14/01/2016
Furaha ya Mwanafunzi n kumaliza masomo yake na kuhitimu(Graduation). Kikwacho kikubwa kwa wanachuo wengi ni kufanya Research na kuandaa Report itakayokubiliwa na Department za field study katika vyuo vyao na kumuwezesha kuingia kwenye orodha ya wahitimu(Graduation list).
Tatizo sio kumba wanafunzi hawawezi kufanya na kuanda ripoti ila ni kwamba hawawezeshwi au kupata elimu inayomwezesha kuandaa research proposal itayomongoza ktk kuanda ripoti nzuri ktk mazingira husika(field study and target population). Pia wanafunzi wengi wanajikuta ktk mazingira magumu ya msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa ushirikiano kutoka kwa wasimamizi wa tafiti zao( Supervisers).
Kitendo hiki hupelekea sio tu kushindwa kuandaa ripoti nzuri bali kufeli hata masomo mengine na kujikuta wakipata supplementary , kushindwa kuhitimu na baadhi yao kudisco kabisa.
AGK -BAS tumeliona hilo na kuandaa timu ya watalaam watakao kuongoza toka hatua ya kuandaa research topic, proposal hadi presentation. Wakati wote tutatoa supervision na kukusaidia uweze kuhitimu bila tatizo. Pia ukiwa na AGK- BAS utapikwa na kuiva vizuri kitafiti. Hii itakusaidia either kujiajili au kuwa na nafasi kubwa kuajiliwa na Mashirika yanayojishughulisha na tafiti mbalimbalj nchini. Ukiwa nasi utafurahia Maisha ya chuo kwa kusoma bila stress. Ewe Mzazi ni jukumu lako kuandaa mazingira mazuri yatakayomuwezesha kijana/binti yako kutimiza malengo yake. Tupo kwa ajili yako.
"We provide satisfactory service for affordable price to all"
YOUR SUCCESS IS OUR PRIORITY