17/04/2026
💰 MAISHA YANABADILIKA KWA UAMUZI MMOJA TU!
K**a bado unategemea mshahara pekee, biashara ndogo isiyokua, au huna kipato kabisa — hii ni nafasi ya kubadilisha mwelekeo wako.
👉 Tunakualika kwenye MKUTANO MKUBWA WA KIBIASHARA utakao fungua macho yako kwenye njia mpya za kipato na mafanikio.
⚠️ Watu wengi wanakosa fursa si kwa sababu hazipo… bali hawajui zilipo.
USIWE MMOJA WAO.
📅 Jumapili, 19/04/2016
📍 Ngome House – Floor ya 3
⏰ Saa 7:00 mchana hadi 10:00 jioni
🔥 Utajifunza:
✔️ Njia halisi za kuongeza kipato
✔️ Fursa mpya za biashara
✔️ Mbinu za kufikia uhuru wa kifedha
🎯 Kiti chako kinaweza kubadilisha maisha yako—chukua hatua sasa!
📲 Wahi kuhifadhi nafasi yako + njoo na watu 2 wa karibu nawe
fursakwavijana wanachuo Wafanyabiashara