15/09/2026
Shamba lako lina maji karibu, lakini je, unaweza kuyapeleka shambani kwa wakati na kwa ufanisi?
Kwa mkulima, kuwa na chanzo cha maji ni hatua moja kuwa na suluhisho sahihi la kuyafikisha kwenye shamba ni hatua nyingine muhimu.
Tuna suluhisho mbalimbali za umwagiliaji kulingana na chanzo cha maji, ukubwa wa shamba na mahitaji ya mkulima.
Leo tunakuletea Kilimo Jiwezeshe, mojawapo ya suluhisho zetu kwa wakulima wenye mahitaji makubwa ya maji.
βΆοΈ Tazama video kujua zaidi na uone k**a suluhisho hili linaendana na mahitaji ya shamba lako.
π 0800 780 036 | 0754 585 067