Amon kajuna

Amon kajuna Pig 0785820006/0768432537.

16/06/2025
Kazi Mojawapo ya Roho wa Mungu ni kuwa chanzo cha Hekima ya Mungu ndani ya mtu.     Ineandikwa hivi.
27/12/2024

Kazi Mojawapo ya Roho wa Mungu ni kuwa chanzo cha Hekima ya Mungu ndani ya mtu.

Ineandikwa hivi.

27/09/2024

HEKIMA.

watu wetu nao wajifunze kudumu katika matendo mema, kwa matumizi yaliyo lazima, ili wasiwe hawana matunda". Tito3:14

Kulingana na msitri huu ili mtu awe na "matunda" au awe na matokeo mazuri katika hicho anachokifanya ,ni lazima atumie alicho nacho au anachopata, kwa matumizi yaliyo lazima.

Matumizi yaliyo lazima. Ni neno la kibajeti.ni msemo unao ashiria matumizi ambayo, yamechujwa ka kufuatana na ulazima wake katika kipindi Cha bajeti husika.______

Address

0785820006
Dar Es Salaam

Telephone

+255782820006

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amon kajuna posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share