Mainda na wajasiliamali

Mainda na wajasiliamali jifunze ujasilisiliamali hapa. jifunze namba ya kutengeneza vitu tofauti ukiwa nyumbani kwako,
darasa mbalimbali karibu WhatsApp 0718423251
(2)

Vikopo vya kugandishia lambalamba vipo Delivery ipo Mkoan tunatumia0718423251 WhatsApp or call
16/12/2025

Vikopo vya kugandishia lambalamba vipo
Delivery ipo
Mkoan tunatumia

0718423251 WhatsApp or call

27/08/2025

RED VELVET CAKE

MAHITAJI
Unga 560g
Baking powder kijiko Cha chai 2
Chumvi kijiko Cha chai 2
Cocoa vijiko 4 vya chakula
Sukari nyeupe 500g
Mayai 4
Mafuta mils 350
Vinegar 60mils
Maziwa 240mils
Vanilla vijiko 2 vya chakula
Rangi ya chakula (red) vijiko Cha chai 2
Maziwa ya moto mils 480
Siagi 132g

Chukua UNGA,baking powder, baking soda, cocoa ,sukari Kisha changanya vzr sana

Chukua yai, mafuta maziwa mils 120,vanila, rangi ya gel vinegar weka katika bakuli Kisha koroga vzr sana

Chukua UNGA mix na mchanganyiko wa mayai Kisha koroga mpaka vikae sawa

Chukua sufuria
Weka maziwa ya moto na siagi Kisha bandika jikoni Anza kukoroga taratibu moto mdogo Kisha ipua

Mimina taratibu kwenye bakuli lako la mchanganyiko uku unakoroga taratibu

Chukua tini zako 2 weka mchanganyiko nusu Kwa nusu

Oka

Note
Tin inch 7 au 8 = mbili
Cupcake 48~~ size kubwa

27/08/2025

Habari za leo wapendwa bakers na wafanyabiashara ndogo ndogo👩🏽‍🍳👨🏽‍🍳
Nimewamiss sana jamani, kuanzia Leo turudi kwenye recipe zetu k**a kawaida.

Kabla sijapost mapishi mapya, tuambiane tuanze kukumbushiana na recipe gan

Funguka👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼

23/06/2025

Sponge cake

UNGA gram 200
Baking powder gram 10
Sukar gram 200
Mayai 8
Vanila vijiko 2 vya chai

Picha chap lete mrejesho Haina mambo mengi

Hope wale walioomba sponge cake wanaona majibu yao

05/06/2025

Dark chocolate

MAHITAJI
Icing sugar vijiko 4
Cocoa vijiko 6
Mafuta ya n**i vijiko 5
Vanila ⅛ ya kijiko

JINSI ya kuandaa n vilevile k**a mwanzo

Saga

Weka kwenye mould

Weka katika friji igande

Toa

Enjoy

*JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA ICE CREAM NYUMBANI KWAKO NA UKAWEZA KUKAA MUDA MREFU BILA KUHARIBIKA*MAHITAJI✔️maziwa ya U...
16/05/2025

*JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA ICE CREAM NYUMBANI KWAKO NA UKAWEZA KUKAA MUDA MREFU BILA KUHARIBIKA*

MAHITAJI
✔️maziwa ya UNGA gram 100
✔️Baking soda gram 5
✔️Sukar ya UNGA gram 100
✔️Kihifadhio (potassium metabisulfcate) gram 2
✔️Vanila mils 10

JINSI YA KUTENGENEZA

Chukua bakuli kavu weka vitu vikavu vyote then changanya then weka radha changanya pack kwenye kifungashio tayar Kwa matumiz

VIKOKOTO VYA BIASHARAMAHITAJIUnga wa ngano kilo1Baking powder kijiko 2 Cha chaiIriki kijiko 2 Cha chaiSiagi au samli kij...
16/05/2025

VIKOKOTO VYA BIASHARA

MAHITAJI
Unga wa ngano kilo1
Baking powder kijiko 2 Cha chai
Iriki kijiko 2 Cha chai
Siagi au samli kijiko 2 vya chakula

Weka hvyo vyote kwenye bakuli then mix mpaka VICHANGANYIKANE vizuri

Maziwa fresh au n**i nusu Lita

Anza kuweka kidg kidg uku unachanganya vizuril, usiweke mengi mengi UNGA utatepeta so weka kidg kidg uku unakanda mpaka upate donge lisiwe gumu wala jepesi

Then Anza kukata shepu upenazo k**a vigololi pembeni 4 Kwa kusukuma kwenye kibao k**a chapati unenensize nusu inch then katakata na kisu upate shepu

Bandika mafuta jiko kaanga

Then
JINSI ya kutengeneza Shira Kwa ajiri ya VIKOKOTO vyako
Maji mils 500
Sukar gram 400
Iriki kijiko 1

Chukua sufuria weka maji bandika jikoni Kisha weka na sukar iriki uku unakoroga taratibu mpaka sukari iyeyuke iwe nzito na utaona k**a mapovu

Weka VIKOKOTO vyako ukunun geuza geuza (usitumie mwiko Fanya k**a unapeta) mpaka vyote vienee na vianze kukauka

JINSI ya kutengeneza sabuni ya magadi kiurahisi kabisa✔️Mafuta Lita 5✔️Coustic soda ya maji Lita 2.5✔️Rangi ya mafuta vi...
16/05/2025

JINSI ya kutengeneza sabuni ya magadi kiurahisi kabisa

✔️Mafuta Lita 5
✔️Coustic soda ya maji Lita 2.5
✔️Rangi ya mafuta vijiko viwili
✔️Ndoo
✔️Box la kugandishia sabuni
✔️Mwiko au mtu wa kukorogea

JINSI KUANDAA NA KUTENGENEZA

Chukua ndoo weka mafuta Lita 5, then chota mafuta robo weka pembeni

Chukua coustic soda ya maji Lita 2.5 mimina taratibu kwenye ndoo ya maji uku unakoroga upande Mmoja

Koroga mpaka ichanganyike vzr

Kisha chukua box lako la kugandishia sabuni k**a la mbao utaweka nailoni, au k**a silicon utatumia hvyohvyo

Then mimina mchanganyiko wako ndan ya box la kugandishia

Chukua Yale mafuta robo tuliyopunguza mix na rangi vijiko 2 ( rangi utatumia ya blue au kijani) then koroga mpaka ichanganyike vzr kabisa Kisha Anza kumimina kwenye mchanganyiko wako wa kwenye box, taratibu uku unasambaza na kijiti k**a unachora Ili kupata mawingu k**a kwenye picha

Then acha igande masaa 24 au ilale kesho utaitoa ukate vipande size utakayo tyr Kwa matumizi

Mkate lainiMAHITAJIMaji au maziwa mils 400Amira gram 1 na nusu Cha chakula Sukar kijiko 3 Cha chakulaMafuta mils 200Maya...
12/05/2025

Mkate laini

MAHITAJI
Maji au maziwa mils 400
Amira gram 1 na nusu Cha chakula
Sukar kijiko 3 Cha chakula
Mafuta mils 200
Mayai 4
UNGA kilo 1 na robo
Chumvi kijiko Cha chai 2

JINSI YA KUTENGENEZA
Chukua bakuli la plastic au udongo weka maji, Amira, sukari changanya adi ichanganyike vzr

Kisha weka mayai na mafuta changanya vizur Kisha Anza kuweka UNGA uku unakanda

Kanda mpaka utakapoona umechanganyikana vzr Kisha funika uumuke

Kata muundo utakayo

Oka tayar Kwa kulaa

12/05/2025

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0718423251

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mainda na wajasiliamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share