TPDC Tanzania

Call Directions Website Contact the business

TPDC Tanzania natural gas,tpdc,Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania,wizara ya nishati na madini,gas,oil,mafuta,gesi,Tanzania Petroleum Development

Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is the National Oil Company of Tanzania through which the Ministry of Energy and Minerals implements its petroleum exploration and development policies. TPDC has a manpower strength of about 400 and is organized into seven directorates and three Units, namely: Directorate of Upstream, Directorate of Downstream, Directorate of Finance, Directorate of Legal Services, Directorate of Cooperate Strategy and Planning, Directorate of Corporate Management, Directorate of Internal Audit, Communication Unit, Procurement Unit and Risk Management Unit. TPDC was established through the Government NoticeNo.140 of 30th May 1969 under the Public Corporations Act No.17 of 1969. The Corporation began operations in 1973. TPDC is a wholly owned Government parastatal, with all its shares held by the Treasurer Registrar.

TPDC 2026 ||   Tunawatakia heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2026. Mteja ni Msingi wa Mafanikio yetu, Huduma B...
08/10/2026

TPDC 2026 ||
Tunawatakia heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2026. Mteja ni Msingi wa Mafanikio yetu, Huduma Bora ya na Viwango vya Juu ni haki yako.
Ahsante Mteja wetu kwa kutuamini.
Tutaendelea kukupa Huduma bora kwa viwango vya kimataifa.

TPDC 2026||   TAARIFA KWA UMMA.
02/10/2026

TPDC 2026||
TAARIFA KWA UMMA.

TPDC 2026 ||   Tumekuletea matukio makuu kati ya matukio mbalimbali yaliyofanywa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanz...
30/09/2026

TPDC 2026 ||
Tumekuletea matukio makuu kati ya matukio mbalimbali yaliyofanywa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania kwa mwezi Septemba 2026.

TPDC 2026 ||   Utakapotembelea banda la TPDC katika Maonesho ya tisa Kitaifa ya Teknolojia ya Madini 2026 utakutana na m...
29/09/2026

TPDC 2026 ||
Utakapotembelea banda la TPDC katika Maonesho ya tisa Kitaifa ya Teknolojia ya Madini 2026 utakutana na mambo haya.
Telezesha kushoto kusoma zaidi ➡️

TPDC 2026 ||   TPDC tunakupongeza Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Nishati.
28/09/2026

TPDC 2026 ||

TPDC tunakupongeza Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Nishati.

TPDC 2026 ||   Jisajili sasa na TPDC Marathon ili tuweze kushirikiana kwa pamoja kuokoa maisha ya mtoto."Hatua yako - Ok...
27/09/2026

TPDC 2026 ||

Jisajili sasa na TPDC Marathon ili tuweze kushirikiana kwa pamoja kuokoa maisha ya mtoto.

"Hatua yako - Okoa Maisha"

TPDC 2026 ||  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea kutoa elimu ya mafuta na gesi asilia kwa wanan...
25/09/2026

TPDC 2026 ||

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea kutoa elimu ya mafuta na gesi asilia kwa wananchi katika Maonesho ya Tisa Kitaifa ya Teknolojia ya Madini 2026 yanayofanyika kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Geita.

Kupitia banda la TPDC, wananchi kutoka maeneo mbalimbali wanapatiwa elimu ya mchakato wa utafutaji, upatikanaji, uchakataji na matumizi ya gesi asilia na mafuta kwa mustakabali wa taifa.

Aidha, TPDC inatumia jukwaa la maonesho haya yaliyobeba kauli mbiu, 'Madini ni utajiri Tuwajibike kwa pamoja kufikia Dira ya Taifa 2050', kujibu maswali mbalimbali yanayohusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi na salama ili kuleta chachu ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Maonesho haya yanaendelea kuwa jukwaa muhimu la kuunganisha wadau mbalimbali wa sekta ya madini, mafuta na gesi, huku TPDC ikiendelea kusisitiza dhamira yake ya kuhakikisha rasilimali za nishati zinachangia moja kwa moja katika ustawi wa kiuchumi wa Watanzania na kufikia malengo ya maendeleo ya taifa.

TPDC 2026 ||   Bonyeza *152*00 #, kisha chagua namba 4, kisha chagua namba 8, kisha chagua namba 2 ili uweze kujisajili ...
23/09/2026

TPDC 2026 ||

Bonyeza *152*00 #, kisha chagua namba 4, kisha chagua namba 8, kisha chagua namba 2 ili uweze kujisajili na TPDC Marathon 2026.

"Hatua yako, Moyo wake, Okoa Maisha"

TPDC 2026 ||   Save the Date! November 21, 2026.
18/09/2026

TPDC 2026 ||
Save the Date! November 21, 2026.

TPDC 2026 ||  Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Lemomo Ole Kiruswa, ametembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli...
16/09/2026

TPDC 2026 ||
Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Lemomo Ole Kiruswa, ametembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika Maonesho ya Tanzania Geological Society (TGS) yanayoendelea jijini Mwanza, ambapo amepata maelezo kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na Shirika katika sekta ya mafuta na gesi asilia nchini.
Katika ziara hiyo, Dkt. Kiruswa ameelezwa kuhusu shughuli za TPDC katika mnyororo wa thamani wa mafuta na gesi asilia, ikiwemo utafutaji na uendelezaji wa rasilimali, uzalishaji, uchakataji na matumizi ya gesi asilia katika kuchochea shughuli za kiuchumi na maendeleo ya viwanda nchini.
Akizungumzia matumizi ya gesi asilia, Dkt. Kiruswa ameshauri kuwa baada ya kukamilika na kuzinduliwa kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere, kiasi cha gesi ambacho kitapungua kutumika katika uzalishaji wa umeme kiangaliwe kwa ajili ya kuelekezwa kwenye uwekezaji wa Kiwanda cha uzalishaji wa mbolea nchini hatua ambayo itawezesha upatikanaji wa mbolea ya uhakika itakayochechea ukuaji wa sekta ya Kilimo nchini.
Ushauri huo unalenga kuendeleza matumizi ya gesi asilia katika maeneo yenye tija kubwa kiuchumi, hususan katika kuongeza uzalishaji wa pembejeo za kilimo, kupunguza utegemezi wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje na kuimarisha mnyororo wa thamani wa gesi asilia nchini.

Address

Azikiwe/Jamhuri Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TPDC Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TPDC Tanzania:

Shortcuts

Share