Pumpkin SEEDS Benefits / Mbegu za Maboga by Eunisalrita Company

Pumpkin SEEDS Benefits / Mbegu za Maboga by Eunisalrita Company Online Wholesalers & Retailers of Organic Pumpkin Seeds and Pumpkin Seeds Powder

Wauzaji wa Jumla na Rejareja wa Mbegu za Maboga na Unga wake.

Retailers and Wholesalers of Organic Pumpkin Seeds, Pumpkin Seeds Powder,Sunflower Seeds Powder, Virgin Groundnuts Oil and Virgin Sunflower Seeds Oil. Wauzaji wa rejareja na jumla wa Mbegu za Maboga, Unga wa mbegu za maboga na alizeti,Mafuta asilia ya Karanga na Alizeti.

Fresh Unga wa Mbegu za Mabog.Jumla na Rejareja.Piga, Whatsapp au sms 0784998899.Karibu sana.
04/05/2022

Fresh Unga wa Mbegu za Mabog.Jumla na Rejareja.

Piga, Whatsapp au sms 0784998899.

Karibu sana.

Tunauza mbegu za maboga na unga wake kwa Jumla na Rejareja mpaka mzigo wa kilo 1000 na kuendelea ndani na nje ya Tanzani...
07/10/2021

Tunauza mbegu za maboga na unga wake kwa Jumla na Rejareja mpaka mzigo wa kilo 1000 na kuendelea ndani na nje ya Tanzania k**a Kenya, Uganda, Zambia na Malawi. Kujua bei tupigie 0784998899.

Ahsante kwa kutuamini.

Pia, tembelea ukurasa wetu wa Facebook kujifunza zaidi
https://www.facebook.com/graciousdivinegeneralsupply/ mbeguzamaboga🙏.

Tunauza mbegu za maboga na unga wake kwa Jumla na Rejareja mpaka mzigo wa kilo 1000 na kuendelea ndani na nje ya Tanzani...
07/10/2021

Tunauza mbegu za maboga na unga wake kwa Jumla na Rejareja mpaka mzigo wa kilo 1000 na kuendelea ndani na nje ya Tanzania k**a Kenya, Uganda, Zambia na Malawi. Kujua bei tupigie 0784998899.

Ahsante kwa kutuamini.

Pia, tembelea ukurasa wetu wa Facebook kujifunza zaidi
https://www.facebook.com/graciousdivinegeneralsupply/ mbeguzamaboga🙏.

08/07/2021

Tunauza mbegu za maboga na unga wake kwa Jumla kilo mpaka kilo 1000 na kuendelea ndani na nje ya Tanzania nchi k**a Kenya, Uganda, Zambia na Malawi. Kwa bei tupigie au whatsapp 0784998899.

Tembelea ukurasa wetu wa Facebook kujifunza zaidi
https://www.facebook.com/graciousdivinegeneralsupply/

Online Wholesalers & Retailers of Organic Pumpkin Seeds and Pumpkin Seeds Powder

Wauzaji wa Jumla na Rejareja wa Mbegu za Maboga na Unga wake.

Bulky Pumpkin Seeds/Tetele/Mbegu za Maboga & Its Powder for sale..Whatsapp +255784998899 to order.We ship to Kenya, Ugan...
08/07/2021

Bulky Pumpkin Seeds/Tetele/Mbegu za Maboga & Its Powder for sale..
Whatsapp +255784998899 to order.We ship to Kenya, Uganda, Zambia, Malawi & Other neighbouring countries..
We can deliver more than 1000 kgs.
https://www.facebook.com/graciousdivinegeneralsupply/

Benefits of Pumpkin Seeds: -1. They are the big source of minerals to your body like iron, copper, magnesium, manganese,...
08/07/2021

Benefits of Pumpkin Seeds: -

1. They are the big source of minerals to your body like iron, copper, magnesium, manganese, phosperous and zinc.
2. They are good source of Vitamin K
3. They are used by Breast-Feeding Moms for increasing breast milk production. (Breast milk boosters).
4. They contain phytosterols, compounds that that have been shown to reduce levels of LDL cholesterol.
5. They are used in prevention and treatment of Prostate Cancer and Breast Cancer.
6. Contain L-tryptophan, which helps with good sleep and lowering depression. Tryptophan is converted into serotonin and niacin. Serotonin is also very helpful in helping us to have a good night’s sleep.
7. Are high in zinc, making them a natural protector against osteoporosis. Low intake of zinc is linked to higher rates of osteoporosis (weakness in the bones). In a study of almost 400 men (age from 45-92) published in the American Journal of Clinical Nutrition they found a correlation between low dietary intake of zinc, low blood levels of the trace mineral and osteoporosis at the hip and spine.
8. Are a good source vitamin E; they contain about 35.10 mg of tocopherol per 100 g.
9. Are the most alkaline-forming seed. They are alkalizing to the body’s ph. Many snack foods are acid-forming in the body. Acidity has been linked to pain, illness, and even cancer.
10. Is an excellent source of vitamin B group (thiamin, riboflavin, niacin, pantothenic acid, vitamin B-6 (pyridoxine) and folates).
11. Contain good quality protein. 100 g seeds provide 30 g.
12. According to studies, pumpkin seeds prevent calcium oxalate kidney stone formation.
13. Reduce inflammation for arthritis without the side effects of anti-inflammatory drugs.
14. Are used in many cultures as a natural treatment for tapeworms and other parasites.
15. High in Omega 3s, pumpkin seed oil has been shown in studies to reduce the incidence of benign prostatic hypertrophy (BPH)—a condition in which the prostate gland becomes enlarged
16. Are good for prostate health! The oil in pumpkin seeds alleviates difficult urination that happens with an enlarged prostate.
17. They’re high levels of easily-digestible protein helps stabilize blood sugar when eaten as a snack throughout the day. Stable blood sugar means weight loss if you’re trying to lose.
18. They’re a good source of blood-building and energy-boosting iron.
19. Pumpkin seeds are an excellent source of fiber which helps keep you regular.
20. They are beneficial to Postmenopausal Women. Pumpkin seed oil is rich in natural phytoestrogens and studies suggest it may lead to a significant increase in good “HDL” cholesterol along with decreases in blood pressure, hot flashes, headaches, joint pains and other menopausal symptoms in postmenopausal women.
21. Pumpkin seeds brim with zinc and essential fatty acids, which aid in male fertility. Eating one-fourth to half cup of pumpkin seeds a day is a great remedy for the reproductive system.
22. Weight Loss Benefit- Can Pumpkin Seeds Help You Lose Weight- One quarter of a cup of pumpkin seeds contains 1.04 mg of magnesium, which delivers over 50 percent of the daily requirements. Its high magnesium content regulates sugar levels in the blood and helps build and restore muscle tissue. By maintaining glucose levels under control, your appetite and sweet cravings will be suppressed for a longer time. The only drawback is that they are relatively rich in calories, about 150 per ounce, which is why you should pay attention to your serving sizes. They are an indispensable ingredient in weight loss programs because they have diuretic and laxative properties, regulating bowel function and digestion. They stimulate your body to metabolize and eliminate all accumulated toxins, from heavy metals to intestinal worms. Eat them raw in order to benefit from all their nutrients. When roasted, some components are lost.
23. They aid Hair Growth in both men and women
24. They are good for a glowing complexion and has anti-aging components

To preserve the health benefits of the oils found in pumpkin seeds, eat them raw or roast them on a baking sheet on low heat in the oven (about 170 degrees F or 75 degrees Celsius) for 15-20 minutes. Toss with a sprinkling of sea salt and enjoy. If you haven’t tried them warm, you’re in for a real treat! Add raw pumpkin seeds to salads, dips, or ground in pesto.

*Utaratibu kwa Wakala*Utanunua mbegu za maboga au Unga wake kwa bei ya Jumla ukiwa kwenye paketi au Kontena za ujazo wa ...
12/05/2021

*Utaratibu kwa Wakala*

Utanunua mbegu za maboga au Unga wake kwa bei ya Jumla ukiwa kwenye paketi au Kontena za ujazo wa robo, nusu na kilo moja.

Mbegu za robo kilo ambazo utanunua kwa Shs. 3500 utauza Shs. 5000

Nusu kilo utanunua Shs. 5000 utauza kwa Tshs 10,000

Unga

Utanunua robo kwa Shs. 3500 utauza kwa Shs. 5000
Nusu kilo utanunua kwa Shs. 8000 utauza kwa shs. 10,000
Kilo Moja utanunua kwa shs. 15,000 utauza 20,000

Bei ya Jumla ni kwa pisi 6 na kuendelea.

Tunapatikana Sinza Mori Dar Es Salaam, Tanzania.

Karibu sana- 0784998899

MBEGU ZA MABOGA NA FAIDA ZAKE MWILINIMbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya muhimu zaidi mwilini k**a v...
25/04/2021

MBEGU ZA MABOGA NA FAIDA ZAKE MWILINI

Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya muhimu zaidi mwilini k**a vile madini ya Zinki, Copper, Magnesium, Manganese, na chuma.
Mbegu za maboga ni tamu na unaweza kuzitafuna tu k**a karanga.

FAIDA:

1. UGONJWA WA MOYO.
Kutokana na wingi madini ya magnesium katika mbegu za maboga huwasaidia watu wenye magonjwa mbalimabli ya moyo.
Madini ya magnesium ni mhimu kwa ajili ya kuimarisha msukumo wa damu kwenye moyo na kuimarisha afya ya mishipa ya damu hivyo kutibu na kuzuia magonjwa ya moyo.
Mbegu hizi pia zina mafuta aina ya OMEGA 3 ambayo ni muhimu kwa watu wenye ugonjwa wa moyo.

2. HUIMARISHA KINGA YA MWILI.
Mbegu za maboga zina kiasi kikubwa cha madini ya zinki (zinc). Kazi kubwa ya madini ya zinki ni kuimarisha kinga ya mwili.
Upungufu wa madini ya zinki mwilini unaweza kupelekea matatizo kadhaa mwilini ikiwemo kuzaa watoto njiti, kuishiwa nguvu za kiume, matatizo ya homoni, chunusi nyingi mwilini, watoto kuwa na uwezo mdogo shuleni kimasomo na matatizo mengine ya kimwili na kiakili.

3. KUIMARISHA UWEZO WA MACHO KUONA.
Mbegu za maboga zina Vitamini E, vitamini A, lutein, beta-carotene na zeaxanthin ambavyo ni muhimu macho.
Vitamini A na madini ya zinki ni mhimu kwa ajili ya uzalishaji wa MELANIN kimeng’enya mhimu ambacho hutengenezwa ndani ya mwili kwa ajili ya kinga ya macho.

4. KINGA YA KISUKARI.
Mbegu za maboga zina NICOTINIC ACID, TRIGONELLINE na D-CHIRO-INOSITOL ambavyo husaidia kushusha kiwango cha sukari kwenye mwili na kudhibiti kazi za insulini hivyo kuwa kinga na kuwapa nafuu watu wenye kisukari.

5. DAWA YA USINGIZI.
Mbegu hizi zimegundulika pia kuwa na kirutubisho kinachozalisha homoni za usingizi, usingizi wenye utulivu pia huondoa msongo wa mawazo au stress.
Muda mchache kabla ya kwenda kulala tafuna mbegu za maboga na utapata usingizi mtulivu kabisa mpaka asubuhi.

6. DAWA BORA YA UVIMBE.
Mbegu za maboga zinao uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini sambamba na uvimbe (inflammation).
K**a ujuavyo sehemu kubwa ya uvimbe mwilini ni matokeo ya sumu kadhaa mwilini. Mbegu za maboga zitakuondolea uvimbe mwilini bila kukuachia madhara yoyote mabaya hapo baadaye.

7. HUONGEZA MAZIWA KWA MAMA ANAYENYONYESHA
Mbegu za maboga zina protini nyingi bora itokanayo na mimea isiyo na madhara pia zina OMEGA 3.
Mama mjamzito hata anayenyonyesha anaweza kutumia mbegu mbegu za maboga na atakuwa na uhakika wa kutoa maziwa ya kutosha kwa ajili ya mtoto.\

8. DAWA NZURI KWA MATATIZO YA TEZI DUME.
Wataalamu wengi wa lishe wanapendekeza mbegu za maboga zitumike kwa wanaume wa rika zote yaani vijana hadi wazee kwani zimethibitika kuwa msaada mkubwa kwa afya ya tezi dume.
Tafiti nyingi zinasema mbegu za maboga zina kiasi kingi cha madini ya Zinki madini ambayo ni mhimu SANA kwa afya ya tezi dume.

9. ZINAONGEZA NGUVU ZA KIUME.
Sababu zinazopelekea kuondoa tatizo hili kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinashusha kisukari, zinatibu tezi dume (matatizo k**a ya ngiri nk), zina protini nyingi ya kutosha na yenye ubora na pia zina madini ya ZINKI madini ambayo ni muhimu kwa upande wa nguvu za kiume pia zinaongeza uwingi wa mbegu za kiume (s***m count).

10. ZINAONDOA MSONGO WA MAWAZO (STRESS).
K**a maisha yako ya stress fanya mazoea ya kutafuna mbegu za maboga kila siku utaona tofauti. Mbegu za maboga zina kimeng’enya mhimu sana kwa kutuliza mawazo kiitwacho TRYPTOPHAN na Amino asidi zingine mhimu zinazohusika katika utengenezaji wa homoni ya SEROTONIN ambayo ni katika kuratibu matendo kadhaa katika ubongo.

11. HUZUIA MCHANGA KWENYE KIBOFU CHA MKOJO.
Madini ya phosphorous kwenye mbegu za maboga ni msaada mkubwa katika kuzuia mawe au mchanga kujilundika katika kibofu cha mkojo.
Pia unashauriwa kuwa unakunywa maji mengi kila siku ikiwa unasumbuliwa na tatizo hili.

12. AFYA YA MIFUPA.
Mbegu za maboga ni chanzo kizuri sana cha magnesiamu, Zinki, Vitamini K na virutubisho vingine vingi muhimu katika kuimarisha mifupa na hivyo kuzuia ugonjwa wa mifupa (osteoporosis).

13. KUWEKA SAWA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU.
Mbegu za maboga zina kiasi kidogo cha sodiamu na zina kiasi kingi cha potasiamu na magnesiamu vitu viwili mhimu katika kuweka sawa shinikizo la damu mwilini.

14. AFYA YA UBONGO.
Mbegu za maboga zina asidi mafuta aina ya OMEGA 3 zijulikanazo kwa kitaalamu k**a ‘ALPHA-LINOLENIC ACID’ ambazo ni mhimu sana katika kulinda na kustawisha afya ya ubongo.
Vyakula vyenye Omega-3 husaidia kupunguza kasi ya seli za ubongo kuzeeka wakati huo huo vikizuia uharibifu wa seli za ubongo kutokana na vijidudu nyemelezi katika ubongo.

15. TATIZO LA UPUNGUFU WA DAMU.
Mbegu za maboga ni chanzo kizuri cha madini ya chuma hivyo kuwa msaada kwa watu wanaosumbuliwa na upungufu wa damu unaosababishwa na kupungua kwa madini ya chuma.
Tafiti zinasema kula vyakula vyenye madini ya chuma kila mara kunasaidia kuongeza madini ya chuma kwa watoto, vijana, wanawake wanaonyenyesha na kwa wamama wajawazito.

17. KUPUNGUZA UZITO.
Mbegu hizi zina uwezo wa kukufanya ujisikie umeshiba kwa kipindi kirefu na hivyo kukuondolea hamu ya kutaka kula kula ovyo.Kwa wale wanaotaka kupungua.

18. UPONYAJI WA VIDONDA.
Mbegu za maboga pia ni msaada mkubwa kwa watu wenye vidonda kwa kuwa zinafanya kazi ya kuponya vidonda kwa rahisi zaidi sababu zina vitamini A na madini ya zinki kwa wingi.Hapa kwa post operative wote (waliofanyiwa operation)

MATUMIZI:
Unaweza kuzitumia zikiwa kavu yani baada ya kukauka kwenye jua.
Unakuwa un**itafuna tu k**a karanga wala usihofu siyo chungu na unatafuna na maganda yake.

Pia unaweza kuzikaanga kwenye mafuta isizidi dakika tano k**a utapenda weka chumvi kidogo kuongeza ladha ila sio lazima.
Tafuna angalau angalau nusu kikombe cha chai kwa siku.

Unweza kuzisaga au kuzitwanga kupata unga ambao utakuwa unauchanganya kwenye juisi yako ya matunda au uji angalau vijiko viwili kwa siku siyo mbaya.

Waweza changanya kwenye uji wa mtoto.

Pia unaweza kuchanganya kwenye maziwa fresh yawe ya moto ni nzuri sana na yanakuwa matamu pia.

Kwa wanawake wajawazito na wanaonyonyesha pia unawafaa sana.

Unaweza kutengeneza chapati,chukua mayai ya kuku wa kienyeji mawili unga vijiko vitatu vya chakula changanya koroga pika na mafuta ya olive, n**i, mawese hapo ni safii kwa afya.

Ukihitaji tupigie Unga au Mbegu tupigie 0784998899

Je wewe ni mama mjamzito? Ama Mama umejifungua na maziwa hayatoki kabisa au unanyonyesha ila hupati maziwa mengi? Je ung...
25/04/2021

Je wewe ni mama mjamzito? Ama Mama umejifungua na maziwa hayatoki kabisa au unanyonyesha ila hupati maziwa mengi? Je ungependa kumnyonyesha mwanao miezi sita ya mwanzo bila kumpa chochote? Gracious Divine Destiny Company wanajibu kuhusu tamanio lako wanakushauri utumie mbegu za maboga Premium zenye virutubisho vinavyozalisha maziwa ya mama kwa wingi.

Mbegu hizi zinaweza kutafunwa zikiwa mbichi ama zikikaangwa ama kuokwa kwenye oven kwa dakika 10 tu kwa moto kidogo na *Unga wa Mbegu* hizi unachanganywa kwenye vyakula vya maji maji k**a chai, maziwa fresh, uji, supu, mtori, mchemsho, mchuzi wa aina yeyote…Kipimo chake ni kila kijiko kimoja cha Unga wa Mbegu za Maboga kwa Kikombe kimoja(robo lita) cha vyakula vya majimaji nilivyovitaja hapo juu..

Unga unawekwa wakati wa kupika na uchemkie pamoja na chakula vizuri na chakula kiliwe kikiwa cha moto. Kula chakula chenye unga wa mbegu za maboga walau mara 5 kwa siku ama zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa mengi ndani ya miezi sita na mwanao akanywa maziwa yako tu ndani ya miezi hiyo sita bila kitu chochote. Mwezi wa saba unaweza ukapunguza ule mara ngapi….

Mbegu hizi ni nzuri na zina faida nyingine nyingi kwa mtumiaji k**a kuzuia kansa ya kizazi ya kibofu kwa wanaume na kansa ya matiti kwa wanawake pia ni chanzo kikuu cha madini ya zinc,magnizia nk, kuongeza kumbukumbu,kuimarisha moyo na mifupa, kuzuia maumivu kwa wanawake waliofikia ukomo wa hedhi, kuongeza libido hasa kwa Wanaume, kurutubisha mbegu za kiume hata zikaweza kuzalisha,kukuza nywele na kuleta mng'ao katika ngozi...

Vinapatikana Duka la Jumla la Swaumu Mwenge katikati ya Mabucha k**a unaingia sokoni kutoka TRA.Piga namba 0655694848,0754363225,0717596060

Kwa Robert Genge karibu kabisa na Catalunya Bar nyuma ya Kanisa la Kakobe.Piga namba 0753031926/0655031926

Kwa Regina Sinza Mori +255693573696/+255755857545

Kwa Dennis Sinza Queen of Sheba +255789266457/+255714237870

Address

Sinza Mori
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 14:00
Sunday 11:00 - 14:00

Telephone

+255784998899

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pumpkin SEEDS Benefits / Mbegu za Maboga by Eunisalrita Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pumpkin SEEDS Benefits / Mbegu za Maboga by Eunisalrita Company:

Shortcuts

Share