Starting business

Starting business Soon achievement Rich goals

Zinapatika k**a hiziiii iz tayari zmechukuliwa weka odaa utaletewa ujee kuchagua popote ulipo piga +255712787738 tunafun...
19/10/2016

Zinapatika k**a hiziiii iz tayari zmechukuliwa weka odaa utaletewa ujee kuchagua popote ulipo piga +255712787738 tunafungua Baloo la mtumba kila baada ya cku nne karbu sana Kwa mavazi ya baby wakooo balo from gwazuuu China

Heee ni rahisi sana inauzwa milion moja na laki saba tuu machine ya juice ya miwa inayotumia umeme tena kwa kias kidgo s...
25/02/2016

Heee ni rahisi sana inauzwa milion moja na laki saba tuu machine ya juice ya miwa inayotumia umeme tena kwa kias kidgo sana najua unajua au ujuI faida ya juice ya miwa aina msimu aishuki bei mahala popote unaweza weka upendwa na kila mtuuu je unasubirii kma kijaa mjasilimalii mwambie na mwanzakoo zinapatikana dubai machine .

30/01/2016

Watu wengi wafanya biashara ndogondogo awafanikiwi sababu awasimami kwenye biashara moja ebu jaribu kujijengea jina na biashara moja kuwa maarufu uwajenge wateja wako au watu wajue wakitaka sabuni basi lazima wakutafute wewe wakitaka kuku wajue kwako lazima wapate hapo ndipo uanzishe nyingine na ndo wafanyabiashara wakubwa wote walianzia uko mfano said salim bakheresa alianza kiwanda kmoja na bidhaa moja lakin sasa.

30/01/2016

We ni mfanya biashara mdogo mdogo na ujui jinsi ya kuwa tajiri kwa muda mfupi usijali fanya aya machache 1. Kuwa mvumilivu kulingana na biashara yako 2.weka akiba akikisha utoi ela kwenye akiba yako mpaka lengo la kuwa na kiasi kazaa cha pesa kitimie 3.kuwa heshima na ela kwa maana acha matumizi yasiyo ya lazima kabisa 4.heshimu kazi yako kwa kuwathimi wateja wako .4.tuza muda wako .by starting business

30/01/2016

Watu usema ukiienda na punda kisimani umlazimishi kunywa basi ivyoivyo kwako usilazimishwe kufanya kitu ambacho ukipendi na pia usiamke tu asubuhi k**a ajali ujue kwanini umeamka ndoto na mafanikio yako yapo kwako mwenyewe maswali ya kujiuliza ni aya 1.wewe ni nani 2.na unataka uwe nani 3.kwanin uwezi. Baada ya hapo k**a ulikuwa unasoma au unafanya kazi basi hakikisha upotezi muda by starting business.

15/01/2016

Amini ela ndogo ndo ela kubwa amina alikuwa na shilingia elfu ishirini ambazo alizipata kwa mjomba wake lakini aukujua afanye nini alifikiri kwa muda mwing akupa jibu alijaribu kuja kwenye ofisi zetu tabata zinajulikana k**a ushauri wa biashara mmh alifanikiwa kupata ushauri mdogo tu.

15/01/2016

Una kiasi kidogo cha pesa ujui ufanye nini uwe tajiri una kabisa pesa unahitaji pia ushauri uliza swali omba ushauri haraka waweza pata jibu na kutimiza ndoto yako.

Address

Tabata Bima
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Starting business posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share