06/01/2023
Habari Njema Kwa Wafanyabiashara, Wajasiramali Na Wamiliki Wa Makampuni Za Aina Zote Ndogo, Za Kati Na Kubwa.
Sasa Unaweza Kuendesha Biashara Au Kampuni Yako Kidigitali Kwa Kutumia Mfumo Rahisi Na Wa Kisasa, Endesha Biashara Yako Kisasa Ratibu Mauzo, Manunuzi, Matumizi, Kusimamia Na Kufuatilia Stocks Kirahisi Kwa Kutumia Mfumo Wa Primezone Accounting.
Mfumo Huu Unafaa Kwa Wajasiramali Na Kwa Wamiliki Wa Makampuni Za Aina Zote Ndogo, Za Kati Na Kubwa
Vitu Ambavyo Unaweza Kuvipata Kwenye Mfumo Huu Ni Vingi Ila Baadhi Ni K**a:-
1. Kurekodi Mauzo Yako
2. Kurekedi/Kuingiza Manunuzi Yako
3. Kurekodi Bei Za Biadhaa Zako
4. Kuingiza Idadi Ya Biadhaa Zako/Stock
5. Kutuma Invoice Kwa Wateja Wako
6. Kuwa Na Sehemu Ya Bei Ya Jumla Na Rejareja
7. Kukupa Ripoti Za Faida Na Hasara Na Jinsi Biashara Inavyokwenda
8. Kupata Ripoti Za Stock Yako Na Mzunguko Wa Bidhaa Zilizoingia Na Kutoka
9. Mfumo wa HRM Kwa Wamiliki Wa Makampuni
Je Mfanyabiashara gani anastahili kutumia Mfumo huu??
Mfumo Huu Unamfaa Mtu yoyote awe Mmilili wa Kampuni au kwa Wafanyabiashara Wanaojihusisha na Mauzo Ya Bidhaa mbalimbali iwe jumla au rejareja.
Miongoni ni k**a:-
(A) Maduka Ya Dawa
(B) Maduka Ya Jumla
(C) Maduka Ya Rejareja
(D) Supermarket
(E) Maduka Ya Nguo
(F) Maduka/Workshop Za Kurepair
(G)Viwanda Vya Uzalishaji
Kujiunga Ni Bure, Utaweza Kujaribu Kutumia Mfumo Huu Kwa Siku 14 Bure Kabisa, Then Utachagua Package Inafaa Kulingana Na Ukubwa Au Mahitaji Ya Biashara Yako.
Gharama Zetu Ni Nafuu Sana Bei Za Package Huanzia 190,000Tsh Kwa Kila Mwaka(Tembelea Website Yetu Kuona List Ya Features Zinazoambana na Kila Package)
Ni Rahisi Kutumia Mfumo Huu Uwe Popote Pale Ulipo Kwa Kutumia Application Kweye Simu Yako au Kompyuta Online.
Nenda Na Wakati, Fuatilia Mwenendo Wa Kampuni Yako Au Mauzo Ya Biashara Yako Mda Wowote Na Mfumo Wa Primezone Accounting.
Kwa Maelezo Zaidi:
Piga simu: +255 713 398 485 au
Tembelea Website Yetu: Www.Primezoneaccounting.Co.Tz