Ardoa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ardoa, Business service, Dar es Salaam.

19/05/2026
Killimanjaro marathon 2026 2025 2024 2023 2022 2021 and 2020 collection
26/03/2026

Killimanjaro marathon 2026 2025 2024 2023 2022 2021 and 2020 collection

 Dodoma Marathon 2025
29/07/2025

Dodoma Marathon 2025

Klopp aliileta timu yake ya Borussia Dortmund Wembley kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa mwaka 2013 na wakafungwa 2-1 na Ba...
28/05/2025

Klopp aliileta timu yake ya Borussia Dortmund Wembley kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa mwaka 2013 na wakafungwa 2-1 na Bayern Munich.

Akarejea katika mji mkuu na Liverpool kwa fainali ya Kombe la Carabao Februari 2016, akipoteza dhidi ya Manchester City kwa mikwaju ya penalti.

"Hapana, sitavaa suti kwenye mchezo wa mpira wa miguu isipokuwa k**a sheria.Klopp alinukuliwa akikataa kuvaa tena suti kwenye mchezo wa mpira wa miguu.

mfano hivi majuzi, amorim alipoteza kwa Ange Postecoglou ambaye hakuvaa suti,

Fadlu alishindwa na Moine Chaabani ambaye hakuvaa suti

Nimeangalia fainali kadhaa kuacha fainal za Don Carlo ,kocha wengi wanapoteza final k**a huwa sio mazoea yao kuvaa suti kwenye Touch line, mfano week iliyopita nilivyomuona tu Amorim kavaa koti la suti na si kawaida yake nika tick box kuwa wana nafasi kubwa ya kupoteza final.na ndivyo ilivyotokea .

Je hii ndio sababu ya Simba kupotezaa dhidi ya Berkane?

24/05/2025

Word
28/08/2022

Word

04/03/2021

31/01/2021

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ardoa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share