI RAHISI SAWA NA BURE KWA MSIMU HUU WA SIKUKUU KWA WOTE WATAKAOJIUNGA NA CHUO CHETU KWA KIPINDI HIKI.kwa maelezo zaidi piga 0652121219

23/10/2013

We offer you a new product come and visit our website.

Tunatoa mafunzo ya udereva kwa ubora wa kipekee zaidi na kwa vifaa vya kisasa kuwahi kutumika hapa kwetu Tanzania

Address

Mabibo Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255652121219

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Automobile Driving School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share