TTCL Corporation

Directions Website Contact the business

TTCL Corporation Welcome to the official page of TTCL Corporation! While we keep you updated, we are at your

The largest and leading fixed line telecommunications company in Tanzania.Currently provides voice and data communication services, to business and residential customers in Tanzania. The Company also provides network services to other licensed telecom operators.

Tufatilie live leo HFM Radio Iringa, kuanzia saa 3:00 asubuhi.‎‎   ‎
13/10/2026

Tufatilie live leo HFM Radio Iringa, kuanzia saa 3:00 asubuhi.
‎
‎

‎

Jisajili sasa ujiunge na familia ya maisha ya kidigitali
13/10/2026

Jisajili sasa ujiunge na familia ya maisha ya kidigitali


Usiache kutufuatilia kwa taarifa, matukio na vifurushi kabambe
12/10/2026

Usiache kutufuatilia kwa taarifa, matukio na vifurushi kabambe

Tunawatakia kila kheri.
12/10/2026

Tunawatakia kila kheri.

10/10/2026

“Dar es Salaam safi ni jukumu letu sote! Asanteni TTCL kwa kuwa sehemu ya suluhisho.”

Mkuu wa Wilaya ya Ilala EDWARD MPOGOLO ametoa shukrani kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira na kukabidhi vifaa vya usafi kwa ajili ya kuunga mkono mpango mkakati wa kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa safi.

Ameipongeza TTCL kwa kuonesha kwa vitendo uwajibikaji kwa jamii na kutoa wito kwa taasisi, sekta binafsi na wananchi kuendeleza ushirikiano katika kudumisha usafi wa mazingira.

Tuungane kwa pamoja kutunza mazingira yetu. Anza na eneo lako, tunza usafi na ushiriki katika kulifanya Jiji letu kuwa safi na salama kwa wote.




10/10/2026




TTCL TUNAJALI JAMII, TUNATUNZA MAZINGIRAShirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeungana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mh...
10/10/2026

TTCL TUNAJALI JAMII, TUNATUNZA MAZINGIRA
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeungana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, katika zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika eneo la Posta, Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi wa Ufundi wa TTCL, Mhandisi Cecil Francis, amesisitiza dhamira ya Shirika ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuhamasisha usafi na utunzaji wa mazingira.
Kwa upande wake, Mhe. Mpogolo ameipongeza TTCL kwa kushiriki kikamilifu na kuchangia vifaa mbalimbali vya usafi, vikiwemo fagio, viatu vya usafi, barakoa na Majaba ya taka (Dustbin) ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za kuweka Dar es Salaam safi na salama.



10/10/2026




Address

EXTELCOMS HOUSE, SAMORA Avenue
Dar Es Salaam
9070

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TTCL Corporation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TTCL Corporation:

Shortcuts

Share