D'star Consultant

D'star Consultant Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from D'star Consultant, Consulting Agency, Bunju, Dar es Salaam.

The Joy of Salvation & Power of hearing "
Come one come all,we serve u in a short time give gd advice in doing business & especially construction
2 Wathesalonike 3:1
For even when we were with you, this we commanded you, that if any would not work, neithe

01/09/2026

GetValue is an exceptionally and uniquely designed platform, our mission is to be an International favourite destination for finding unlimited value for our customers, sellers and affiliate marketers worldwide.

31/08/2026

KAMTOLEE BWANA MUNGU WAKO UKO HURU
Kutoka 5:3
[3]Wakasema, Mungu wa Waebrania amekutana nasi; twakuomba, tupe ruhusa twende safari ya siku tatu jangwani, tumtolee dhabihu BWANA, Mungu wetu; asije akatupiga kwa tauni, au kwa upanga.
And they said, The God of the Hebrews hath met with us: let us go, we pray thee, three days' journey into the desert, and sacrifice unto the LORD our God; lest he fall upon us with pestilence, or with the sword.

KINAPATIKA ONLINE kusoma na kununua Tuvuke KATIKA IMANI
30/08/2026

KINAPATIKA ONLINE kusoma na kununua Tuvuke KATIKA IMANI

APPEAL TO GOD

30/08/2026

KINAPATIKA ONLINE kusoma na kununua Tuvuke KATIKA IMANI

28/08/2026
26/08/2026

*MUNGU ANAGAWA KILA KITU SAWASAWa KWA WOTE*
Mhubiri 9
1 Na kwa ajili ya hayo yote, nikatia moyo wangu katika kuyatafuta-tafuta haya; ya kuwa wenye haki, na wenye hekima, pamoja na matendo yao yote, wamo mkononi mwa Mungu; kwamba ni pendo au kwamba ni chuki, mwanadamu hajui; mambo yote yawapita.
2 Mambo yote yawatukia wote sawasawa; kuna tukio moja kwake mwenye haki na kwake asiye haki; kwa mtu mwema na kwa mtu mwovu; kwa mtu aliye safi na kwa mtu asiye safi; kwake yeye atoaye kafara na kwake asiyetoa kafara; k**a alivyo huyo mwema ndivyo alivyo mwenye dhambi; yeye aapaye na yeye aogopaye kiapo.*MUNGU ANAGAWA KILA KITU SAWASAWa KWA WOTE*
Mhubiri 9
1 Na kwa ajili ya hayo yote, nikatia moyo wangu katika kuyatafuta-tafuta haya; ya kuwa wenye haki, na wenye hekima, pamoja na matendo yao yote, wamo mkononi mwa Mungu; kwamba ni pendo au kwamba ni chuki, mwanadamu hajui; mambo yote yawapita.
2 Mambo yote yawatukia wote sawasawa; kuna tukio moja kwake mwenye haki na kwake asiye haki; kwa mtu mwema na kwa mtu mwovu; kwa mtu aliye safi na kwa mtu asiye safi; kwake yeye atoaye kafara na kwake asiyetoa kafara; k**a alivyo huyo mwema ndivyo alivyo mwenye dhambi; yeye aapaye na yeye aogopaye kiapo.

24/08/2026

JE, WAMPENDEZA MUNGU AU MWANADAMU1 Wakorintho 10
5 Lakini wengi sana katika wao, Mungu hakupendezwa nao; maana waliangamizwa jangwani.
6 Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, k**a wale nao walivyotamani.

23/08/2026

MAAGIZO YA MUNGU YAKO HIVI
Kumbukumbu la Torati 26
1 Na itakuwa, ukiisha kuingia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi, na kuimiliki, na kukaa ndani yake;
2 twaa malimbuko ya ardhi, utakayoyavuna katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako; ukayatie katika kikapu, ukaende hata mahali pale atakapopachagua Bwana, Mungu wako, ili alikalishe jina lake huko.
3 Ukamwendee kuhani atakayekuwapo siku zile, ukamwambie, Ninakiri leo kwa Bwana, Mungu wako, ya kuwa nimeingia katika nchi Bwana aliyowaapia baba zetu ya kwamba atatupa.

22/08/2026

UNYO TAARIFA KUWA KATIKA MAKASIRIKO YA MWANADAMU MUNGU HULETA FURAHA? ...HEUONE HAPA....Yona 4
3-5 Basi, sasa, Ee Bwana, nakuomba, uniondolee uhai wangu; maana ni afadhali nife mimi kuliko kuishi.
4 Naye Bwana akasema, Je! Unatenda vema kukasirika?
5 Ndipo Yona akatoka mjini, akaketi upande wa mashariki wa mji, akajifanyia kibanda huko, akakaa chini yake uvulini, hata aone mji ule utakuwaje.
6 Na Bwana Mungu aliweka tayari mtango, akaufanya ukue juu ya Yona, ili uwe kivuli juu ya kichwa chake, na kumponya katika hali yake mbaya. Basi Yona akafurahi sana kwa sababu ya ule mtango.

21/08/2026

UKITAKA UPONYAJI KWA MUNGU NI KUSIKIA MAAGIZO YA SAUTI YAKE TU:
Ezekieli 33
1 Neno la Bwana likanijia, kusema,
2 Mwanadamu, sema na wana wa watu wako, uwaambie, Hapo nitakapoleta upanga juu ya nchi, watu wa nchi hiyo wakimtwaa mtu mmoja miongoni mwao, na kumweka awe mlinzi wao;
3 ikiwa, aonapo upanga unakuja juu ya nchi hiyo, apiga tarumbeta na kuwaonya watu;
4 basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
5 Aliisikia sauti ya tarumbeta, wala hakuonywa; damu yake itakuwa juu yake; lakini k**a angalionywa, angalijiokoa roho yake.

Address

Bunju
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255767810008

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when D'star Consultant posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share