01/10/2026
Mteja akifika ofisini kwako, usafi wa mazingira ni moja ya vitu vya kwanza anavyoviona.
Usafi mzuri unaongeza utulivu wa wafanyakazi, hujenga mazingira mazuri ya kazi na huacha taswira nzuri kwa wateja na wageni.
Epvate & Fortune International Consulting (EFIC) tunatoa huduma za usafi wa kitaalamu kwa ofisi, majengo na maeneo ya biashara.
💯 Usafi wa uhakika.
✨ Mazingira yanayovutia.
🏢 Huduma inayozingatia viwango.
Wewe endelea na biashara yako.
Usafi wa mazingira yako tuachie sisi.
📞 Piga Simu/WhatsApp: +255 734 379 990
📧 [email protected]
🌐 www.epvate-fortunetz.com