Tanzanianjema

Tanzanianjema Politics - Public Leadership - Governance - Development Political Consulting

Tanzanjema family!
29/11/2015

Tanzanjema family!

19/07/2015

Tanzanianjema Conversation

Leo Jumapili tarehe 19 Julai 2015.
Kuanzia saa kumi kamili jioni.

Mchakato wa Urais CCM, UKAWA, ACT Wazalendo na Uchaguzi ujao!

Ukumbi wa Fredrich Ebert Stiftung (FES) Mwai Kibaki Road, Moroko, Kinondoni.

14/07/2015

Mnakaribishwa katika Tanzanianjema Conversation itakayofanyika siku ya Jumapili tarehe 19 Julai 2015 katika ukumbi wa Fredrich Ebert Stiftung (FES) Mwai Kibaki Road, Moroko, Kinondoni. Kuanzia saa kumi kamili jioni. Mada itakuwa ni mchakato wa Urais CCM, UKAWA, ACT WAZELENDO na Uchaguzi ujao!

Tanzanianjema Conversation: Our Foreign Policy: Theories, Principles, Issues and Dynamics!
28/06/2015

Tanzanianjema Conversation: Our Foreign Policy: Theories, Principles, Issues and Dynamics!

Tanzanianjema Conversation in New York City!
12/06/2015

Tanzanianjema Conversation in New York City!

Members of Tanzanianjema Family celebrating a fellow member's achievement in Journalism!
12/06/2015

Members of Tanzanianjema Family celebrating a fellow member's achievement in Journalism!

24/02/2015

Next month we will be having a number of conversations to discuss the following issue: Who are we?: Tanzanianjema Values and and our national values systems towards building Tanzaninjema we want!

14/11/2014

Tanzanianjema Conversations: Understanding the interests, politics and dynamics of the Constitutional Assembly, Referendum and 2015 Elections! Saturday, TOMORROW, 15th November 2014, 1600-2000hrs, Kinu Innovation Hub, Conservation House, Kinondoni Moroko.

09/11/2014

SATURDAY 15th Novemeber 2014

Tanzanianjema Conversations: Understanding the interests, politics and dynamics of the Constitutional Assembly, Referendum and 2015 Elections! Saturday, 15th November 2014, 1600-2000hrs, Kinu Innovation Hub, Conservation House, Kinondoni Moroko.

30/07/2014

Tanzanianjema Conversation: Actors, interests, issues and politics of the new constitution. Saturday, 2nd August 2014. From 1700hrs to 2100. Venue

11/02/2014

Siku ya jumapili kuanzia saa 11 hadi saa 2 jioni tulikuwa na Mjadala wa Tanzanianjema pale katika ukumbi wa KINU Innovation Hub kilichopo mkabala na Oysterbay Police pembezoni mwa Airtel House. Mada ya mjadala ilikuwa "Rasimu ya Pili ya Katiba na Siasa za Bunge la Katiba". Hata hivyo, chini ya uwezeshaji wa Kamishina Humphrey Polepole na Mtafiti wa Tume ya Katiba Dr John Jingu tuliweza kuongelea masuala yote mapya yaliyomo katika rasimu ya katiba mpya ambayo hayamo ama yamependekezwa tofauti na ilivyo kwenye Katiba ya Sasa. Pia tukaongelea kwa undani masuala ya Muungano ikiwemo sababu zilizopelekea kufikia uamuzi wa kupendekeza Serikali Tatu, Kuhusu maoni ya hatari ya gharama za uendeshaji na uwezekano wa kuvunjika ama kuvunjwa kwa Muungano wetu pamoja mfumo wa muingiliano katia ya serikali za washirika na kati ya serikali ya muungano na serikali za washirika. Majadiliano hayo yalichukua muda mrefu na hivyo kushindwa kuongelea suala la muundo wa muungano na pia suala la siasa za bunge la katiba. Kwa pamoja tumekubaliana mambo mawili - Moja; Tunahitaji kufanya mjadala mwengine siku ya Jumapili muda k**a huu kuongelea suala la Muundo wa Muungano 2) Ilikubaliwa kuwa kuna umuhimu wa kufanya mjadala k**a huu huko Unguja ili kuweza kupata maoni, kutambua mitazamo na kujenga uelewa wa pamoja wa suala hili la katiba mpya tuiwa pamoja na vijana wenzetu wa Zanzibar. Tumekubaliana tufanye maandalizi ili mjadala utakaofanyika Unguja ufanyike siku ya Jumapili Tarehe 22 Februari 2014.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzanianjema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzanianjema:

Share