Timiza Malengo Yako

Timiza Malengo Yako Hamu yangu ni kuona ww unafanikiwa

Maisha ni Fumbo Kubwa Sana, hiki Kilichotokea Kwenye Mechi za Uefa Kuanzia Robo Half Semifinals ni Fundisho Kubwa Hata K...
08/05/2025

Maisha ni Fumbo Kubwa Sana, hiki Kilichotokea Kwenye Mechi za Uefa Kuanzia Robo Half Semifinals ni Fundisho Kubwa Hata Katika Maisha Yetu ya Kila Siku. Mwenyezi Mungu Anakupa kwa Muda Wake na Muda Wake Ukifika Kila Kitu Hutokea Pasipo Kipingamizi.

Msimu huu Mbappe Aliondoka PSG na Kwenda Madrid Akiamini ni Wakati Sasa wa Kubeba Taji la Uefa Lakini Real Madrid Wametolewa Kwenye Mashindano na Sasa Taji Lipo Katika Uelekeo wa PSG Endapo Watashinda Mech Yao. Somo: Wakati wa Mungu ni Wakati Sahihi Zaidii, Tuwe na Subra na Tumpe Mungu Nafasi ya Kufanya Kwa Wakati Wake.๐Ÿ‘Š๐Ÿป

Let this be your vibe the whole of 2025!Don't hope for a good year, work hard/smart to make it that good year.PS: No com...
12/02/2025

Let this be your vibe the whole of 2025!

Don't hope for a good year, work hard/smart to make it that good year.

PS: No complaining, just playing your part well and leaving the rest to the Supreme being.

Hawa ni Moja Kati ya majenerali WA kristo hapa Tanzania , LAKINI amini au kataa ,wamewahi kataliwa saana , wamewahi angu...
21/01/2025

Hawa ni Moja Kati ya majenerali WA kristo hapa Tanzania , LAKINI amini au kataa ,wamewahi kataliwa saana , wamewahi anguka mara nyingi na wamewahi kupigana vita nyingi huenda Kuna wakati walidhani wameshindwa baadaye wakagundua Kuwa Yesu kawashindia , Kwenda Juu sio safari ndogo , Mungu awakumbuke mnaotafuta nafasi ya kupenya

03/06/2024

Anyone looking for a side hustle?

Reach out.lets build a business together

Whatsap +255717671643

17/04/2024

USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA:

1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati mzuri ktk nyumba yako mwenyewe.

2. Nenda nyumbani. Usiishie kazini mwaka mzima. Wewe si nguzo ya idara yako. Ikiwa utakufa leo, nafasi yako atapewa mwingine bila kuchelewa na shughuli zitaendelea k**a kawaida. Ifanye familia yako kuwa kipaumbele.

3. Usifukuzie kupandishwa cheo. Boresha ujuzi wako na uwe bora katika kile unachokifanya. Ikiwa wanataka kukupandisha ni sawa ikiwa hawatafanya hivyo sawa tu, wewe zingatia maendeleo yako binafsi.

4. Epuka porojo za ofisini au kazini. Epuka mambo yanayochafua jina au sifa yako. Usijiunge na genge la kejeli kwa wakuu wako na wenzako. Kaa mbali na mikusanyiko hasi ambayo ajenda yao ni kujadili watu tu.

5. Kamwe usishindane na mabosi zako. Utachoma vidole vyako wala usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako.

6. Hakikisha una biashara ya kando. Mshahara wako hautakidhi mahitaji yako kwa muda mrefu.

7. Okoa pesa. ruhusu ikatwe moja kwa moja kwenye payslip yako.

8. Kopa mkopo kuwekeza katika biashara au kubadilisha mazingira ya kipato siyo kwa ajili ya kutumia ktk mambo ya anasa. Tumia faida kufanya starehe zako.

9. Hebu fanya maisha yako ya ndoa na familia kuwa ya faragha(siri). Waache wanafamilia wakae mbali na masuala yako ya kazi. Hii ni muhimu sana.

10. Uwe mwaminifu kwako mwenyewe na uamini katika kazi yako. Kukaa karibu sana na bosi wako kutakufitinisha na wenzako na bosi wako hatimaye anaweza kukustukia na kukutenga.

11. Jitahidi kustaafu mapema. Njia bora ya kupanga kuondoka kwako ilikuwa wakati ulipokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni leo. Ktk umri wa miaka 40 hadi 50 uwe umestaafu.

12. Jiunge na Taasisi ya Ustawi wa kazi na uwe mwanachama hai kila wakati. Itakusaidia sana wakati tukio lolote litatokea.

13.Siku za likizo zitumie kwa kuendeleza nyumba au miradi ya siku zijazo, kwa kawaida unachofanya wakati wa siku za likizo ya mwaka huakisi jinsi utakavyoishi baada ya kustaafu. Hii ina maana kuwa k**a utatumia muda huo kukaa kizembe k**a vile kushinda unatazama tamthilia ktk TV yaani rimoti haitoki mikononi basi usitegemee chochote cha tofauti baada ya kustaafu.

14. Anzisha mradi ukiwa bado unahudumu au unafanya kazi. Hebu mradi wako ufanyike ukiwa kazini na ikiwa haufanyi vizuri, anza mwingine hadi ufanye vizuri kabisa. Wakati mradi wako unaendelea vizuri basi staafu ili kusimamia biashara zako. Watu wengi au wastaafu wanashindwa maisha kwa sababu wanastaafu kuanzisha mradi badala ya kustaafu kuendesha mradi.

15. Pesa ya pensheni si kwa ajili ya kuanzisha mradi au kununua shamba au kujenga nyumba bali ni fedha kwa ajili ya kukutunza au kujitunza katika afya njema. Pesa ya pensheni si ya kulipia karo ya shule au kuoa mke mdogo bali ni kujiangalia wewe mwenyewe na maisha yako ya uzeeni.

16. Kila wakati ukumbuke kuwa, unapostaafu hutakiwi kuwa mfano wa kuishi maisha duni baada ya kustaafu bali uwe mfano wa kuigwa na wenzako kufikiria kustaafu pia.

17. Usistaafu kwa sababu tu umezeeka au sasa wewe ni mzigo kwa kampuni na unasubiri siku yako ya kufa. Staafu ukiwa bado kijana au ukiwa bado una nguvu za kufurahia kuamka kwa kikombe cha kahawa, kufurahia jua, kupokea pesa kutoka kwa biashara yako, tembelea sehemu nzuri ambayo umeikumbuka na kutumia wakati mzuri na familia. Wale wanaostaafu wakiwa wamechelewa, hutumia takriban 95% ya muda wao kazini kuliko kuwa na familia zao na ndiyo maana wanaona ni vigumu kukaa na familia zao wanapostaafu lakini wanaishia kutafuta kazi nyingine hadi wanakufa. Wasipopata kazi nyingine, wanakufa mapema.

18. Staafu ukiwa nyumbani kwako kuliko katika makazi ya serikali ili unapostaafu uweze kufaa katika jamii iliyokulea. Si rahisi kuzoea kuishi katika eneo baada ya kukaa kwa miaka mingi kwenye nyumba ya kampuni au katika nyumba ya serikali.

19. Usiruhusu kamwe faida za ajira yako zikufanye usahau kuhusu kustaafu kwako. Manufaa ya ajira yanakusudiwa tu kukufanya uwe na utulivu, ujichokee wakati muda unasonga. Kumbuka ukistaafu hakuna mtu atakayekuita bosi ikiwa huna biashara inayoweza kukutegemeza.

20. Usichukie kustaafu maana lazima ipo siku utastaafu tu ama kwa hiari au kwa kutopenda.


Akili Za kuambiwa +Na Zako


Life is Like a  Discoโ€ฆNo Matter How The Music Changes, You Keep Dancing.๐Ÿ•บ๐Ÿป
19/03/2024

Life is Like a Discoโ€ฆ
No Matter How The Music Changes, You Keep Dancing.๐Ÿ•บ๐Ÿป

Mwaka 2016 Nimekuja Zangu Dar Kuangalia Fursa Ya Nifanye Nini ,,,,,,Ndipo Nikakutana na Rafiki Yangu Akanifundisha Kazi ...
30/01/2024

Mwaka 2016 Nimekuja Zangu Dar Kuangalia Fursa Ya Nifanye Nini ,,,,,,

Ndipo Nikakutana na Rafiki Yangu Akanifundisha Kazi Nikaanza K**a Mbeba Mizigo na Baiskeli Nikatoka Nikafanya Kazi K**a Saidia Fundi Na Mwisho Nikaona Niwe Fundi Ujenzi Kabisa na Nilifanya Kazi Hiyo Kwa Muda wa Miezi 6 Ni Kazi Ngumu Najua Wanaofanya Wanaweza Kunielewa Napata Pesa Ya Kula Ila Syo Pesa Ambayo Naweza Nikatimiza Malengo Yangu .

Nikaachana na Hiyo Kazi Nikaingia Kujifunza Kupiga Rangi Nyumba za Watu Nikaona Kidogo Hiyo ni Nyepesi Nikafanya K**a Miezi 6 Mingine So Imagne Kwa Mwaka Mmoja Nikakusanya Kiasi cha 1.3Milion

Nikafikiria Hii Pesa Nianze Maisha Yangu Ya Kujitegemea Au Nitafute Biashara Nifanye Niachane na Hizi Kazi So Ukiwa na Nia Mungu Pia Anakuletea Watu .

Nilikutana na Dada Mmoja Facebook Ambaye Alinielezea Biashara Ya Forever Na Alinionyesha Kuwa Kupitia Biashara Hii Naweza Kutimiza Malengo Yangu K**a Tunavyojua Hofu Siku Zote Ndizo Zinazoua Ndoto Zetu ๐Ÿ™Œ

Nikatoka Hapo Nimehamasika Na Biashara Nikaenda Kuuliza kwa Ndugu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Kila Mtu Alikuwa na Maneno ya Kukatisha Tamaa.

Nashukuru Nikaendelea Kuhudhuria Mikutano Ya Forever Na Kupata Hamasa Zaidi na Safari yangu na Forever Ikaanza Rasmi 2017 .

Haikuwa Rahisi Kwa Sababu Kila Mtu Wangu Wa Karibu Hakuwa Tayari Kunishika Mkono Kila Mtu Aliona K**a Nimepotea .

Kumbuka Nimeanza Biashara na Nikaacha Kazi Zote Nilizokuwa Nikizifanya Na Sikuona Mwanga Kabisa Mwanzoni Mwa Biashara .

Nilihisi Kukata Tamaa na Kuona Sitaweza Tena Kutimiza Malengo Yangu Kuna Muda Mpaka Nawafuata Walionitangulia Kwenye Biashara na Kuuliza K**a Nitaweza Kutimiza Malengo Yangu .

Nashukuru Sana Forever Kuwa na Mikutano Inayotujenga Kwenye Kuamini Kuwa Kila Kitu Kinawezekana .Nilichukua Muda Kujifunza Kuhusu Biashara na Namna Ya Kutumia Mitandao ya Kijamiii K**a FB na IG.

Miezi 6 Mbele Nilianza Kupata Wateja Kutoka FB na Wakaanza Kuulizia Bidhaa na Nikaanza Mauzo Yangu ya Kwanza Ambapo Nilifanikiwaga Kuanza Maisha Yangu ya Kujitegemea Nikawekeza Zaidi Kwenye Mitandao Nikapata Wateja na Kutimiza Malengo yangu Madogo Madogo Mpaka Makubwa K**a Kuwasaport Wadogo Zangu Kugusa Maisha Ya Vijana Wenzangu na Kuwafundisha Ninachokifanya โœ…

Nikaanza Kutimiza Malengo Makubwa K**a Kununua Kiwanja Usafiri Wangu na Mengine Mengi ๐Ÿ’ช
Namshukuru Mungu Pia Nimeweza Kusafiri Kupitia Biashara Hii Pia Imenibadilisha Kimtazamo na Hata Walionishika Mkono Kipindi Naanza Biashara Mpaka Leo Wapo Pamoja na Mimi ๐Ÿ™๐Ÿป

Kupitia Biashara Hii Pia Nimepata Connection Ya Kufahamiana na Watu Mbali Mbali na Hata Wengine Kuwa Wateja Na Mpaka Kuwa Familia ๐Ÿซถ

Sitoacha Kuwashukuru Wote Walionisaport Mpaka Sasa Wapo na Mimi na Kuendelea Kuamini Bidhaa Zetu๐Ÿ™๐Ÿป

Nitoe Wito kwa Vijana Wenzangu Ambao Tunaendelea Kutafuta, au Hujui Uweze Kufanya Nini Ili Nawe Uanze Kutimiza Lengo Moja Baada ya Jingine Kwenye Maisha Yako.

Nipo Tayari Kuwasaidia na Kuwaongoza Vijana Wenzangu Wenye Nia Jinsi ya Kuanza Kufanya Biashara Ambayo Naamini Binafsi Itatufikisha Mbali Sana.
Na Wala Huhitaji Kuwa na Duka Cha Muhimu Kuwa na Simu Yako na Kuwa Tayari Kufundishika

Nami K**a Kutoa Shukrani Nitafurahi Saana Kuwashika Mikono Vijana Wenzangu Ili Tuweze Kupiga Hatua kwa Pamoja. Ondoa Hofu na Jenga Mtazamo Chanya Inawezekana... โœ…

Karibu DM Tuma Neno Biashara Au Nicheki Whatsap Kwa Namba 0717671643 Nikupatie Mwongozo Zaidiโœ…
Let's Do it*

Be healthy and take care of yourself, but be happy with the beautiful things that make you, youโœ…
17/11/2023

Be healthy and take care of yourself, but be happy with the beautiful things that make you, youโœ…

08/11/2023
Tunaishi Mara Moja.... So ni Muhimu Kufurahia Kila Sekunde Inayopita Kwenye Maisha Yetuโค๏ธ
07/11/2023

Tunaishi Mara Moja.... So ni Muhimu Kufurahia Kila Sekunde Inayopita Kwenye Maisha Yetuโค๏ธ

Celebrating my 7th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. ๐Ÿ™๐Ÿค—๐ŸŽ‰
05/10/2023

Celebrating my 7th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. ๐Ÿ™๐Ÿค—๐ŸŽ‰

16/08/2023

*Cha muhimu tusherekee maisha ya uhai wetu! Tulibahatika kukaa darasani pamoja, yaliokuja baada ya sisi kuondoka darasani na kila mtu kuanza maisha yake, yasikufanye ushindwe kukaa tena na wenzako uliokaa nao darasani. Mafanikio ya fedha au elimu yasikufanye upoteze ule upendo wenu wakukaa darasani. Maisha hayakwenda sawa kwa wote baada ya kutoka pale darasani. Wengine ndio ilikuwa mwisho kukaa darasani, wengine wanapigana na maisha mpaka saivi hawajatuliza akili bado. Wengine kupata mlo ni tabuu. Wengine wameshaitwa na Mungu/kufariki pia usisahau. Ukikutana na mliosoma nao usiwakimbie au kuwaringia cha muhimu furahieni kwamba mpo hai bado, na k**a kuna chakushirikisha usiogope kufanya hivyo. Usijivune kwani maisha hayatabiriki. Kuwa simple tuu! Kuwa wa kawaida tuu.*

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Telephone

0717671643

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Timiza Malengo Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Timiza Malengo Yako:

Share