Bunge la Uchumi

Bunge la Uchumi Bunge la uchumi ni programu ya kiucumi ambayo imelenga kuhakikisha kila mshiriki anafikisha uchumi wenye thamani ya Tsh. 890M ndani ya miaka mitano.

Permanently closed.

Bunge la uchumi ni jina“almaarufu” (a.k.a) ya kundi lililopo kwenye mtandao wa Whatsapp liitwalo, SmartMind For SmartSuccess(S4S). Kundi hili la S4S limeanzishwa 19/08/2015 ikiwa ni matokeo ya kuzinduliwa kwa kitabu kiitwacho, MAFANIKIO NI HAKI YAKO”kilichoandikwana Albert Nyaluke Sanga. Kwa jinsi hii, fursa ya kuanzisha kundi hii imekuwa ni sehemu ya kuhakikisha kwamba wote wanaosoma kitabu hiki

cha “MAFANIKIO NI HAKI YAKO”wanaendelea kupokea usaidizi, mtandao na utendaji wapamoja kupitia kundi hili. Kuibuka kwa jina hili la Bunge la Uchumi kulichagizwa zaidi na heka heka za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 nchini Tanzania. Hii ni baada ya kuonekana kwamba watu wengi wanakimbilia ama kuzitamani nafasi za kisiasa (ukiwemo ubunge) kutokana na maslahi manono yaliyopo huko.

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam

Website

Products

1) Kituo cha semina, mafundisho na warsha kuhusu maisha, biashara, ujasiriamali, uwekezaji na miradi mbalimbali.
2) Ushauri wa kitaalamu (Business Consultacy):
3)Bunge hili lina visheni yakuanzisha miradi ya uwekezaji ya pamoja ambayo itajulikana kwa jina la “Pilot Projects” au kwa Kiswahili inaitwa Miradi Darasa.

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bunge la Uchumi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bunge la Uchumi:

Share