Juma Michael Mwanaharakati

Juma Michael Mwanaharakati Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Juma Michael Mwanaharakati, Business service, Dar es Salaam.

Mungu akikufikisha 2023 salama achana na tabia ya kuwatafuta watu ukiwa na shida. Huu ni ushamba.Halafu unapoomba kitu u...
31/12/2022

Mungu akikufikisha 2023 salama achana na tabia ya kuwatafuta watu ukiwa na shida. Huu ni ushamba.

Halafu unapoomba kitu ukanyimwa uache kuwatishia watu maisha kwamba hakuna ajuaye kesho! Kwani wewe kesho unaijua?

Jenga utamaduni wa kuwasalimia jamaa zako mara kwa mara ili hata ikitokea dharula ni rahisi kukushika mkono kuliko kuibuka tu wakati unashida.

Inakugharimu nini kuwasalimia ndugu zako? Hii tabia ya kusema una ndugu wengi matajiri lakini hawakusaidii bali unasaidiwa na watu baki unaisababisha mwenyewe.

Sikiliza, salamu ni nusu ya kuonana! Achana na tabia za kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu,acha tabia mbaya na za hovyo unapoingia 2023!

Happy Birthday
06/12/2021

Happy Birthday

24/05/2020

Eid MubaraQ

15/05/2020
01/05/2020

Ijumaa Karim

16/02/2020


Tarehe 2 ya Disemba 1999, kwenye chumba kidogo sana, tukawasha mitambo. Tanzania ikaitika, safari ikaanza.Haikuwa rahisi...
02/12/2019

Tarehe 2 ya Disemba 1999, kwenye chumba kidogo sana, tukawasha mitambo. Tanzania ikaitika, safari ikaanza.

Haikuwa rahisi, magumu tumepita: tumeungua moto mara 3 sio moja, tumepoteza majemedari wengi tulioanza nao safari, na mengine mengi.

Katika yote, Tunamshukuru Mungu, tunawashukuru Watanzania na wasikilizaji na watazamaji wetu popote Duniani. Tulitupa mawe pamoja, tukamwaga nyuki na kukita ngoma katika burudani iliyo jadi yetu. Safari hii ni ya mafanikio, miaka 20 ya kufungua Dunia na bado tuko hapa tukiishi kiapo cha kuzidi kufungua Dunia.

Shukrani sana: ni ni miaka 20 yenye levels.

22/11/2019

Unyama Unyama😂😂😂

R.I. P Bibi
27/09/2019

R.I. P Bibi

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255712606375

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Juma Michael Mwanaharakati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Juma Michael Mwanaharakati:

Share