17/06/2026
Jee unatamani kumiliki home studio yako mwenyewe? Au unatafuta vifaa Bora vya kufanya live streaming zenye sauti Safi kwenye Facebook YouTube Instagram na tiktok?
Africhina online shop tumekuletea set mpya kabisa ya V8S soundcard Studio Set
Set hii inakuja ikiwa imekamilika na vifaa vifuatavyo
New V8S Soundcard
BM 800 Microphone
Microphone cover
Microphone stand
Type C USB cable
Pop filter
Mic cable
Bei ya kawaida ni shilingi 200,000 lakini Leo utaipata Kwa punguzo la kishindo unalipia shilingi 150,000 TU okoa shilingi 50,000
Punguzo hili nila wiki moja Tu baada ya wiki moja utalipia bei ya kawaida shilingi 200,000
Tupigie sasa hivi Kwa namba 0755570788 au bonyeza sehemu iliyoandikwa WhatsApp kuchati
Tunapatikana dar es salaam kigamboni vijibweni jirani na hospital ya kisiwani tunafanya delivery mikoa yote na nchi jirani Kwa uaminifu mkubwa