GREEN LEAF

GREEN LEAF Tanzanian-based Digital Traditional Herbal Farm develops Mogendi's Potent Holistic Nutraceuticals.

🍯GREEN LEAF ~ MOGENDI HONEY (NECTARNULIN)🐝A Premium Nutraceutical Traditional Honey to support BILLIONS Probiotics. This...
16/02/2023

🍯GREEN LEAF ~ MOGENDI HONEY (NECTARNULIN)

🐝A Premium Nutraceutical Traditional Honey to support BILLIONS Probiotics. This Digestive Magic Nectar is recommended for more than 25 SERIOUS HEALTH PROBLEMS.

🐝With Plant-Based:
~Vitamin C
~Antioxidants
~PreBiotics NutraFlora+

📲Get yours today through +255 736 050 548🍯

It's all about updating our health & upgrading our life.🌱GREEN LEAF MOGENDI 🍯HONEY also known as 🐝Mogendi Magic Nectar o...
27/12/2022

It's all about updating our health & upgrading our life.

🌱GREEN LEAF MOGENDI 🍯HONEY also known as 🐝Mogendi Magic Nectar or 🐝Nectarnulin is a premium digestive honey made up of +PreBoitics NutraFlora +AntiOxidants +AmimoAcid +Calcium & +Vitamin C.

🔥"The true magic of this 🍯honey is not the abundant 🌱Plant-Based Vitamin C in it but the fact that it's blended to get better with time; far better than wine without lost it's Magic Touch of even quarter of it's BioActive Nutrients." He continued... 📢"The secret behind this Traditional Blending Craftsmanship Knowledge & Techniques are beyond our generation. That's another type of an 🔥Extraordinary Innovation." said the Mogendi Therapist.

🌱GREEN LEAF ~ MOGENDI 🍯Nectarnulin it's for all people, an Allergy Free Nutraceutical. 🐝The food of the God's to boost your Immune System & put the Green Life back in.💪🏾

Call us or wtite us today for more information about our services and how we operate and be of help to serve you. 📲 Calls/WhatsApp +255 736 050 548 📨[email protected]
😃We'll be more than happy to help you.

08/12/2022

👨🏽‍⚕️Je, unasumbuliwa na vidonda vya tumbo? 👨🏽‍⚕️Je, umekua ukitumia dawa mbalimbali bila kupata nafuu au ahueni yeyote?

🌱Diet ya GLUTAMINULIN inayozalishwa na GREEN LEAF - MOGENDI ni suluhisho sahihi la vidonda vya tumbo bila kujali umekaa navyo kwa muda gani au umefikia hatua gani. 💪🏾Wameponywa waliokua wakitapika na kupata choo chenye damu, bila kusahau waliofikia hatua ya kupoteza hamu ya kula, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa tumaini la kupona.

😍Mamia kwa maelfu wanaendelea kupona, unangoja nini? Wasiliana nasi sasa kupitia 📲+255 736 050 548 tukuhudumie.

Je, umekua ukisumbuliwa na vidonda vya tumbo bila kupata suluhisho kwa muda mrefu.?Je, umeshatumia dawa mbalimbali za vi...
23/10/2022

Je, umekua ukisumbuliwa na vidonda vya tumbo bila kupata suluhisho kwa muda mrefu.?
Je, umeshatumia dawa mbalimbali za vidonda vya tumbo bila mafanikio.?
Ondoa shaka jibu ni GREEN LEAF - MOGENDI GLUTAMINULIN.

Ni dawa iliyotibu zaidi ya maelfu kwa mamia ya wagonjwa wa vidonda vya tumbo na kuwapa matokeo asilimia 💯 bila kuwa na kesi za vidonda kujirudia. Tunasubiri simu yako wasiliana nasi sasa kupitia simu namba +255 736 050 548 tuweze kukuhudumia. KARIBUNI SANA.

🌜Eid Al Adha Mubarak from the GREEN LEAF ~ MOGENDI family.🌛⭐🐄🐑🐐⭐🙏May Allah accept your sacrifice and bless you with his ...
10/07/2022

🌜Eid Al Adha Mubarak from the GREEN LEAF ~ MOGENDI family.🌛

⭐🐄🐑🐐⭐

🙏May Allah accept your sacrifice and bless you with his mercy.🙏

🐄🐑🐏🙏

🌜Eid Mubarak from the GREEN LEAF ~ MOGENDI Family🌛
02/05/2022

🌜Eid Mubarak from the GREEN LEAF ~ MOGENDI Family🌛

Ofa kabambe msimu huu wa Ramadhani. Jipatie GREEN LEAF MOGENDI HONEY asali yenye wingi wa Vitamin C itokanayo na mimea, ...
18/04/2022

Ofa kabambe msimu huu wa Ramadhani. Jipatie GREEN LEAF MOGENDI HONEY asali yenye wingi wa Vitamin C itokanayo na mimea, madini, antioxidanti na virutubisho vingine vingi vya kuboresha afya ya mwili na akili yako huku ikikupa uhakika wa kuongeza kinga ya mwili dhidi ya maambukizi ya Corona.

Ofa hii ni kwa msimu wa mwezi huu wa Ramadhani tu. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

💳 = 💵 Kwasababu tunajali.
13/04/2022

💳 = 💵 Kwasababu tunajali.

Je, umekua ukipambana kupunguza uzito na mafuta ya mwili bila mafanikio?Basi ondoa shaka jibu ni GREEN LEAF ~ MOGENDI LI...
09/04/2022

Je, umekua ukipambana kupunguza uzito na mafuta ya mwili bila mafanikio?

Basi ondoa shaka jibu ni GREEN LEAF ~ MOGENDI LIGHT WEIGHT DIET.

Ni lishe rafiki iliyotengenezwa kwa mizizi hadimu ya asili ya kiafrika na baadhi ya viungo vya chakula kwa kuzingatia taaluma na kanuni za tiba lishe za kale za kiafrika za (MOGENDI); zinazohusisha mchanganyiko wa asali asilia kwa zaidi ya 50% kwa lengo la kuboresha na kukarabati mifumo inayohusika na matatizo katika mwili mzima bila kusahau usafi wa hali ya juu ili kukupatia thamani ya ubora na faida nyingine nyingi licha ya kupunguza uzito wa mwili. Jaribu leo ustaajabu kwa kujionea mabadiliko ya kuongeza thamani ya afya na nguvu katika mwili wako na kuboresha lishe yako pia.

🏷️GHARAMA: Bei zetu ni nafuu na zakirafiki.

💰MALIPO: Kupitia mitandao ya simu, WESTERN UNION na Credit Card.

☎️TUPIGIE: +255736050548 simu za kawaida na WhatsApp. Karibu sana tukuhudumie.

🌱Leo tunapenda kushea FAIDA 8 ZA KUTUMIA GREEN LEAF ~ MOGENDI LIGHT WEIGHT DIET:-

(i.) Imetengenezwa kwa mimea asili kwa asilimia 100% (kwa lugha ya kiingereza tunasema Organic).
(ii.) Inasaidia kupunguza sumu mwilini (kwa lugha ya kiingereza tunasema Detoxification).
(iii.) Inapunguza uzito 1kg - 2kgs ndani ya wiki 2.
(iv.) Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo (kwa lugha ya kiingereza tunasema stress reliever).
(v.) Inasaidiaku kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (kwa lugha ya kiingereza tunasema Digestion System).
(vi.) Inapunguza mafuta mwilini.
(vii.) Inasaidia kuboresha mfumo wa kinga ya mwili (kwa lugha ya kiingereza tunasema Immunity System).
(viii.) Ni tiba lishe rafiki kwa mwili, haiumizi tofauti na lishe (diet) nyingine.

DELIVERY: We do domestic🇹🇿 and international courier expedited mail service through EMS & DHL📦.

DID YOU KNOW.?75% of all GREEN LEAF™ products has PREBIOTICS ~ These are non-digestible food ingredients that beneficial...
06/04/2022

DID YOU KNOW.?

75% of all GREEN LEAF™ products has PREBIOTICS ~ These are non-digestible food ingredients that beneficially affects the host by stimulating the growth and function of PROBIOTICS which are live bacteria live in the digestive tracts accountable for digestion, body immunity improvement and inflammation reduction through white blood cells.

Je, Mama uliejifungua maziwa yanatoka ya kutosha au ni changamoto.!? Je, umekua ukihangaika kula vyakula mbalimbali kwa ...
31/03/2022

Je, Mama uliejifungua maziwa yanatoka ya kutosha au ni changamoto.!? Je, umekua ukihangaika kula vyakula mbalimbali kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maziwa ya kumnyonyesha mtoto bila mafanikio.!?

Basi ondoa shaka jibu ni GREEN LEAF ~ MOGENDI GALACTATEA DIET.

Ni lishe rafiki iliyotengenezwa kwa mizizi hadimu ya asili ya kiafrika na baadhi ya viungo vya chakula kwa kuzingatia taaluma na kanuni za tiba lishe za kale za kiafrika za (MOGENDI); zinazohusisha mchanganyiko wa asali asilia kwa zaidi ya 50% kwa lengo la kuboresha na kukarabati mifumo inayohusika na matatizo katika mwili mzima bila kusahau usafi wa hali ya juu ili kukupatia thamani ya ubora na faida nyingine nyingi licha ya kuongeza wingi wa vitamini na madini mwilini. Jaribu leo ustaajabu kwa kujionea mabadiliko ya kuongeza thamani ya afya na nguvu katika mwili wako na kuboresha lishe yako na mwanao pia.

🏷️GHARAMA: Bei zetu ni nafuu na zakirafiki.

💰MALIPO: Kupitia mitandao ya simu, WESTERN UNION na Credit Card.

☎️TUPIGIE: +255736050548 simu za kawaida na WhatsApp. Karibu sana tukuhudumie.

🌱Leo tunapenda kushea FAIDA 8 ZA KUTUMIA GREEN LEAF ~ MOGENDI GALACTATEA DIET:-

(i.) Imetengenezwa kwa mimea asili kwa asilimia 100%.
(ii.) Ni tiba lishe rafiki na salama kwa Mama na mtoto.
(iii.) Inasaidia kuongeza maziwa kwa Mama anaenyonyesha.
(iv.) Inasaidia kupunguza chango kwa mtoto.
(v.) Inasaidia kuongeza vitamini na madini.
(vi.) Inasaidia kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
(vii.) Inasaidia kuongeza nishati mwilini.
(viii.) Inasaidia kuboresha mfumo wa kinga ya mwili.

🌍Tunatuma mzigo popote haraka na kwa kuzingatia kanuni za usalama wa chakula. MUHIMU: Gharama za usafirishaji ni jukumu la mteja. Ofisi itamsafirishia mteja mzigo bure endapo tu mzigo alioagiza utazidi gharama ya Tshs 300,000/=. Nje ya nchi tunatuma mizigo kwa kutumia mawakala wa usafirishaji mizigo wa EMS na DHL📦.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 09:00 - 16:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GREEN LEAF posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GREEN LEAF:

Share

Category