02/07/2024
CARE ni product Moja kiboko wanayoweza kutumiaa
Wanawake Kwa wanaume...
Mode of Treatment: Watu wengi tushazoea tukiumwa basi ni kwenda Kwa daktari kupima na kupewa Dawa na kuanza matumizi ....lakini hatujiulizi kwani tunatumia dawa mara Kwa mara na baadae shida au maradhi Yale yanarudi Tena hasahasa UTI Kwa wanawake imekua ugonjwa ulijizoesha kwenye miili ya wanawake....
Kujirudia Kwa shida au maradhi k**a hayo ni kwasababu watu wengi tumejikita kwenye kujitibiaa miili yetuu na siyo mazingira yanayotuzunguka ...Hapo nikizungumziaa mazingira yanayotuzunguka namaanishaa..
📌 Mazingira ya vyoo (Maliwato) tunavyovitumia
📌Nguo zetu za ndani(vyupi)
📌Nguo tunazotumia kujipangusia ..(taulo,kanga. Nk)
📌 Sanitary towels (Pedi) nakadhalika
📌Vifaa tunavyotumia kushave kwenye sehemu zetu za Siri (Shavers) na ndevu Kwa wanaume haswa ..
Tunapoamua kwenda kuua bacteria waliotuletea hizo athari na maradhi kwenye miili yetuu ni lazima tuwe tayari kuyatibu na kuyaweka sawa mazingira yetu kwa ujumlaa na disinfectant nzur Kwa ajilii ya shida hiyo ni CARE DISINFECTANT PRODUCT from NEOLIFE COMPANY.....
Lakini pia hii product inaweza kutumika na mama wajawazito na waliotoka kujifunguaaa ...
Kwa sababu..kipindi hiki ndo kipind ambacho mwanamke anabid awe makin sana na suala Zima la usafi Kwa ajilii ya Afya yake na ya mtoto wake ....Hii disinfectant inaweza kumlinda mwanamke huyo Kwa kuondoa mazingira yote hatarishi ya kushambuliwa na bacteria kwenye mazingira yake ...
Lakin Kwa mama aliyetoka kujifungua anaweza kutumiaa care disinfectant.... kwenye
📌Kufulia Nguo zake za Uzazi..
📌 Kufulia Nguo za mtoto Ili asipate maambukiz yoyote ikiwemo ya ngozi
📌Kuoshea vyombo vya mtoto yaan (Sterilization of the utensils)
Note: Kwa kuwa vyombo vingi vinavyotumika Kuweka vyakula vya watoto ni Plastic basi haishauriwi kuvichemsha Kwa mda mrefu ilimradi kuuwa bacteria Kwa sababu plastic inatabia ya kuyayuka au (melting) kwenye temperature kubwa ..hivyo basi unatengeneza sumu badala ya kuua bacteria....
Hivyo unaweza wewe k**a mama kuchemsha maji ya uvugu vugu kiasi na Kuweka care disinfectant Ili kusterilize vyombo vya mtoto wako Kwa usalama na kiafya zaidi.....
📌Kuweka kwenye maji ya