Teamexclusive

Teamexclusive Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Teamexclusive, Business service, kinondoni/kimara, Dar es Salaam.

Wakati serikali ya awamu ya tano iki endelea na zoezi la BOMOA BOMOA jana walofanikiwa kufika katika eneo la Mbezi Mwish...
13/04/2016

Wakati serikali ya awamu ya tano iki endelea na zoezi la BOMOA BOMOA jana walofanikiwa kufika katika eneo la Mbezi Mwisho na kubomoa nyumba na sehemu za biashara zilizopo kando kando ya bara bara hiyo.Zoezi hili lina lengo la kutanua barabara hiyo ili kupinguza ajali ambapo watu wamekua wakiwa hatarini bila kujua kutokana na kwamba ukaribu wa biashara zinazo fanyika hapo na ambali wa barabara hiyo ni hatari kwa wananchi wapitao na hata wafanyabiashara wenyewe wanaognya biashara kando ya barabara hiyo.Kwa kufanya hivyo serikali imepunguza asilimia 70 ya uwezekano wa kutokea kwa ajali katika bara bara hiyo na kjpisha utanuzi na uboreshaji wa maeneo hayo.

K**a kwli wa TANZANIA tunapenda na kuheshimu utamaduni wetu tutoe maoni yetu kwq msanii wetu anaepeperusha bendela yetu ...
09/04/2016

K**a kwli wa TANZANIA tunapenda na kuheshimu utamaduni wetu tutoe maoni yetu kwq msanii wetu anaepeperusha bendela yetu vizuri kimataifa.

DIAMOND PLATNUM msanii kutoka tanzania alie toka na track yake ya kwanza kwa jina la kamwambie anakua ni kioo cha wasani...
08/04/2016

DIAMOND PLATNUM msanii kutoka tanzania alie toka na track yake ya kwanza kwa jina la kamwambie anakua ni kioo cha wasanii wote nchini pindi watoapo nyimbo zao kwa kuhakisha nyimbo zoa zina mahadhi ya kuvutia na pia muonekano mzuri wa video wenye hadhi ya kimataifa na vile vile amekua ni k**a daraja la wasanii wa ndani na nnje kutokana na kwamba amesha fanya kazi nyingi na wasanii wa bara la africa k**a DAVIDO,KCEE,AKA,MAFIKIZOLO na BRACKETS.Watnzania wanategemea makubwa sana kutoka kwako DIAMOND PLATNUM

Address

Kinondoni/kimara
Dar Es Salaam
CLOTHES

Telephone

0718035003

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Teamexclusive posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share