12/06/2026
“Kabla ya TikTok, kabla ya Instagram… kulikuwa na simu iliyokufanya ujisikie umefanikiwa ukiifungua mbele za watu.”
📱 Motorola V3i si simu tu, ni kumbukumbu.
Wakati wengine wanatafuta simu kubwa zenye usumbufu wa notifications zisizoisha, wewe unaweza kuwa na simu ya kipekee yenye muonekano wa kifahari ambao bado unavutia hadi leo. Motorola V3i ilijulikana duniani kwa muundo wake mwembamba wa flip na mwonekano wa kipekee ulioufanya kuwa moja ya simu maarufu zaidi za zama zake. 
✅ Inafaa kwa wapenda simu za zamani
✅ Inafaa k**a simu ya pili ya mawasiliano
✅ Inafaa kwa wakusanyaji wa simu za classic
Bei ni Tsh 135,000 tu.
“Wengine watanunua smartphone nyingine, lakini wachache watanunua historia.”
📩 Inbox kabla haijaondoka. Moto huu si wa kila siku. 🔥