Aim Global Youth Development Program

Aim Global Youth Development Program Providing Latest Technology Genuine Products:

11/09/2025
*Zijue aina za uchafu na harufu sehemu za siri kwa mwanamke!*Njia ya uzazi huanza kutoa majimaji wakati wa balehe. Hii n...
10/02/2022

*Zijue aina za uchafu na harufu sehemu za siri kwa mwanamke!*

Njia ya uzazi huanza kutoa majimaji wakati wa balehe. Hii ni hali ya kawaida. Maji yanayotoka ukeni huwa yamechanganyika na vimelea. Maji maji haya husaidia kuondoa ngozi ya uke iliyokufa hivyo kufanya uke kuwa katika hali ya usafi na yenye afya.

Iwapo sehemu ya uke inatoa harufu kali au uchafu usiokuwa wa kawaida hali hiyo hutokana maambukizi au magonjwa mengine.

1.Uchafu laini wenye rangi ya kijivu/mweupe wenye harufu k**a shombo ya samaki
Hali hii husababishwa na ugonjwa unaojulikana k**a Bacterial Vaginosis. Harufu husikika zaidi baada ya tendo la ndoa

2. Uchafu wenye rangi ya njano ama kijani wenye harufu k**a yai viza.
Hali hii husababishwa na Ugonjwa ujulikanao k**a Trikmona (Trichmonas). Dalili nyingine ni maumivu wakati wa tendo la ndoa na wakati wa kukojoa. Pia mama hupata miwasho sehemu za siri.

3. Uchafu wa rangi ya njano k**a usaha sehemu za siri
Hali hii husababishwa na ugonjwa wa Kisonono. Hata hivyo karibu nusu ya wanawake wenye Kisonono hawana dalili zozote.

4.Kuongezeka kwa majimaji sehemu za siri (Uchafu mwingi usiokuwa wa kawaida)
Hali hii husababishwa na ugonjwa wa Klamidia (Chylamidia).Wanawake wenye maambukizi hawana dalili.

5.Uchafu mzito,mweupe k**a maziwa mgando hauna harufu.
Hali hii husababishwa na maambukizi ya fangasi sehemu za siri.

6. Damu au uchafu wenye rangi ya kahawia(brown)
Hali hii inasababishwa na maambukizi kwenye mfuko wa uzazi au saratani ya kizazi

Inbox nowKimbia kupat Bonge la Offer
18/11/2021

Inbox now
Kimbia kupat Bonge la Offer

https://youtu.be/Tbtn2t8dkZs*NATURAL FEMININE WASH*-100%na tural-6300 negative ions-Anti Fungial-Anti bacterial-Alovera ...
13/12/2020

https://youtu.be/Tbtn2t8dkZs

*NATURAL FEMININE WASH*
-100%na tural
-6300 negative ions
-Anti Fungial
-Anti bacterial
-Alovera extracts
-Anti aging

*Tiba na Kinga ya*✅
●UTI sugu
●PID
●Harufu mbaya ukeni
●Hali ya ukavu wakati wa tendo
●Uke uliolegea kutokana na uzazi au sababu nyengine
●Kukosa raha au Hisia wakati wa Tendo
●Feminine wash inakufanya uwe nadhif mwenye kunikia vizur na kukufanya kuwa jasiri unapokutana na mwenza wako

0745517606

Zungumza Nasi0745517606
01/11/2020

Zungumza Nasi
0745517606

Zungumza nasi0745517606
01/11/2020

Zungumza nasi
0745517606

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aim Global Youth Development Program posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aim Global Youth Development Program:

Share