AgizaSasa

AgizaSasa S.Afrika na n.k. wakiwa Nyumbani au Ofisini.

Inalenga kuwawezesha wajasiriamali, wafanyabiashara, watu-binafsi na wanafunzi kujifunza mbinu bora za kuagiza bidhaa katika masoko ya kimataifa kama China, Uturuki, Dubai, USA, India.

Kwa hiyo, usiache nafasi ya kujenga urafiki na wauzaji wako! Uhusiano mzuri na wauzaji ni njia thabiti ya kuimarisha bia...
11/11/2024

Kwa hiyo, usiache nafasi ya kujenga urafiki na wauzaji wako! Uhusiano mzuri na wauzaji ni njia thabiti ya kuimarisha biashara yako ya uagizaji na kufikia mafanikio ya muda mrefu. K**a unahitaji mwongozo wa jinsi ya kufanya hivyo, nipo kwa ajili yako. Tuwasiliane sasa kwa ushauri wa kina na kufanikisha malengo yako!

Usisubiri – K**a hujui kuagiza au kutafuta wauzaji bora wa bidhaa za kubinafsisha, nitakushauri na kushirikiana nawe kwa...
11/11/2024

Usisubiri – K**a hujui kuagiza au kutafuta wauzaji bora wa bidhaa za kubinafsisha, nitakushauri na kushirikiana nawe kwa hatua zote. Unahitaji bidhaa za kipekee, zenye ubora wa juu? Wasiliana nami sasa na tuanze safari yako ya kubinafsisha bidhaa zako kutoka China!

"Fanya biashara yako kwa usahihi! Epuka kununua bidhaa za brand kubwa kutoka China k**a zinapatikana hapa Tanzania. Hii ...
10/11/2024

"Fanya biashara yako kwa usahihi! Epuka kununua bidhaa za brand kubwa kutoka China k**a zinapatikana hapa Tanzania. Hii inalinda maslahi ya wauzaji rasmi na inahakikisha biashara yako inafuata sheria na mikataba ya kimataifa. Ikiwa hujui jinsi ya kuanza, au unahitaji msaada wa kuwapata wauzaji wa nje, nipo kwa ushauri na msaada. Anza sasa kujifunza njia sahihi za kuagiza! 📈

Fungua Milango ya Uagizaji na AGIZA!Umewahi kufikiria kuagiza bidhaa zako moja kwa moja kutoka China lakini ukaogopa cha...
09/11/2024

Fungua Milango ya Uagizaji na AGIZA!

Umewahi kufikiria kuagiza bidhaa zako moja kwa moja kutoka China lakini ukaogopa changamoto za wauzaji, ubora, Utapeli na gharama? Kitabu chetu kipya kinafichua njia zote sahihi za kuagiza bidhaa zako ukiwa nyumbani au ofisini kwako! Fahamu hatua zinazoitajika kukupatia mafanikio kwenye safari yako ya uagizaji 📚.

OFA: Jipatie KITABU, CONSULTATION na kuungwa kwenye AGIZA PREMIUM GROUP. kwa bei ya Ofa.

DM sasa "MR. Agiza" kwa maelezo zaidi. ✉️

🔥 Unataka kuagiza bidhaa nyingi tofauti kwa wakati mmoja kutoka muuzaji mmoja nchini China? Fuata mbinu hizi ili kuhakik...
09/11/2024

🔥 Unataka kuagiza bidhaa nyingi tofauti kwa wakati mmoja kutoka muuzaji mmoja nchini China? Fuata mbinu hizi ili kuhakikisha unapata bidhaa zote kwenye usafirishaji mmoja na kwa urahisi zaidi! 👇

1️⃣ Orodhesha Mahitaji: Andaa listi kamili ya bidhaa unazohitaji.
2️⃣ Anza na Muuzaji Mmoja: Tafuta muuzaji anayekidhi baadhi ya bidhaa zako.
3️⃣ Omba Katalogi: Fahamu bidhaa zingine anazouza kwa ajili ya kuongeza kwenye oda yako.
4️⃣ Omba Msaada: Muulize muuzaji k**a anaweza kutafuta bidhaa zingine unazohitaji.
5️⃣ Kagua na Jadili Bei: Hakikisha bei na ubora wa bidhaa ulizoagiza zimekidhi viwango vyako.

🚀 Faida? Utapunguza gharama, utapata bidhaa zote kwa wakati mmoja, na utaepuka usumbufu wa kununua kwa wauzaji wengi!

👉 Swipe left kwa tips zaidi na usisahau ku-save post hii kwa ushauri wa biashara unapoagiza kutoka nje!

Kuanza kwa ndoto ya Jack Ma hadi soko la kimataifa! Alibaba imeleta mabadiliko makubwa katika biashara ya mtandaoni, iki...
07/11/2024

Kuanza kwa ndoto ya Jack Ma hadi soko la kimataifa! Alibaba imeleta mabadiliko makubwa katika biashara ya mtandaoni, ikiwa ni daraja linalounganisha wauzaji wa viwanda na wanunuzi duniani kote. Pata maelezo zaidi juu ya historia, features, na aina ya watu wanaofaa kutumia Alibaba.


Kuhakikisha unapata bidhaa zenye ubora wa juu inahitaji mazingatio kadhaa! Fuata njia hizi na tips kupata uhakika zaidi ...
07/11/2024

Kuhakikisha unapata bidhaa zenye ubora wa juu inahitaji mazingatio kadhaa! Fuata njia hizi na tips kupata uhakika zaidi na kujiwekea imani ya kupata bidhaa bora unapoagiza.


Unataka kuwa wakala wa bidhaa za China hapa Tanzania? Jua hatua sahihi za kupata ushirikiano mzuri na wauzaji wa Kichina...
06/11/2024

Unataka kuwa wakala wa bidhaa za China hapa Tanzania? Jua hatua sahihi za kupata ushirikiano mzuri na wauzaji wa Kichina na kulinda uwekezaji wako. Hakikisha unafuata hatua hizi kupata uwakala wenye mafanikio!
..

Unataka kuwa wakala wa bidhaa za China hapa Tanzania? Jua hatua sahihi za kupata ushirikiano mzuri na wauzaji wa Kichina...
06/11/2024

Unataka kuwa wakala wa bidhaa za China hapa Tanzania? Jua hatua sahihi za kupata ushirikiano mzuri na wauzaji wa Kichina na kulinda uwekezaji wako. Hakikisha unafuata hatua hizi kupata uwakala wenye mafanikio!


Chagua njia bora ya malipo kwa usalama wa manunuzi yako ya kimataifa.
06/11/2024

Chagua njia bora ya malipo kwa usalama wa manunuzi yako ya kimataifa.


Kuwa na mawasiliano bora na wauzaji kwa kuchagua njia inayokufaa zaidi!
05/11/2024

Kuwa na mawasiliano bora na wauzaji kwa kuchagua njia inayokufaa zaidi!

Kujiwekea msingi imara wa faida ni muhimu. Tumia fomula ya "X (4)" ili kupanga bei zako kwa mafanikio!                  ...
05/11/2024

Kujiwekea msingi imara wa faida ni muhimu. Tumia fomula ya "X (4)" ili kupanga bei zako kwa mafanikio!


Address

Kunduchi Madini, Madini Road Plot No. 1323
Dar Es Salaam
19547

Opening Hours

Monday 10:00 - 20:00
Tuesday 10:00 - 20:00
Wednesday 10:00 - 20:00
Thursday 10:00 - 20:00
Friday 10:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AgizaSasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share