SLBI TIRES CO

SLBI TIRES CO Wauzaji wakubwa wa bei za jumla na rejareja, Ulipo Tupo, Tunakuletea
Tires,Batteries, Rims na Tubes Tunawajibu wateja kwa wakati , huduma zetu ni masaa 24.

Malengo ya page ,Kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wateja wote wa karibu na mbali pia. Huduma kiganyani kwako. Huduma zetu zenye kipaumbele zaidi
°Tunauza
mataili, Batteries, rims na Tubes

za Magari , Matrector, Machine na Mitambo mbalimbali ya kwenye madini

OFA ZETU
ni bure kujua aina za Mataili za wire au u*i, ubora wake ukoje na Nchi zinakotoka,
kwamba kwanini matai

li yanavimba haraka na kutoka wire
kujua wakati gani unatakiwa kufunga taili kashata kubwa au ndogo
kujua taili bora zaidi kuliko zote na vigezo vya ubora ni vipi utafundishwa bure
**a unakipato kidogo unataka taili nzuri na salama. utapewa ushauri kujua taili zipi za china lakini ni Bora na imara zaidi
kufungua biashara za Mataili , rims na batteries kutoka nje kuja Tanzania , ndani kwa ndani tuna. uzoefu wa kutosha tutakuelezea na kukutanisha na wahusika bure kabisa

Rim
Pia. kwenye rim , tuwapa ushauri wakati gani anapaswa kufunga rim sports, au rim za chuma na Aina ya Magari. na shughuri za Magari husika.
tunashauri rim nzuri na Bora kuendana na Aina ya Gari , ili kufanya liweze kupendeza zaidi
ushauri jinsi ya kunyenyua Gari yako kwa kubadilisha rim na kufanya Gari liweze kuwa juu

Batteries

Batteries zipo aina nyingi kutoka Nchi mbalimbali, zinapatika kwa ukubwa tofauti. K**a Ns 40,60,75, na N50, 70, 90, 100, 150, 200........
ushauri kujua ubora na uhakika wa batteries zilizo sokon
kujua saman ya batteries, kwa kujua Aina ya warranty na muda wake na umuhimu wa kuwa na warranty ya miezi 6 , 12 au 18
ushauri wa kununua batteries kufuatana na matumizi yako na ukubwa wa Gari lako
@ Pia. Tunatoa ushauri jinsi ya kudai warranty yako endapo batteries itakuwa imesumbua au imekufa ndani ya muda wa warrant


Tubes

Zipo tube za Aina nyingi kutoka China , India , Indonesia na.....
zipo zinafaa kwa machine , trector na Magari tunawataramu wazuri na wabobezi kwa kazi hiyo na Ni washauri wazuri Sana
Pia tunafunfisha ushauri na matumizi mbalimbali ya tubes , K**a kuongelea

Delivery
wateja walio karibu na ofsini kwetu umbali wa km 1 , tunafanya free delivery

na wale walio mbali tunaboda boda wetu wanawapelekea kwa bei poa kabisa na mzingo mikubwa tuna. Canter zetu za uhakika
zinafanya kazi masaa 24hrs

Maeneo Tulipo
Tunapatikana Makao Makuu kariakoo, mtaa wa Narung'ombe na Livingstone,KARIAKOO DAR ES SALAAM Duka letu Lina jina SLBI TIRES CO

MAWASILIANO YETU
Tuna simu za ofsini 0699500570
simu ya Mkurugezi call au whasap
+255712031884 tunapokea na kujibu sms za wateja wakati wowote na pia K**a mteja anahitaji kutumiwa picha tunatuma bure , kwa kiasi chochote anachotaka
Mataili na Nchi zinakotoka

Bf Goodrich _U.S.A
DUNLOP .... THAILAND, JAPAN& S.A
YOKOHAMA......JAPAN
PILLARY........ Uturiki
KUMHO. .....KOREA
GOODYEAR S.A AU Europe
BRIDGESTONE S.A, Thailand

Imeandikwa na
Farao Josephy
SLBI TIRES CO _Mkurugezi
+255712031884

Vasspower , ni battery  nzuri , na bei poaTupigie   0712031884Zipo N50, 70, N100, N120, N150, N165, N180, na N200Tunapat...
21/02/2026

Vasspower , ni battery nzuri , na bei poa
Tupigie 0712031884
Zipo N50, 70, N100, N120, N150, N165, N180, na N200
Tunapatikana kariakoo st Narungombe na livingstone
Duka letu SLbi tires

16/02/2026
10/02/2026

Tangazo
SLBI TIRES CO inatangaza nafasi ya kazi. Jinsia ya kiume umri 20-26.
Tuma CV WhatsApp 0796433722
SKILLS.
Bachelor of Science in Economics (B.Sc. Econ) with options in:
(i) Economic Policy and Planning-BSc
(ii) Project Planning and Management

Size 12:00R20Tsh 700000/=
27/01/2026

Size 12:00R20
Tsh 700000/=

Suppersingle Jumla  Tsh 650000Whasap/call +0712031884
20/12/2025

Suppersingle
Jumla Tsh 650000
Whasap/call +0712031884

Best price is our priorityJust call or WhatsApp 0712031884/0792235533
24/10/2025

Best price is our priority
Just call or WhatsApp 0712031884/0792235533

Bei poa ,Dunia  k**a kijiji WhatsApp/call #0712031884 #0742006553 #
18/10/2025

Bei poa ,Dunia k**a kijiji WhatsApp/call #0712031884 #0742006553 #

07/10/2025

Box ,diff,
315.80.22.5
Delivery #0712031884

Diff size  #12:00r20 #Aulice brand Bei za jumla  jumlaZinafaa barabara mbovuTupigie0712031884
03/10/2025

Diff size #12:00r20 #
Aulice brand
Bei za jumla jumla
Zinafaa barabara mbovu
Tupigie0712031884

Address

Narung'ombe Na Livingstone Kariakoo
Dar Es Salaam

Telephone

+255712031884

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SLBI TIRES CO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SLBI TIRES CO:

Share