Market today with navs

Market today with navs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Market today with navs, Business service, Dar es Salaam.

AIRLUX REFRIDGERATORDouble Door Price: 390,000
30/04/2024

AIRLUX REFRIDGERATOR
Double Door
Price: 390,000

Mzigo mpya umefika.. jipatie LG sound system kwa bei pouwa Tzs 600000 tu
17/10/2023

Mzigo mpya umefika.. jipatie LG sound system kwa bei pouwa
Tzs 600000 tu

Jipatie cooker nzuri Kwa Bei nafuu. Karibu mteja wa jumla jumla na rejareja. Tunakufikishia ofisini kwako mapema. Hii ha...
20/09/2022

Jipatie cooker nzuri Kwa Bei nafuu. Karibu mteja wa jumla jumla na rejareja. Tunakufikishia ofisini kwako mapema.
Hii hapa orodha ya cookers
*2 gas plates + 2 electrics plates +oven
* 3 gas plates + 1 electrics
* 4 full gas plates +oven lamp 60"60

Je ungependa kutokelezea na pochi za kijanja. Kwa rangi nzuri na bei nafuu ya Tzs 40k tu utapokea pochi yako popote Tanz...
07/04/2022

Je ungependa kutokelezea na pochi za kijanja. Kwa rangi nzuri na bei nafuu ya Tzs 40k tu utapokea pochi yako popote Tanzania. Tunakufikia

Men's wearKaribu onlinecloth.og Pata t-shirt nzuri kutoka kwenye store yetu. Kwa Bei ya shilingi 15,000 kwa rejareja Ila...
06/09/2020

Men's wear
Karibu onlinecloth.og
Pata t-shirt nzuri kutoka kwenye store yetu. Kwa Bei ya shilingi 15,000 kwa rejareja Ila kwa jumla 13,000. Mzigo tunakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania.

Karibu onlinecloth.ogPata nguo Kali na nzuri kwako mwanadada mrembo na unayetamani kuonekana mrembo zaidi. Kwa Bei ya Tz...
05/09/2020

Karibu onlinecloth.og
Pata nguo Kali na nzuri kwako mwanadada mrembo na unayetamani kuonekana mrembo zaidi.
Kwa Bei ya Tzs 25,000 unapata full.
Wasiliana nasi kwa namba 0716102421. Mzigo unakufikia popote ulipo.

Karibu onlinecloth.ogJipatie mapazia mazuri kwa ajili ya nyumba yako. Mapazia Ni mazuri na utapata kwa Bei nafuu ya shil...
05/09/2020

Karibu onlinecloth.og
Jipatie mapazia mazuri kwa ajili ya nyumba yako. Mapazia Ni mazuri na utapata kwa Bei nafuu ya shilingi 60,000 tu. Tutakufikishia popote ulipo. Wasiliana nasi kwa namba 0716102421

Karibu onlinecloth.ogJipatie mapazia mazuri kwa ajili ya nyumba yako.tukufikia popote ulipo kwa Bei nafuu. Utapata set n...
05/09/2020

Karibu onlinecloth.og
Jipatie mapazia mazuri kwa ajili ya nyumba yako.tukufikia popote ulipo kwa Bei nafuu. Utapata set nzima ya mapazia kwa shilingi 60,000. Wasiliana nasi kwa namba 0716102421

Pata saa nzuri kwa ajili ya nyumba yako. Saa hizi Ni nzuri kwenye nyumba yako kwani huwa K**a saa na K**a pambo kwenye n...
05/09/2020

Pata saa nzuri kwa ajili ya nyumba yako. Saa hizi Ni nzuri kwenye nyumba yako kwani huwa K**a saa na K**a pambo kwenye nyumba.wasiliana basi kupitia namba 0716102421.tunatuma popote ndani ya Tanzania

23/05/2017

Mwimbaji staa wa RNB Ben Pol amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kueleza ni kwanini na ilikuaje mpaka akapiga zile picha za bila ngu...

21/05/2017

Japo ni huzuni sana kuwapoteza wapendwa wetu wote katika tukio la kuzama kwa meli ya mv bukoba.zoezi la kuwakumbuka watu waliokufa katika aj...

21/05/2017

K**a wewe ni mpenzi wa mziki basi huwezi kusahau jinsi mchuano wa mziki uliokuwepo zamani kati ya sikinde ngoma ya ukae pamoja na msondo ngo...

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Market today with navs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share