AFETz Business Opportunity

AFETz Business Opportunity We consult everyone on how he/she can open his/her minds and deal with 21st Century business opport For More details click on the web page you see below.

We started this free business Training since October 26, 2016. And we are always available from Morning to evening as our time schedule, shown on the screen.

Karibu kwenye mikutano ya kibiashara ya kimataifa ya AIM GLOBAL ujiunge na watanzania wenzako katika kufundishana mbinu ...
06/05/2017

Karibu kwenye mikutano ya kibiashara ya kimataifa ya AIM GLOBAL ujiunge na watanzania wenzako katika kufundishana mbinu mbalimbali za kujikwamua kiuchumi ili kukabiliana na hali mbaya ya maisha iliyopo kwa sasa.

Kwa Mawasiliano zaidi piga namba 0788343902.

Habari Njema kwako......!!!!!Je wewe ni Mfanyakazi Serikalini au Binafsi, Mfanyabiashara, Mstaafu, Mstaafu Mtarajiwa, Ma...
05/04/2017

Habari Njema kwako......!!!!!

Je wewe ni Mfanyakazi Serikalini au Binafsi, Mfanyabiashara, Mstaafu, Mstaafu Mtarajiwa, Mama wa Nyumbani, Mwanafunzi, n.k.

Una changamoto mbalimbali za maisha?
Asilimia 97 ya watu hatutimizi ndoto zetu!!
Unataka kujua siri ya kufikia mafanikio?

Fursa Kubwa Ya Biashara Itakayokupa :-
* MKONDO MWINGINE WA KIPATO,
* AFYA BORA,
* UHURU WA MUDA,
* UHURU WA KIPATO,
* SAFARI ZA KIMATAIFA,
* USAFIRI WAKO BINAFSI
* KUISHI MAISHA UNAYOYATAKA,
* MPANGO WA KUSTAAFU N.K

☆ Anza Mwaka 2017 Na Malengo Makubwa Kupitia Hii Fursa Ya Biashara!!
☆ Je Kipato Chako Kinakutosha?

Je unapenda Kukuza Uchumi Wako Wa Kuwa Mfanyabiashara wa Kimataifa kwa Kutumia Muda Wako Wa Ziada Bila Kuacha Kazi Yako Unayofanya Sasa?

Bado Hujachelewa Wakati Ni Sasa Hakuna Kesho.

Karibu sana ungana na kundi la wafanyabiashara wa kimataifa ambao muda wao wa ziada wanautumia katika kuwekeza kufanya biashara sahihi na kutengeneza kipato cha ziada na pia utajifunza toka kwa watu waliofanikiwa katika biashara hii toka nchini.

Tutakuwa na BUSINESS PRESENTATION YA AIMGLOBAL.

Siku: JUMAMOSI
TAREHE:08/04/2017.
Muda: SAA 8 mchana
MOROGORO
Wapi :OASISI HOTEL.

Karibuni!
Wote mnakaribishwa tujifunze!
Kiingilio : Hakuna. Ni Bure.

Tuwasiliane 0788343902 WhatsApp au Sms au Inbox nikupe maelekezo zaidi na taratibu za Kushiriki.

KARIBU.....!!!Katika mkutano wa kibiashara unaodhaminiwa na Kampuni kubwa ya kibiashara ulimwenguni ya ALLIANCE IN MOTIO...
01/04/2017

KARIBU.....!!!
Katika mkutano wa kibiashara unaodhaminiwa na Kampuni kubwa ya kibiashara ulimwenguni ya ALLIANCE IN MOTION GLOBAL, ambapo utafundishwa jinsi ya kufanya biashara yenye manufaa ili uweze kutimiza malengo yako uliyojiwekea ndani ya mwaka 2017/18.

NI WAPI? NA NI LINI?

Fika katika ukumbi wa mawenzi, uliyopo ndani ya jengo la Holiday Inn Hotel, eneo la posta mpya Dar es salaam, mnamo leo siku ya jumamosi tarehe 01/04/2017, kuanzia saa 8 mchana.

Hakikisha unapopata Ujumbe huu, usiache kumuarika jirani yako, ndugu, au rafiki yako ili mfike kwa pamoja kusikiliza mtakayofundishwa.

HAKUNA KIINGILIO.
MAFUNZO NI BURE.

KWA MAWASILIANO ZAIDI;
Piga simu namba +255 788 343 902.

15/03/2017
15/02/2017
15/02/2017
15/02/2017
Welcome to Opening Presentation Program meeting(OPP), supported by Alliance in motion global(The multi millioneres compa...
05/02/2017

Welcome to Opening Presentation Program meeting(OPP), supported by Alliance in motion global(The multi millioneres company in the world), this will be at Dar Free Market Osterbay, tomorrow February 6th at 4PM.
We' ll talk about how people can achieve their dreams through NM business and live a better life they wanted to..!!

For More Information. Call on/Whatsapp on:- +255788343902.

03/02/2017
This how we differentient between Millioneres And Broke people.
03/02/2017

This how we differentient between Millioneres And Broke people.

KARIBU.....!!! Katika mkutano mkubwa wa kibiashara unaodhaminiwa na Kampuni kubwa ulimwenguni ya AIM GLOBAL, ambapo utaf...
30/01/2017

KARIBU.....!!!
Katika mkutano mkubwa wa kibiashara unaodhaminiwa na Kampuni kubwa ulimwenguni ya AIM GLOBAL, ambapo utafundishwa jinsi ya kufanya biashara yenye manufaa ili uweze kutimiza malengo yako uliyojiwekea ndani ya mwaka 2017/18.

NI WAPI?
NA
NI LINI?
FIKA
Holiday Inn Hotel iliyopo posta mpya Dar es salaam, mnamo siku ya;-
Jumatano kuanzia saa10jioni -12jiioni.
Jumamosi kuanzia saa 8mchana -10jioni.

PIA WAWEZAFIKA
Katika Ofisi yetu iliyopo barabara ya Alhasan Mwinyi Jengo la
Dar Free Market Mall Ofisi Namba 35b, mnamo siku ya;-
Jumatatu kuanzia saa 4asubuhi - 12jioni.
Jumanne kuanzia saa 4asubuhi -12jioni.
Alhamisi kuanzia saa 4asubuhi -12jioni.
Ijumaa kuanzia saa 4asubuhi -12jioni.

Hakikisha unapopata Ujumbe huu, usiache kumshirikisha jirani yako, au ndugu yako, au rafiki yako ili mfike wote kusikiliza mtakayofundishwa.

HAKUNA KIINGILIO NA MAFUNZO NI BURE.

KWA MASWALI NA MAWASILIANO ZAIDI;
Piga simu namba 0655175796 utapokelewa.

KARIBU.

16/01/2017

We consult everyone on how he/she can open his/her minds and deal with 21st Century business opport

Address

Ali Hassan Mwinyi Road
Dar Es Salaam
78620

Opening Hours

Monday 04:00 - 06:00
12:00 - 02:00
Tuesday 04:00 - 06:00
12:00 - 02:00
Wednesday 04:00 - 06:00
12:00 - 02:00
Thursday 04:00 - 06:00
12:00 - 02:00
Friday 04:00 - 06:00
12:00 - 02:00
Saturday 02:00 - 05:00

Telephone

255788343902

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFETz Business Opportunity posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AFETz Business Opportunity:

Share